MIZIZI YA MLAZALAZA LUFYAMBO KATIKA DAWA ZA MAPENZI

MLAZALAZA LUFYAMBO  KATIKA MAPENZI

MTI unaouona pichani nishauzungumzia mara kadhaa kwenye makala zilizopita leo nitazungumzia mizizi yake katika mapenzi



Hapa ni mpenzi bimaana mke mume au mtu unayejamiiana nae fuata taratibu zifuatazo

Amka asubuhi ukiwa msafi bimaana kama umelala na mwenzio basi ujitwayarishe  vzuri usiwe na janaba hedhi wala nifasi

Elekea eneo lenye mti huo pichani ukifika gonga hodi sema wewe mlazalaza nmekuja kumlaza fulani bin fulan au fulan bint fulan utachuma majani na kung'oa mizizi kadhaa huku ukiendelea kunuia


Ukimaliza rudi nyumbani kwako twanga vyote kwa pamoja tia mafuta zaituni kidogo kisha kama n mwanaume pakaa kwenye kichwa cha uume kama mwanamke paka kwenye kinena na mlango wa uke acha mpaka ikauke

Nenda kaingiliane nae hakika utamlaza kweli na atakupenda mpaka utamchoka

Ukitaka akihadithie mambo anayoyafanya kUKna tarasimu utamuwekea kwenye mto wake wakati ukimfanyia hivyo atakuhadithia kila kitu usiku mkiwa katika tendo kwa mtindo wakuropoka

Ukihitaji hiyo tarasimu pitia page yetu mtabibu asili tz fb

Mambo muhimu huo mti unapatikana maporini mafuta ya zaituni yanapatikana maduka ya dawa na wakati unaenda kuchuma uende na nafaka yoyote umwagie huo mti kabla ya kuchuma 
Ukitaka dawa iliyotayar tembelea page yetu tuma ujumbe

+255621442936

Comments

  1. Jambo mtabibu mimi ni binti naitaji iyo kitu ninaweza ipataje? Na nipombali na tz naomba majibu

    ReplyDelete
    Replies
    1. Nmeweka namba kwa wenye shida fanya mawasiliano utaoatiwa maelezo

      Delete
  2. Kwa English inaitwaje baba msahanda🙏

    ReplyDelete

Post a Comment

Popular posts from this blog

MAFUSHO MADINI YA KILA NYOTA NA JINSI YANAVYOTUMIKA

NDOTO ZA FEDHA NA TAFSIRI ZAKE UKIOTA UMEOKOTA HELA. UKIOTA UMEDONDOSHA HELA. UKIOTA UNAPEWA HELA

FAHAMU KUHUSU MTI NDULELE TURA FAIDA NA MATUMIZI KATIKA AFYA NA MAPENZI