Posts

Showing posts with the label nyota

MILANGO YA MARADHI YA KILA NYOTA

Image
NIMEWAHI kuzungumza kila nyota mambo yanayowahusu ikiwemo siku za bahati, watu wakushirikiano nao, maisha ya ujana na uzee. Kumiliki mali, pete za bahati nk. Kama ulipitwa soma post zilizopita, makala haya nitaongelea maradhi yanayowasumbua kila nyota na mwishoni nitatoa ushaur hatua za kuchukua soma kwa umakini mpaka mwisho wa makala. Anayekuletea makala haya ni mtabibu Asili tz.            MARADHI YA NYOTA YA PUNDA Wanaandamwa sana na husda za watu wao wa karibu na mara nyingi hurogwa na kukwamishwa mambo yao. Hupata fedha huwa haikai hujitoa sana kusaidia watu wanapokuwa nacho ila kusaidiwa kwao ni ngumu Maradhi yao huambatana na jini khafqaan huyu husumbua sana Moyo na Kichwa, mwili hupata joto pia mwili huchoma kama aliyejikoni. Siku ya kutibiwa maradhi yake sugu ni Jumanne itaangaliwa milango ya saa. Siku kwake ya kurogwa ni Jumapili pia huangakiwa masaa. Asili ya nyota hii ni Moto siku njema ni Jumanne na siku mbaya kwake ni Jumapili.          MARADHI YA NYOTA YA NG&

UTABIRI WA MWAKA MZIMA 2022 MATUKIO NA MAZINGATIO MUHIMU

Image
MAKALA HAYA YAMEANDALIWA NA KUANDIKWA NA MTABIBU ASILI TZ JITAHD KUSOMA MPAKA MWISHO KUNA UFAFANUZI WA MAMBO MUHIMU MWAKA  HUU UMEINGIA SIKU YA JUMAMOSI, BIMAANA NI MWANZO WA WIKI , SIKU HIYO HUTAWALIWA NA SAYARI YA ZOHALI HIVYO KUTAKUWA NA MIINGALIANO YA MAMBO MWAKA HUU KUNA MAMBO UTAYAANZA NA YATAKUWA NA MAFANIKIO LAKINI PIA KUTAKUWA MIKWAMO YA HAPA NA PALE KULINGANA NA SAYAR YENYEWE ILIYOCHOMOZA MWAKA. MWAKA UNA SAFARI ZA KUSHTUKIZA HIVYO KAMA MTU WA KUSAFIRI TEGEMEA HILO. PALE PANAPOTUMAINI PANAWEZA PASITIMIE ILA PALE USIPOKUWA NA TUMAINI NDIPO PANAWEZA KUKUPA FURSA. UGOMVI NA HASIRA ZITATAWALA PIA HIVYO JITAHIDI KUKABILIANA NA NAFSI YAKO NA KUJIZUIA NA HASIRA. KUNA MAVUNO MENGI HASA KWA WAKULIMA WANAOMAINI IMANI FULANI. FAIDA ITAKUWEPO IWAPO UTAFUATA MAELEZO YA NYOTA YAKO MAANA MWAKA HUU KUPATA KUPO NA KUKOSA KUPO MUHIMU NI KUCHEZA NA SAYARI ZINAVYOKWENDA. NAMBA YA SIRI YA MWAKA HUU NI SITA WATU WA MICHEZO YA KUBAHATISHA NAMBA NI HIYO. NAMBA HII INASIMAMA KATIKA FALME