FAHAMU KUHUSU MTURA 'TURATURA' NDULELE MAAJABU NA TIBA YA MARADHI MBALIMBALI



MAKALA HAYA YAMEANDALIWA NA KUANDIKWA NA MTABIBU ASILI TZ MTAALAM WA DAWA ZA ASILI NA YIBA JITAHIDI KUSOMA MPAKA MWISHO KUNA UFAFANUZI WA MAMBO MUHIMU

HUU ni muendelezo wa makalq za miti nikizowahi kuzizungumzia zaidi ya miaka saba iliyopita. Hivyo tutakuwa tukirejea baadhi ya miti kwa kuiwekea maelezo zaidi na ufafanuzi wa kina. Mturatura ni miongoni mwa miti midogo yenye matumizi mengi katika ulimwangu wa tiba asili. Huu haupo lwenye madawa ya kisuna ni mti wenye majabu mengi sana katika toba aaili hivyo soma makala mpaka mwisho kama nilivyoeleza hapo juu.


       MAJANI YA MTI WA MTURATURA

mwenye kisukari chukuwa majani yake ponda ponda upate unga wake utatumia kwenye maji ya vuguvugu kutwa mara tatu Kwa siku 14 neenda kapime Leta mrejesho. Aliyekumbwa na kitu kibaya akawa hajielew atafute mti wa mturatura majani mnukauvundo majani mvumbasi majani kisha achemshe nyungu ajifushe na aoge. Kwa mtu anayesumbuliwa na tumbo la hedhi upate unga wa majani tumia kwenye maji moto ni tiba nzuri. Mtu mwwnye fangasi miguun twanga majani yake weka chumvi weka kwwnye fangasi hutibu mpaka nyungunyungu.

       MATUNDA YA MTI WA MTURATURA


Tura inaweza kuongeza urefu wa kinembe 'kisimi' kwa wanwake wenye matatizo hayo narjea tena kwa mwanamke mwenye tatzo hilo chukua tura iliyokomaa toboa upate yale majimaji tumua kuchua kwa kukivuta kwenda juu fanya mara mbil kwa muda wa ck 7 kila ck tunda jipya. Kupata dawa iliyotayar ya mafuta fanya mawasiliano.

kwa wagonjwa wa mdudu wa kidole tafuta tura iliyoiva toboa weka hicho kidole kutwa nzima. Fanya walau kwa wiki nzima kama ndiyo anaanza atakufa kama keshakomaa ataiva na kidole kitapasuka. Wapo wanaotumia kama mboga pia huongeza ufanisi kwa tendo la ndoa. Unaweza kuchemsha mizizi pia inaweza kukusaidia.

        MIZIZI YA MTI WA MTURATURA

Maradhi ya kuumwa meno, kama jino limetoboka chukua mzizi wa mti wa mtura mkavu chemsha na chumvi kisha nyunyuzia kwenye shimo. Kama halijatoboka sukutua Mara tatu kwa siku.

Kwa watoto wadogo wa kiume wenye ugonjwa wa ngiri kende kusinyaa. Chukua mizizi ya mti huu na mzizi wa mpapai dume itimie saba Chemsha mpe anywe kutwa Mara mbl kwa ck saba Kwa wakubwa Hii inatuliza tu maumivu kutokana mdudu kukomaa ukhtaj dawa nione.

kuondoa sumu mwilin ikiwa umeota umelishwa kITu chimba miziz Yake sanga upate unga wake upate na unga wa muinua vizito yaan unga wa miziz tumia kwenye uji Kwa siku kumi marambili kwa siku. Kuupa mwili nuru wepes katika mambo yako hasa madada wa mjini au wahangaikaji vijana pata miziz wa mtura ule mkubwa unga wa ua la mchekea unga wa lufyambo na ngekewa unaweza kitengeneza azima ukawa unatembea nayo au ukatengenezewa mfumo wa mafuta ukawa unapaka unapoenda kwenye mihangaiko yako.

          TIBA KWA MAMBO MENGINE

Hutumika kama kiungo kwa wezi wa chumaulete kwa wauza mihogo au maandaz au miguu ya kuku wale wenye biahsra ndogondogo chukua miziz yake funga mkaa wa kuokota na kitamba cheusi pamoja na chumvi ya nawe na sarafu ya pesa za kizamani zile s3nti zile zenye rangi ya silva.

Wenye biashara za kutembeza endea mti huo mapema kabla jua halichomoza chukua matunda saba miziz saba na majani 21 anika ndani ila wakt unaenda poga hodi upate na mizizi ya lufyambo saga baad ya kukauka tunia kupaka na mafuta ya ashers au mafuta ya nqzi.

kumtuliza mke au mume asichepuke nje ya ndoa pata unga wa mizizi yake na majani yake na mwita unga wa mchachaa unga wa muonamo na mlifyambo  upate na fusho lako muhusika choma saa saba mchana na saa sita usiku kwa siku saba kila siku choma kwa manuizi

        KUVUTA WAPENZI WALIO MBALI

Ende mti wenye tunda liloiva mapema kabla hakujapambazuka iwe siku ya Ijumaa nenda na mchele kabla ya kuchuma mwagi mchele tia nia yako ewe mndulele sikuja hapa kufuata ndulele nimefuata moyo wa fulani bin fulan au bint fulan. Kisha utalichuma na kukificha asilione mtu mpaka unafika nyumbani.

Uende na nguo nyeupe au nguo zenye nguvu kwa nyota yako. Nenda dukani nunua pini tatu tafuta mkaa wa kuokota njian uwe mwingi kidogo ukorlteza mpaka uwe mwinhi kidogo upate na chumvi ya mawe.

Kuchua pini ya Kwanza choma kwenye iyo Ndulele au turatura kwa manuizi maalum muiye mara tatu jina lake na ubini wa mamaake. Utasema nachoma moyo wa fulan mzaliwa wa fulan huko alipo mawqzo yake yawe kwangu aniwaze aje mbio.

Utakolezq mkaa wako moto ukikolea utabaandika chungu kisha utawwka zile sindano hyo ndulele na chumvi. Kazi yako itakuwa kukoroga huku unaongea unataka moyo wa fulan mzaliwa na fulan ukuwaze wewe fulan mzaliwa wa fula. Uripuke uunge kama zinavyoungua hizo dawa

Ukisha fanya hivyo vyote basi subiri matokeo. Matokeo hayazidi masaa 24 utapigiwa simu, message au kufatwa sehemu ulipo na mtu huyo ikiwa hujakosea masharti yoyote katika hayo.

Kama uliyemfanyia kinga yake ipo juu itachukua muda hivyo itabidi utumie nguvu za ziada. Mtu unayemfanyia anatakiwa aangaliwe apigwe siku ambayo nyota yake haina nguvu

       MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIA

MAMBO MEPES NIMEYALEZA HAPO JUU NAFIKRI NIMEWKA PICHA KILA MMOJA ASOME NA AANGALIE. IKIWA KWA KAZI KWENYE MAELEZO YA MAMBO MINGINE JITAHD UENDE NA SADAKA WAKATI UNACHUMA HUO MTI PIA UPOGE HODI ILI MTI UWE DAWA KWAKO.

SOMA KWA MAKILI MASWALI ULIZA HAPO CHINI

Una tatizo lolote kuhusu mapenzi biashara kazi kesi kuibiwa kudhulumiwa nk kwa mahtaj ya dawa niachie ujumbe inbox

+255621442936

Wale mnaotuma ujumbe hakikisha umeweka shida yakokwa urefu. Andika jina pahala ulipo na shida husika.

Comments

Popular posts from this blog

MAFUSHO MADINI YA KILA NYOTA NA JINSI YANAVYOTUMIKA

NDOTO ZA FEDHA NA TAFSIRI ZAKE UKIOTA UMEOKOTA HELA. UKIOTA UMEDONDOSHA HELA. UKIOTA UNAPEWA HELA

FAHAMU KUHUSU MTI NDULELE TURA FAIDA NA MATUMIZI KATIKA AFYA NA MAPENZI