Posts

Showing posts with the label maradhi

FAHAMU KUHUSU UGONJWA WA SUKARI NA TIBA YAKE

Image
FAHAMU KUHUSU UGONJWA WA SUKARI NA TIBA YAKE BY MTABIBU ASILI UHALI gani mpenzi wa msomaji wa makala zangu ambazo zinalengo la kuimarisha afya ya binaadamu pamoja na urembo. Nimezungumza sana juu ya kupunguza Unene kwenye makala zilizopita lakini pia nlizungumzia kuhusiana na masuala ya afya uke ikiwa kuwa na maji, mkavu, hauna joto sambamba na vtu vingine. Kama ulipitwa na masomo yaliyopita unaweza kutembelea ukurasa wangu au kuingia kwenye group la Afya ya Uzazi kwa njia asili. Baada ya utangulizi huo mfupi sasa tuingie kwenye somo letu la leo linalohusiana na suala zima la ugonjwa wa sukari na tiba yake. Sukari imekuwa ikiwatesa watu wengi hasa wenye umri zaidi ya miaka aeobaini japo kwa sasa imekuwa tofauti hats watoto wadogo wamekuwa wakisumbuliwa na ugonjwa huu. Kwa kawaida binaadamu anatakiwa kuwa na sukari normal ikizidi inakuwa sukari ya kupanda ikipungua inakuwa sukari ya kushuka. Leo nakupa njia za kutibu sukari kwa ujumla iwe ya kupanda au kushuka. Kwa kufuata tarat