FAHAMU KUHUSU MLUFYAMBO MLAZAZA TIBA NA DAWA KWA WATOTO NA KINAMAMA
FAHAMU KUHUSU MLAZALAZA' LUFYAMBO MTI huu huoatikana kwa wingi ukanda wa pwani hasa maeneo ya mapori na makaburi. Mti huu una sifa ya kutambaa na kutoa mbegu zenye rangi mbili nyekundu na nyeusi. Mti huu ni dawa kubwa sana katika matibabu ya asili na uganga wa jadi. Leo nitagusia vitu vikubwa vina vyoweza kufanywa na mti huu, kwa chochote usifanye kwa kujaribu tiba ni imani. Majani yake ni tiba kubwa ya kifua na pumu Mtu anaweza kupata pumu iwapo atakuwa anakaa karibu na moshi au wakati mwingine anaweza kurithi kutoka kwa mmoja wa wazazi au ndugu wa damu aliyewahi kukumbwa na maradhi hayo. Namna ya kutumia: Chukua majani mabichi ya mmea huu yenye uzito wa nusu kilo, yatwange au yasage kwenye mashine ya juisi ili kupata juisi. Juisi hiyo changanya na mayai matatu ya kuku wa asili, asali vijiko vitano vya chakula na limau mbili au tatu itategemeana na ukubwa wake, changanya vizuri mchanganyiko huo. Kunywa nusu glasi kutwa mara mbili (asubuhi na jioni), muda wa siku