MADHARA YA KUTUMIA NJIA ZA UZAZI WA MPANGO ZA KISASA NA MATATIZO YAKE


KWA KAWAIDA KABISA KUNA MADHARA MENGI YANAYOTOKANA NA NJIA YA UZAZI WA MPANGO MWANAMKE ANAWEZA AKAPATA MADHARA MAKUBWA YANAYOWEZA KUJA KUMSABABISHIA MAMBO MAKUBWA KAMA KUTOSHIKA UJAUZITO KABISA AU KUZAA KWA OPARESHENI.

NA PIA NYONGA HUWEZAKUGEUKA NA KUWA ZA KIUME. KITENDO CHA DAMU YA HEDHI KUBAKI NDANI YA TUMBO HUWEZA KUSABABISHA UCHAFU AMBAO UNAWEZA UKASABABISHA UVIMBE TUMBONI.

zamani wazee wetu walikuwa wakitumia za asili ambazo ziliwapa matokeo mazur bila madhara yoyote yake.

KUna njia nyingi za kisasa za uzazi wa mpango zenye madhara makubwa kwa mtumiaji. Zifuatazo ni baadhi na madhara yake.

MADHARA YA SINDANO ZA KUZUIA MIMBA 

 Kuna madhara mengi makubwq sana ila fahamu kwa uchahe kuwa kuna usumbufu hedhi, Kuumwa kichwa mara mara Kizungu zungu Kichefu chefu Kuongezeka uzito usiokuwa na faida.

MADHARA YA VIDONGE VYA KUZUIA MIMBA
Huathiri fuko la uzazi kwa ndan, Kuongeza uzito wa ute utokao katika njia ya uke ili kuzuia mimba kutunga, Kuumwa kichwa mara mara. Kupata kichefu chefu, Kutopata hedhi kwa baadh ya wanawake, Kubadilisha mwenendo wa dam. Kuliathir ini kidogo kidogo . Kupata kisukari, Kupata ugonjwa wa moyo Kupooza upande mmoja wa mwili.

              MADHARA YA KITANZI 

utokaji ovyo wa damu Kutoboka fuko la uzazi Kuongezeka kwa upana wa uke na kuifungua lupa na kufungwa kwa uzazi.

                MADHARA YA KIJITI 

Husababisha kansa Huchanganyikiwa akili Akili Shinikizo la damu Maumivu makali wakat wa tendo la ndoa.

ILI KUJITOA KWENYE TATIZO HILI YAKUPASA KUTAFUTA MTAALAMU AMBAYE ANAWEZA KUKUTIBU KUTOKANA NA NA UKUBWA KWA TATIZO LAKO . MADHARA MAKUBWA KABISA NI KUSUMBUKA UZAZI

Kwanza acha kabisa matumizi ya vtu hvyo, pili upate madawa ya kusafisha mji wa uzazi ili kurejesha mfumo wako wa hedhi na kutoa sumu ulizokuwa ukiziweka kwenye mji wako wa uzazi.

Na dawa za kusafisha jitajd upate dawa za asili kwa wwtaalam wa dawa za asili. Sasa kujua njia salama na dawa za muda mrefu  za asili za uzazi wa mpango zisizo na madhara 

Facebook page mtabibu asili tz
www.tabibuasili.blogspot.com


Wanaohitaji njia asili za uzazi bonyeza hapa




Comments

  1. usihtaj yakukute ndyo uamini.....

    ReplyDelete
  2. Nilikuwa natumia kijiti nikatoa maana nilikuwa napata Sikh zangu week tatu hata mwezi daktari akanishaur nitumie njia ya vidonge lkn bado napata Sikh zangu hii ni week ya nne sasa haikatij

    ReplyDelete

Post a Comment

Popular posts from this blog

MAFUSHO MADINI YA KILA NYOTA NA JINSI YANAVYOTUMIKA

NDOTO ZA FEDHA NA TAFSIRI ZAKE UKIOTA UMEOKOTA HELA. UKIOTA UMEDONDOSHA HELA. UKIOTA UNAPEWA HELA

FAHAMU KUHUSU MTI NDULELE TURA FAIDA NA MATUMIZI KATIKA AFYA NA MAPENZI