FAHAMU KUHUSU MTI NDULELE TURA FAIDA NA MATUMIZI KATIKA AFYA NA MAPENZI

Faida za mtunguja, mtura.

Mti huu unaingia miongoni mwa miti midogo duniani ambayo inafaida kubwa katika afya ya mwadamu. Na mti huu si sumu kama inavyopotoshwa na wengi

Kwa ufupi mtu huu unafaida, kiafya, kiurembo na masuala ya mapenzi. Kwenye mapenzi dawa za mapenzi masomo yanatolewa whatsap group.

Leo tutazungumzia kwenye afya na biashara na kukinga wachawi

Maradhi ya kuumwa meno

Km jino limetoboka chukua mzizi wa mti wa mtura mkavu chemsha na chumvi kisha nyunyuzia kwenye shimo

Km halijatoboka sukutua Mara tatu kwa siku.

Kwa watoto wadogo wa kiume wenye ugonjwa wa ngiri kende kusinyaa. Chukua mizizi ya mti huu na mzizi wa mpapai dume itimie saba Chemsha mpe anywe kutwa Mara mbl kwa ck saba Kwa wakubwa Hii inatuliza tu maumivu kutokana mdudu kukomaa ukhtaj dawa nione.

Maumivu ya hedhi

Chukua unga wa tunda zake kijiko kimoja weka kwenye glass ya maziwa ni dawa mujarabu kwa kunywa. Tumia mpaka maumivu yakate.

Kwa matatizo ya uzazi

Hutumika mizizi ya mti huu mti wa mzalia nyuma mti wa mkunde pori na miti mingine mitatu hutengenezwa kwa mfumo wa unga na maji

Faida ya dawa hii huweza kusafisha mjia wa uzazi kwa wale wenye matatizo ya uzazi kwa kutumia madawa ya uzazi wa mpango wa kisasa. Pia huzibua mirija ya uzazi.

Mdudu wa kidole

Chukua tura iliyokomaa itoboe kisha chukua ule Ute wa ndani zungushia kwenye mdudu

Hakika atapoa

Mti huu hutibu maralia pia matatizo ya hedhi kudhibiti wachawi Nk

KWA BIASHARA

chukua kitambaa cheusi funga hilo tunda na  kipande cha mkaa viwe ndani ya hicho kitambaa

ninginiza katika eneo lako la biashara

ni vyema kama utaweka ndani ya silingbod ay gypsum

km eneo si la frem weka kwenye meza au fukia chini eneo unalofanyia biashara

nb hii haihusian na biashara za kutembeza

faida ya dawa hii

hautaibiwa pesa kwa kopela bimaana chumaulete au kuibiwa bidhaa kichawi.

PIA WAWEZA FANYA DAWA HII NYUMBANI NI MUJARABU KWA WACHAWI KWANI HUIPITIA MBALI
Kwa mawasiliano
Fb acount
https://www.facebook.com/100022636176763/posts/637090757055458/?app=fbl

Fb page 
Pitia www.tabibuasili.blogspot.com 

Comments

  1. Replies
    1. Vp mtalaamu huo mtunguja, mtura unasaidiaje kwenye mapenzi sababu natesa Sana hilo samahani mtaalam

      Delete
  2. Tafuta hela mapenzi hayana dawa

    ReplyDelete

Post a Comment

Popular posts from this blog

MAFUSHO MADINI YA KILA NYOTA NA JINSI YANAVYOTUMIKA

NDOTO ZA FEDHA NA TAFSIRI ZAKE UKIOTA UMEOKOTA HELA. UKIOTA UMEDONDOSHA HELA. UKIOTA UNAPEWA HELA