Posts

Showing posts with the label uchambuzi wa nyote

UCHAMBUZI WA NYOTA YA NDOO, SIKU, SAA RANGI, PETE ZA BAHAT, MAFANIKIO NA MAPENZI

Image
AHLAN WASAHALA mpenzi mfuatiliaji wa darasa za ndoto nyota miti na mambo mengine yakidunia kwa madawa ya asili. Leo tunaendelea n uchambuzi wa nyota ya Ndoo anayekuletea darasa hizi ni Mtabibu ASILI TZ. Hii ni nyota ya kumi na moja katika mlolongo wa nyota 12. Nyota hii ni kwa watu waliozaliwa kati ya Tarehe 20 Januari na Februari 18. Ufafanuzi ni wale waliozaliwq kuanziw tarahe 20,21,22,23,24 mpaka miwsho wa mwez Januar na kuanzia tarahe 1,2,3,4 mpakq tarahe 20 mwez February. Pia wale wenye majina  yalio anza na herufi K, W, H lakini hawa hawajui tarahe zao za kuzaliwa ikiwa unaijua tarehe yako fuata tarahe yako.     ASILI, RANGI, SIKU NA PETE BAHAT Asili yao ni Upepo.Malaika wake anaitwa  Kafyaeel, na Jini wao anaitwa Abuu Nuhu, Sayari yao ni Uranus. Siku yao ya bahati ni Jumamosi. Namba yao ya bahati ni 8 Rangi zao ni Bluu, Kijivu na Samawi ya Bluu. Wenye nyota ya Ndoo wanatakiwa wapake nyumba zao au magari yao au sehemu zao za biashara rangi zilizotulia kama Bluu au Kij