KUNENEPESHA MWILI KWA NJIA ZA ASILI 'TIBA ASILI YA KUONGEZA MWILI

MAKALA HAYA YAMEANDALIWA NA KUANDIKWA NA MTABIBU ASILI TZ JITAHDI KUSOMA MPAKA MWISHO KUNA UAFAFNUZI WA MAMBO MUHIMU

maziwa fresh

KUNA SABABU NYINGI ZINAZOFANYA WATU KUWA NA MAUOMBO MADOGO YAANA WATU WEMBAMBA KWA LUGHA NYEPESI WANAITWA MODO.

Kuna maradhi ya muda mrefu mfano mru akkumwa sana magonjwa shambulizi ya kushusha kinga ya mwili kama vile Kifua Kikuu TB, Ukosefu wa Kinga Mwilini UKIMWI hata maradhi ya sukar preha nk hufanya mwili kukosa muonekano ule wa kawaida.

Lakini pia mtu kuwa na stress sana aidha kwa wanafunzi au watu wanaotafuta maisha kwa kasi huwa na miili midogo sababu bado nafsi na moyo haojaridhika na hawa si wagonjwa na wala si tatzo ila hupitia tu kipindi fulani cha mwili kuwa katika hiyo.

Kuna watu wanarithi yaan ndip nature yao toka kwa babu baba mama shangazi wajomba wote ni wembamba wewe pia si tatzo ndip asili ya mwili wako hata ule nini huwez kunenepa na wala usipoteze muda na gharama.

Lakini pia kuna matatzo ya kurogwa siku hzi wanga wanaweza kutengeneza mpaka ukimwi wa kichawi unapigwa kitu unaumwa na una dalili zote za ukimwi. Sasa hapa unaweza kurogwa mwili usitune sasa hawa tiba yao mpaka wafunguliwe ndipo wapatiwe tiba za kunenepesha mwili.

Pia kuna watoto ambao hawapend kula au michezo mingi, wamama ambao wametoja kujifungua pia wanakuwa hali kama hyo wababa ambao wametoka mazingira magumu mfano jela nk.

Hivyo kama ni mgonjwa ni lazima kwanza ukatibiwa shida yako iloyokufanya mwili ukapungua kisha ndio ufuate zoezi la kuongeza mwili. Maana kama hujashughulikia tatzo unaweza kumaliza madawa ukamilza vitu lakini mambo bado yasiwe mazuri

            DAWA YA KUONGEZA MWILI 
Yafaa sana kwa wagonjwa ama watoto kuendelea kunywa uji asubuhi na jion. Lazima uwe uji maalum wa lishe kisha ndio unachanganya na dawa ninaposema uji wa lishe namaanisha aidha uji wa ulezi ngano uwele ama wale wataalam wanaojua kuchanganya vitu kama dagaa ngano mahindi kidogo karanga nk ili upate unga wa lishe safi.

beetroot

Kisha yatakiwa uwe na unga wa tunda za rose, uwe na unga wa viazi vya beetroot. Na tende zilizosagwa. Na tangawiwiz ya unga. Wakati unatengeneza uji wako ukiwa unachemka unaanza kuweka unga wa tangawizi mwembamba unaacha kidogo kisha unaweza unga wa tunda za rose kisha utaweka unga wa beerroot kisha utaweka tende iloyosagwa utaacha ichemke utatumia kunywa huo uji.

Uji hui unanywea na kila rika hata wwnye mimba wanaweza kunywa ila wapunguze tangawizi kidogo.
     
          VIPIMO VYA UANDAAJI WA UJI

UNGA LISHE UNAOTUMIA UWE ROBO
KIJIKO KIKUBWA CHA CHA CHAKULA UTAWEKA UNGA WA TUNDA ZA ROZE, UNGA BEETROT PIA HIVYO HIVYO, UNGA WA TANGAWIZI PIA HIVYO HIVYO. ITAPENDENZA PIA KAMA UTAPATA UNGA WA MBEGU ZA MABOGA UKAWA UNAKUNWMYA NA MAZIWA ITAKUSAIDIA PIA.

KWA WATOTO MUWAOUNGUZIE UNYWAJI YAAN IWE KIKOMBE KIDOGO KWA MTU MZIMA KIWE KIKOMBE CHA SAIZI SIO LILE KOMBE KUBWA.

WAKATI UNATUMIA DAWA JIEPUSHE NA POMBE KALI. PIA USITUMIE SANA VTU VICHACHU KAMA UKIVIACHA KWA MUDA ITAKUWA VYEMA ZAIDI KWAKO. UPENDELEE KUNYWA JUICI YA ZABIBU NA VYAKULA HALISI VILE FRESH KAMA MICHEMSHO YA SAMAKI NYAMA MBOGAMBOGA ZA MAJANI NA MATUNDA. JIEPUSHE NA UPIGAJI NYETO KAMA WAKIUME PIA WAKIKE EPUKA KUJICHUA HIVYOHIVYO PUA PUNGUZA NGONO WAKAT UNATAKA KUTENGENZA MWILI WAKO.

WATOTO WAPEN MUDA WA KUTOSHA KUPUMZIKA USIMPE PIRIKA SANA PIA MPE VITU AMBAVYO ANAVIPENDA USILAZIMISHE VITU UPENDAVYO WEWE NA YEYE APENDE. KATIKA KPINDI CHOTE USIACHE KULA MAYAI YA KIENYEJ YA KUCHEMSHA NA VYAKULA VYA NGANO KWA WINGI

VITU NILIVYOTAJA VINAPATIKANA MASOKON  NA MADUKA YA DAWA ASILI UNGA WA BEETROT NDIO NGUMU KUPATA ILA UNAWEZA UKANUNUA BEETEROT UKAANDA MWENYEWE. 

KWA WAHITAJI WA DAWA ZILIZOANDALIWA AMBAZO HIZI MATUMIZI YAKE UNAKUNYWA TU NA UJI WOWOTE UWE SEMBE DONA NGANO SABABU IMESHAAMDALIWA VYA KUTOSHA. NI DAWA ZILIZOCHANGANYWA TAYAR NA MATUMIZI YAKE KWA WATOTO NI SIKU 14 WATU WAZIMA MIILI YA KATI NI SIKU 21 WALE VIMODO SANA NI SIKU 41

IMESAIDIA WENGI UNAWEZA KUANGALIA KOMENT ZA WENZIO AU PITIA UKURASA WANGU WA MTABIBU ASILI TZ ULIOPO FACEBOOK.

JIRIDHISHE VYA KUTOSHA SOMA MAELEZO KWA UMAKINI NIMESEMA DAWA INATUMIKA NA UJI WOWOTE NI DAWA ZIPO MBILI MOJA YA UNGA NYINGINE IPO MFUMO MGANDO HUTUMIKA ZOTE KWA PAMOJA KWENYE UJI AMBAO UNA MAZIWA KAMA NI MTUMIAJI WA MAZIWA. IKIWA HUTUMII MAZIWA KUNA DAWA NYINGINE UTAPATIWA KUFIDIA MAZIWA. ZINGATIA MAELEZO NILOTOA NIMEWEKA NJIA ZA KUFUATA NA NMETOA MAELEZO YA DAWA KWA WANAOHITAJI DAWA TU

NI DAWA ASILI ISIYO NA KEMIKALI NA WALA SIO VIDONGE KWA WAHITAJI FANYA MAWASILIANO UTAPATIWA MAELEZO KIOFISI NAPATIKANA TANGA

 +255621442936

HII NAMBA NI YA KIKAZ HIVYO YAKUPASA UPIGE SIMU USIBEEP. NA KAMA UNATUMA UJUMBE BSI WEKA MAELEZO YA KUTOSHA IKIWEMO JINA PAHALA ULPO MA SHIDA YAKO JUMBE FUPI KAMA MAMBO HI HABAR NIAJE KWEMA HI SITAZIJIB HESHIMU MIDA WA MTU

Comments

  1. Unaweza kuchanganya unga wa dona na unga wa maboga pamoja naufuta kwa pamoja

    ReplyDelete
  2. Mnapatikana wap na wall gan

    ReplyDelete
  3. Meme nahitaji kunenepa kaka yani sana nisaidie na hiyo lishe mnauzaje

    ReplyDelete
    Replies
    1. Umefanikiwa mpndwa kuongezeka na mm nataman sana

      Delete
    2. Umefanikiwa mpndwa kuongezeka na mm nataman sana

      Delete
  4. Tafadhali nahitaji hiyo dawa ya weight gain.

    ReplyDelete
  5. Mimi nipo uganda naweza nikapata hiyo dawa??

    ReplyDelete
    Replies
    1. Nmeweka namba kwa wanaohitaji wafanye mawasiliano

      Delete
  6. Niko morogoro nahitaji hiyo dawa

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kuna nambq zimewekwa kwa ajili ya mawasiliano

      Delete
  7. Mbona hamtaji bei ya hiyo dawa lishe

    ReplyDelete

Post a Comment

Popular posts from this blog

MAFUSHO MADINI YA KILA NYOTA NA JINSI YANAVYOTUMIKA

NDOTO ZA FEDHA NA TAFSIRI ZAKE UKIOTA UMEOKOTA HELA. UKIOTA UMEDONDOSHA HELA. UKIOTA UNAPEWA HELA

FAHAMU KUHUSU MTI NDULELE TURA FAIDA NA MATUMIZI KATIKA AFYA NA MAPENZI