Posts

Showing posts with the label ndoto na tafsiri

NDOTO ZINASHOARIA UCHAWI, KUROGWA NA KUCHUKULIWA MSUKURE

Image
NDOTO ZINAZOASHIRIA UCHAWI, KUROGWA, MSUKULE  KUna ndoto ukiota inaashiria wewe muotaji umerogwa au unataka kuingizwa kwenye chama cha wanga au unataka kutolewa msukule kuwa makini katika usomaji. Kuna hatua kama nne kuu za mtu kuingizwa kwwnye wanga hizi nitazizungumza siku nyengine mungu akitupa uhai leo tuangalie hizi ndoto na tafsiri yake. Ukiota nyoka mweusi amekuingia mwilini kwa aina yoyote ile iwe kapitia miguun kichwani mkononi tumboni ni ishara ya kuingiwa na jini wa kichawi ambao ametumwa na wachawi. Ukiota unakula nyama na ndoto zikawa zajirudia mara kwa mara ni ishara ya kulishwa vitu vibaya na wachawi usiku sasa aidha wanakulisha kwa kukudhuru au wanataka kukuingiza chamani. Hapa hata ukiamka asubuhi msomo huhisi kweli ulikula kitu usiku. Kuota unaingiliwa kimwili mara nyingi waenda usiku anaweza akakutongoza mchana ukakamtalia basi huja kukuadhibu usiku utaota unaingiliwa na mtu tena kwa fujo na ukiamka hujikuta umechoka  na umechafuka na wakati mwingine huku