UTABIRI WA MWAKA MZIMA WATU WA NYOTA YA PUNDA ARIES


PUNDA KONDOO ARIES 🐴 ♈  MACH21 - APRLI20 

Mwaka utakuwa na mafanikio makubwa kwako kila changamoto utakayokutana nayo itakuwa na mlango wakutokea wenye faida. Utauanza mwaka kwa neema kuna fwdha kiasi zitakuwa hazikupigi chenga ila katikati ya mwaka utakumbana na changamoto kurudiha nyuma. Ikiwa utaweza kuvuka salama na kushinda mitihani mafanikio utayapata. Milango ya safari ipo wazi ila inataka ridhaa za wazazi. Wafanyabishara wanatakiwa kutoa sadaqa na kutoa kafara robo ya mwanzo wa mwaka. 


Mwaka huu umesimama kwenywe mawasiliano, ikiwa una mpenz kama usipofanya mawasikiano mara kwa mara unaweza kumkosa kiwepesi. Mliopo ndoani mawasiliano yananasibishwa na mazungumzo ya wazi. Muwe na muda wa vikao kuongea hali halisi mliyonayo mipango mnayotaka kuifanya ili kufanikiwa. Kuna ishara ya vifungo kupitia kwenye mapenzi kuna mtu wa zamani anakutafuta muda mrefu iwapo utafanikiwa kuingia mikononi mwake mwaka utaona mchungu. Furaha ya siku moja inaweza kukuhangaisha na nuksi muda mrefu.

Unashauriwa kuweka mambo wazi kuna ishara ya afya yako kuyumba utasumbuliwa na mafua, hivyo jiepushe na vumbi.kuna ishara ya huzuni kuondokewa na kitu unachokipenda ama mtu unayependa. Katikakati ya mwaka kuna tykio la kuhadhirika na heshima kupotea. Utakaowakopesha mwaka huu hawatakuwa na nia ya kukulipa mpaka mfikishane vyombo vya sheria ama mnuniane. Tumia njia mbadala unapokutana na changamoto kwani inaonesha kila kwenye dhiki mwaka huu kitakuwa na faraja. 

Rangi zenye nguvu kwa mwaka huu RANGI YA KIJANK kwa wanaosumbuliwa na maradhi huimarisha Afya, rangi ya KAHAWIYA hukupa ujasiri, busara na nguvu ya riziki. Rangi ya NJANO NYEPESI huleta furaha huinarisha akili na bahati kwenye biashara.   namba ya bahati kwa mwaka huu ni 3,6,9,12 unaweza kuzitumia kwwnye siku za bahati kuanzisha mambo mema ama kubashiri. Mnyama anayetumika kwwnye makafara mwaka huu ni kondoo

Ukitaka uchambuzi wa kina kuhusu kipato hatua kwa hatua mambo biahsra afya siku za bahati kibashiri mwaka mzima utachangia gharama.

Watu wa nyota zingine tulia leoleo kila nyota itawekwa.

+255621442936
KWA MNAOTUMA MESEJI WEKA UJUMBE WAKUTOSHA JINA LAKO PAHALA ULIPO NA SHIDA HUSIKA.

Comments

Popular posts from this blog

MAFUSHO MADINI YA KILA NYOTA NA JINSI YANAVYOTUMIKA

FAHAMU KUHUSU MTI NDULELE TURA FAIDA NA MATUMIZI KATIKA AFYA NA MAPENZI

FAHAMU KUHUSU MTURA 'TURATURA' NDULELE MAAJABU NA TIBA YA MARADHI MBALIMBALI