FAHAMU KUHUSU MLUFYAMBO MLAZAZA TIBA NA DAWA KWA WATOTO NA KINAMAMA

FAHAMU KUHUSU MLAZALAZA' LUFYAMBO

MTI huu huoatikana kwa wingi ukanda wa pwani hasa maeneo ya mapori na makaburi. Mti huu una sifa ya kutambaa na kutoa mbegu zenye rangi mbili nyekundu na nyeusi.

Mti huu ni dawa kubwa sana katika matibabu ya asili na uganga wa jadi. Leo nitagusia vitu vikubwa vina vyoweza kufanywa na mti huu, kwa chochote usifanye kwa kujaribu tiba ni imani.

Majani yake ni tiba kubwa ya kifua na pumu 
Mtu anaweza kupata pumu iwapo atakuwa anakaa karibu na moshi  au wakati mwingine anaweza kurithi kutoka kwa mmoja wa wazazi au ndugu  wa damu aliyewahi kukumbwa na maradhi hayo.

Namna ya kutumia: Chukua majani mabichi ya mmea huu yenye uzito wa nusu kilo, yatwange au yasage kwenye mashine  ya juisi ili kupata juisi.

Juisi hiyo changanya na mayai matatu ya kuku  wa asili, asali vijiko vitano vya chakula na limau mbili au tatu itategemeana na ukubwa wake, changanya vizuri mchanganyiko huo.

Kunywa nusu glasi kutwa mara  mbili (asubuhi na jioni), muda wa siku saba.

Majani yake pia ukiyakausha ukasaga ukapata unga wake unaweza ukaondoka nuksi na mabalaa madogo dogo.

Majani yake hutumika kuleta mvuto katika Biashara :Unachukua majani yake na kuyakausha kisha unakuwa unayachoma eneo lako la biashara

Huongeza mvuto wa mapenzi baina ya wachumba, mke au mume :
 Unachukua unga wa majani ya mti huo kisha unauweka kwenye mafuta ya nazi iliyopikwa au mafuta ya ashezi.
 Utapendwa na kila mtu.

Mbegu zake hutibu ugonjwa wa macho hutumika kwa meza kama dawa mbegu mbili asubuhi na jioni, pia mbegu zake kama utapata unga wake ukachanganya na poza ukamtilia mtu kwenye juis au maji chakula kwa manuizi maalumu mtu huyo hutulia poza inapatikana ofcn

Kwa mapenzi ukichukua mzizi na majani yake (yana uchumaji wake maalumu sina maelezo njoo ofcn ) ukatwanga ukapata ule umajimaji ukipaka kwa bibi au babu ukakaa nusu saa kisha ukaenda kuingiliana na mtu atakutajia siri zake zote na hata kaa akuache mpaka utakapotegua dawa hiyo. Dawa hii sina maelezo nayo ukihitaji njoo ofcn au utumiwe


Maswali kuhusu mada uliza chini

Comments

Popular posts from this blog

MAFUSHO MADINI YA KILA NYOTA NA JINSI YANAVYOTUMIKA

NDOTO ZA FEDHA NA TAFSIRI ZAKE UKIOTA UMEOKOTA HELA. UKIOTA UMEDONDOSHA HELA. UKIOTA UNAPEWA HELA

FAHAMU KUHUSU MTI NDULELE TURA FAIDA NA MATUMIZI KATIKA AFYA NA MAPENZI