KUONDOA MADOA MICHIRIZI MWILINI

  FAHAMU NJIA TANO MUJARABU ZA KUONDOA MADOA MICHIRIZI NA MAKOVU MWILINI

BAADA ya kuongea kuhusiana na ukuzaji wa nywele kutoa chunusi na makunyazi usoni. Sasa tufahamu kuhusiana na kuondokana na Madoa makovu Michirizi na kuipa ngozi yako afya.

  Wapo watu wanatumia gjarama kubwa na muda mwingi kumaliza matatzo haya lakini wanaambulia patupu.

    Wapo wengine hawana uwezo wa kifedha lakini pia hawana uelewa kuhusiana na vitu asili ambavyo unaweza ukavtumia kumalza tatizo.

Leo nakupa njia tano za kuepukana na matatzo nlyoyataja hapo Juu. Km unatattzo moja kat ya hapo Juu chagua njia inayokufaa ambayo ni rahs kwako dumu nayo kwa majuma kadhaa utapata mabadlko

    1.MTINDI
Kwa wenye Madoa usoni tafuta mtindi safi fanyia masaji kwa dakika 15 hadi nusu SAA kisha ukimaliza OSHA na maji vuguvugu
Fanya hvyo kwa majuma kadhaa utapata mabadiliko.

        2.JUISI YA LIMAO
Kwa madoa ya mwilini pakaa juis ya limao kwa kutumia pamba chovya pamba pakaa kwenye DOA acha kwa dkka Kumi OSHA na maji vuguvugu

Usitumie hii ukiwa umetoka kunyoa

        3. MSHUBIRI
Unaweza ukatafuta losheni asili zilizoandaliwa na mshubiri ukikosa tumia utomvu wenyewe kwa kupaka sehemu zenye MichirUlaya

          4. VIAZI ULAYA

PONDA viazi ulivyochemsha weka na juisi ya limao kisha pakaa kwa dkka 10 osha na maji vuguvugu.

Dumu hvyo kwa majuma kadhaa utapata matokeo.

     5. ROSE WATER/ SANDALWOOD

Hii haitakutoa Madoa tu km utaitumia vzuri inaweza ikakupa muonekano mzuri kwani inalainisha ngozi na kuipa muonekano mzuri

Loshen nyingi za asili hutumia vtu HV kutengeneza.

Chukua matone Kumi ya rosewater na kjko kmoja cha sandalwood kwenye bakuli changanya paka mwilini

Fanya Mara TATU kwa ck kwa WK kadhaa km unahtaj kuyafanya yawe mafuta yako dumu nayo kila unapotoka kuoga na kulala
Km hvjui HV vtu angalia pichani

Kupata dawa zilizo tayari 0621442936
Kwa matatzo mengine pia unaweza ukatumia namba hyo.

Kwa wale walipungua uson na malosheni yenye kemikali fanya hvyo utarud km zamani

Tembelea wall yetu utajifunza meng

Comments

Popular posts from this blog

MAFUSHO MADINI YA KILA NYOTA NA JINSI YANAVYOTUMIKA

NDOTO ZA FEDHA NA TAFSIRI ZAKE UKIOTA UMEOKOTA HELA. UKIOTA UMEDONDOSHA HELA. UKIOTA UNAPEWA HELA

FAHAMU KUHUSU MTI NDULELE TURA FAIDA NA MATUMIZI KATIKA AFYA NA MAPENZI