MAFUSHO MADINI YA KILA NYOTA NA JINSI YANAVYOTUMIKA



KATIKA uchambuzi wa Nyota ninazozitoa asubuhi huwa nazungumzia mafusho ya Nyota. Naweza nikaweka maelezo alaf kwenye ushaur nikasema leo watakiwa ufushe fusho la nyota yako kabla ya kuanza shughuli yako. Makala haya yataaangazia juu ya fusho la kila nyota na utumizi wake. Anayekuletea uchambuzi hii ni Mtabibu ASILI TZ.


Niliwashatoa makala za uchambuzi wa kila nyota. Zile nyota kumi na mbili kuanzia Punda mpaka Samaki, nilifafanua siku zao za bahat, watu wa kushirikiana nao siku mbaya kwao, malaika na majini wa nyota zao pete vito na shughuli au kazi za kilufanya ili uendane na nyota yako na kujipatia kipato. Makala hizo zipo peruz post za nyuma utaona ukiutaka uchambuz binafs utanilipa ili nikufafanulie kama utaona kazi kusoma post za nyuma.

Fusho ni dawa ambayo hutumika kuchoma aidha kwa kujifusha yaan kujifunika ili moshi ukiungie mwilini au kuchoma kawaida. Hutunika katika shughuli mbalimbalu hasa za kuvuta ridhki kutoa uzito kuleta wepes pamoja na masuala ya kimapenzi. Yatakiwa uwe na dawa tayar kisha fusho linakueltea nguvu au uharaka kulingana na Nyota yako.

Mfano huwa nawaandikia Nyota hii leo choma ubani makka udi na uvumba changanya na fusho la nyota yako. Ujue nyota yako siku hyo inahitaji kufanyiwa kazi ya kutoa uzito na kuleta wepes na hii ni uzito wa nyota yenyewe ikiwa imeambatana na vifungo utaona kwenye ushaur fika kwa wataalam wa nyota basi ujue kuna vifungo vikali kinyota yako ambavyo vinahtaj utaalam wa hali ya juu.

Kila Nyota ina fusho na Manukato yake jitahid kusoma kwa umakini ikiwezekana tafuta notebook uandikie chukua simu yako sehem ya notes andika vtu muhimu nikiwa naandika makala za uchambuzi nitasema tu choma fusho la nyota yako ila sitataja ni fusho gan kulingana na  muda na kazi nyingi za kufanalya.

           FUSHO LA NYOTA YA PUNDA

Nyota ya Punda asili yake ni Moto manukato yake ni marashi yoyote au pafyumu yenye asili ya marashi. Fusho lake Qist yapo kama miziz na yana rangi ya kahawiya madini yao ni chuma ikiwa pete itengenenzwe kwa chuma au fedha yenye weusi mawe yake ya bahati ni rubby, Quartz, Bloodstone, Diamond, Lapis pamoja na vtu vengine kila kito kina shughuli yake nmetaha kwa uchache.

         FUSHO LA NYOTA YA NG'OMBE

Nyota ya Ngombe asili yake ni UDONGO manukato yao ni Yasmine. Fusho lake ni Ubani Mushtaka, upate pete ya fedha au ghahabu vito vyao ni ALMASI au EMARALD ndivyo vyenye nguvu katika mambo yao.

         FUSHO LA NYOTA YA MAPACHA

 Mapacha asili yake ni UPEPO Vito na pete za bahat kwa mwanaume upate pete ya chuma au fedha mwanamke dhahabu au fedha kito upate Agate, Aquamarine, Celestite au Quartz.Manukato ni marashi ya Mrujuani  Mafusho yao katika kutilia nguvu jambo lao ni Kashuu Muhlib kwa kiswahili kachiri. Yana asili na muonekano wa maua yana rangi ya kahawia.

              FUSHO LA NYOTA YA KAA

Nyota ya KAA asili yake ni MAJI pete zao ni za fedha viwe vito vya lulu, Moonstone, Almas, Peacock yategemea na hitaji la mtu ahitaji kwa shughuli gani. Manukato yao ni Jasmine na Sandalwood. Mafusho yao ni ubani wa aina yoyote wachome siku yao ya bahati. 

            FUSHO LA NYOTA YA SIMBA

Simba asili yake ni MOTO madini yake ni dhahabu kama pete itapendeza ikiwa ya dhahabu vito vyake ni Ruby na Peridot. Mafusho yao ni Sandarus

         FUSHO LA NYOTA YA MASHUKE

Mashuke asili yake ni Udongo manukato yake ni yanayotokana na Mrujuani kwa kizungu Lavende na Lilak unaweza kuagiza nje ya nchi  Fusho lake ni Kashuu Muhlib kwa kishwahili ni Kachiri. Madini yake ni Quicksilver kwa kiswahili ni Zebaki ukipata pete utaweka pete ambayo unashughuli nayo inayoendana. Vito vya Nyota hii ni Diamond, Quartz, Cuprite, Mos Agape, Peridot nk.

           FUSHO LA NYOTA YA MIZANI

 Mizani Fusho lake nyota  ni ubani Mashatka. Asili ya Nyota hii ni UPEPOVito vya nyota hii kama ukipata pete za bahat iwe dhahabu  basi iwekwe kito cha opal kwa ajili ya mafanikio kipesa au kipato na madini yake ni Copper kwa vyote hubebwa na vto vya mawe ya pepon LAPIS LAZULI utayaona maajabu yake.

        FUSHO LA NYOTA YA NG'E

Nyota ya Nge asili yake ni Maji manuakto yawe yanatokana na nazi, tikitiki maji, mchelu na msandali hizi zipo zinaitwa sandalwood ukienda maduka ya dawa asili utaziona. Fusho lao ni Qist ufafanuzi wake nishautoa kwenye Nyota ya Punda, madini yake ni chuma unaweza pata pete ya chuma au fedha nyeusi ukaweka kito ambacho kitaleta tija kujingana na shughuli zako. Vito vya nyota hii ni bloodstone, topaz, Opal, Diamond, Rubby na Quartz

          FUSHO LA NYOTA YA MSHALE

Mshale Asili yake ni MOTO Madini yao ni bati na pete zao ziwe za bati au fedha  Manukato yao ni Yasmini.  Vito vyao vya kuvaa katika pete ni Yakuti ya njano au Lapis Lazuli Mafusho ya Mshale ni Udi Kafur ufafanuzi wake nmeutoa hapo juu.

          FUSHO LA NYOTA YA MBUZI 

Nyota ya Mbuzi asili yake ni Udongo . Fusho la Nyota hii ni Miatun Saila. Manukato yao yyawe yanatokana na Msonobali au Magnolea. Madini yao ni risasi vito vyao ni blackonyx.

            FUSHO LA NYOTA YA NDOO

 Nyota ya Ndoo asili yake ni  UPEPO manuskato yake yatokane na Mgadenia na Azalea unaweza kuagiza toka nje ya nchi. Fusho lake ni Miatun Saila madini yake ni risasi au unaweza pata pete ya fedha ukaweza vito ambavyo utakuwa na shughuli navyo kuhimu. Vito vya nyota hii ni lulu nyeusi, Opal na Johar.

          FUSHO LA NYOTA YA SAMAKI

Nyota ya Samaki Asili yake ni Maji Madini yake ni Platnum ikiwa ngumu kupata tumia Bati Kwa ajili ya pete. Vito vyao vya kuvaa katika pete ni Aquamarine au almas nyeupe itatgemea n shida na hitaji ya mtu ikiwa n mvuto wa bishara mapenz au mali itategemea na matengenezo ya mtaalam wako. Mafusho ya Samaki ni Udi Kafur yaani utafuta udi utafute kafur uchanganye pamoja ndio unapata hilo fusho lililotajwa unaweza usipate madukani
  
       MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIA

KILA NYOTA INA FUSHO LAKE KAMA ULIVYOONA UNACHOTAKIWA NI KUELEWA JINA LA FUSHO LAKO ILI PALE NINAPOSEMA ANZA SIKU KWA KUCHOMA FUSHO LAKO BASI UJUE NAZUNGUMZIA NINI. NA MUDA MZURI NI KUANZIA SAA 12 MPAKA SAA MBILI NA MCHANA KATI YA SAA SABA NA SAA NANE.

 MAFUSHO YANAPATIKANA MADUKA YA DAWA ASILI HiVYO ACHA UVIVU FIKA MADUKANI ULIZIA KAMA MKOA ULIPO UMEKOSA NIACHIE UJUMBE INBOX SEMA FUSHO GANI NA UPO MKOA GANI. 

KUHUSU PETE YATAKIWA IANDALIWE NA MTAALAM WA NYOTA YEYE NDO ANAJUA AWEKE NINI KULINGANA NA HITAJI LAKO. HIVYO UNAWEZA KUFIKA KWA WATAALAM WA NYOTA PAHALA ULPO UKASAIDIWA AMA UKIHITAJI MSAADA WANGU KIOFISI NIMEWEKA NAMBA

Hakikisha unapata fusho lenyewe halisi ili kupata kile kilichoandikwa na ulichokikusudia

una tatzo lolote la Nyota, biahsra, kazi, mapenzi, kuibiwa, nguvu za kiume, kukuza dhakar, uzazi kesi nk niachie ujumbe inbox

+255621442936

Wale wwnye shida mnaonitumia ujumbe jitahdn kupiga simu ueleze shida yako kwa upana na pia ikiwa umeona ni her utume ujumne basi weka maelezo yanayoeleweka jina lako pahala unapoishi na shida yako husika

Jumbe fupi kama mambo niaje hi hellow vipo nk sitazijib hebu fikiria una shida unataka msaasa unatuma ujumbe mambo??

Hii sio namba ya kuchat kama unhtaji msaada basi jitahf kuthamini shida yako pia heshim muda na fedha kwa mtu.

Comments

  1. Shukrani mtabibu kwa kutusaidia katika kufahamu mambo haya..ila nina swali kuhusu hilo fusho la mizani na Pete hizo ulizozisemea hapo juu zapatikana maeneo gani ili iwe rahisi kwa watu tuliopo mikoa mingine tofauti na dar es salaam??shukrani sana Allah akufanyie wepesi na akulipe kila LA khery

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kama utahitaji msaada wangu nmeweka namba hizo hapo juu kila makala ina namba

      Kama unataka kujua kuhusiana na vtu vinapopatikana upate wataalam wa nyota maeneo ulipo

      Delete
  2. Shukrani mtabibu kwa kutusaidia katika kufahamu mambo haya..ila nina swali kuhusu hilo fusho la mizani na Pete hizo ulizozisemea hapo juu zapatikana maeneo gani ili iwe rahisi kwa watu tuliopo mikoa mingine tofauti na dar es salaam??shukrani sana Allah akufanyie wepesi na akulipe kila LA khery

    ReplyDelete
  3. Shukrani mtabibu kwa kutusaidia katika kufahamu mambo haya..ila nina swali kuhusu hilo fusho la mizani na Pete hizo ulizozisemea hapo juu zapatikana maeneo gani ili iwe rahisi kwa watu tuliopo mikoa mingine tofauti na dar es salaam??shukrani sana Allah akufanyie wepesi na akulipe kila LA khery

    ReplyDelete
  4. Sasa docta naomba uniangalizie nyota yangu maana ninamatatizo sana ya kuhusu mapenzi na biashara zangukila mwanaume ninae kubaliana nae tunaishi kidogo Kisha tunaachana bila Mimi kujua sababu na Wala hatugombani anaondoka tu mwingine ananipa ahadi na hela anayo lakini hatimizi ni kwann nisaidie utanambia Kama ni shingap

    ReplyDelete
    Replies
    1. Nmeweka namba ili kwa wwnyw tqtzo waoate kupiga kujieleza shida zao

      Delete
  5. Asalaam aleykum Dr, kabla ya kulivaa kito Cha nyota yako Kuna Jambo lolote la kufanya?

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mtaalam atakayekutengenezea akimaliza kazi yake atakuelezea namna ya kufanya kabla ya kuivaa

      Delete

Post a Comment

Popular posts from this blog

NDOTO ZA FEDHA NA TAFSIRI ZAKE UKIOTA UMEOKOTA HELA. UKIOTA UMEDONDOSHA HELA. UKIOTA UNAPEWA HELA

FAHAMU KUHUSU MTI NDULELE TURA FAIDA NA MATUMIZI KATIKA AFYA NA MAPENZI