FAHAMU FAIDA ZA MMEA WA NANAA
FAIDA ZA MIMEA SEHEM 3
FAHAMU KUHUSU MMEA WA NANAA
Hii ni muendelezo wa makala zinazohusiana na faida za mimea asili inayotuzunguka. Makala zilzopita tulizungumzia kuhusu mtura au mnyanya pori wengine huita ndulele na makala ya pl ilihusiana na mmea uitwao mvumbasi kama ulipitwa tembelea wall yangu au waweza jiunga group la whatsap kwa kufuata 0717053804.
Nanaa ni miongoni mwa miti midogo ambayo ina faida kubwa katika mwili wa mwanaadamu. kwa maradhi na pia kupendenezesha mwili pia kinga ni bora kulko tiba.
Nanaa ipo katika mfumo wa aina tatu tofauti km ifuatavyo
nanaaa ya majani [ kavu na mbichi] Mafuta ya nanaa unga wa nanaa
mafuta yapo ya njia ya mgando na kimininika. Faida ya mti huo ni kma ifuatavyo hapo chini.
Majani ya mnanaa ambayo hutumiwa kama kiungo. Nanaa husaidia katika kuzuia hali ya mwako wa moto tumboni, kupunguza kichefuchefu, kuzuia kutapika na kuharisha. Pia huweza kupunguza maumivu ya tumbo na mkakamao wa misuli. Vilevile nanaa husaidia katika uyeyushwaji wa chakula tumbon Inasafisha sumu na uchafu kwenye figo.
Chukua fungu la majani ya mnanaa uoshe. Katakata vipande vidogo vidogo weka kwenye sufuria. Mwagia maji safi na kisha chemsha kwa dakika kumi kisha acha yapoe. Baada ya hapo chuja vizuri hifadhi kwenye chupa safi kwenye friji ili iendelee kuwa ya baridi. Kunywa glasi moja ya maji kila siku utaona mabadiliko,
Utaweza kugundua mabadiliko ya mwili wako mwenyewe. Majani ya mnanaa yanajulikana kwa kiasi kikubwa kama tiba na sehemu kubwa ya mmea huu ni asili.
KWA UPANDE WA MAFUTA
huweza kutibu mafua kabisa ndizo mnazoita vicks au minti, humaliza maumivu kwenye mifupa na viungo, hulainisha ngozi, humaliza makovu sugu km utachanganya na mafuta ya jazzal.
MATUMIZI INATEGEMEA NA TATZO ULILONALO
KWA UNGA NA NANAA KAVU
zinaweza kupunguza mafuta mwilini matumizi unaweza kuytumia km majani ya chai au kuyachemsha
hakika itakupa matokeo mazuri
kwa urefu ntakuwa natoa dondoo juu mmea huu kupitia whatsap group kwan mmea huu una faida nying siwez maliza zote hapa kwa wanawake wenye tatizo la hedh huyu ni daktari mkubwa
pia mmea huu unaweza ukautengeneza kwa mtindo wa juisi na ukakupa faida kiafya, Unaweza ukautengenezea achari kwa kuchanganya na mtindii.
Pia mmea huu n daktar kwa wale wasiohisi raha wakati wa jimai.
Unaweza kufanya mawasiliano kwa kuptia 0621442936 kwa tatizo lolote
una tatizo la uzazi chango hedhi nguvu za
Unapatkana wap
ReplyDeleteKarbuni sahambani kwetu huo mmea unapatikana
ReplyDeleteYaani sijauelewa kabisa sijui unapatikana wapi
ReplyDeleteKuna namba kwa wenye shida angalia
DeleteJina jingine mzugwa?
Delete