FAHAMU KUHUSU FAIDA NA MADHARA YA SHABU

FAIDA NA MADHARA YA MATUMIZI YA SHABU

ASILIMIA KUBWA ya wanawake wanaofanya biashara ya miili Yao hutumia shabu ili kurejesha ule utamu, kubana au mnato wa uke pasipokujua madhara yake.

Sasa ukitumia shabu ni kweli uke wako utabana na utakuwa mnato kwa muda lakini Baadae utakubwa na madhara makubwa mnomno.

Wengi wanapenda kurudisha usichana bikra kwa vtu visivyokuwa salama na Baadae hupata madhara makubwa mno kama tutakavuoona kupitia makala Hii.

Madhara yake ni makubwa kuliko faida ambayo utaipata kwa muda mfupi

*Madhara yake n km ifuatavyo *Uke kulegea na kujaa maji *Kukosa ladha yaan utamu hupotea kutokana na utepe *Kwenye mashavu ya uke huweza kutoa vibuja * harufu mbaya ukeni * wakati mwingine huweza kusababisha fangasi na kushambulia mji wa uzazi

Maana yake unaweza ukawa na uzazi wa shida mbele ya safari.

Ushauri kwa wadada msiozaa uckubali kutumia njia za uzazi hzo za kisasa c salama pia usipende kutumia viunga uke. Pia c kla ukisikia ktu Hk dawa wakitumia fanya uchingizi kwanza

Kwa msaada kama umeathirika namba utapatiwa ushauri na dawa na utarud katika Hali yako ya kawaida.Wale mnaohitaji dawa zszo madhara kwa ajili ya kubana uke tumia namba hiyohiyo.

Faida za shabu sasa Kwa magonjwa ya meno Tafuta Shabu Karafuu Mdaa

Zote hzi ziwe za unga kisha changanya pamoja na maji vuguvugu tumia kwa kusukutua Mara tatu kwa ck

Kwa maradhi ya fangasi Chukua shabu ya unga changanya shubiri unga na Mafuta ya karafuu

Paka sehemu yenye fangasi isipokuwa sehemu za siri

Shabu hutumika kulinda maji kutokana na bacterial wasababishao maradhi ya afya ya tumbo.

Shabu ya Yemen hutumika kujikinga na wachawi nyumbani Hata kwenye harakati zako

Hivyo in bora kila mmoja akisoma hili aakikishe anakuwa na shabu kwa kwaajili ya ya matibabu ya mwili wake kwa kuipata shabu ama dawa zilichanganywa na shabu

KWA USHAURI NA 0621442936

Comments

Post a Comment

Popular posts from this blog

MAFUSHO MADINI YA KILA NYOTA NA JINSI YANAVYOTUMIKA

NDOTO ZA FEDHA NA TAFSIRI ZAKE UKIOTA UMEOKOTA HELA. UKIOTA UMEDONDOSHA HELA. UKIOTA UNAPEWA HELA

FAHAMU KUHUSU MTI NDULELE TURA FAIDA NA MATUMIZI KATIKA AFYA NA MAPENZI