KUPUNGUZA UNENE ULIOPITILZA

FAHAMU KUPUNGUZA KITAMBI, MATITI, MIKONO NA MINYAMA UZEMBE

  Habari yako mpenzi msomaji wa makala hii. Kama ni mfuatiliaji mzuri wa makala zangu basi kuna vitu utakuwa unaongeza kwenue kichwa chako kila uchao juu ya utembo kupunguza mwili kuonheza nguvu za kiume na mambo menhine mengi.

    Leo nmeamua kuirejea makala ya hii ya kupunguza tumbo kutokana na kupata mrejesho mkubwa juu ya makala haya. Katika dunia tuliyonayo sasa hakika unene unawatesa watu wengi sana kina mama. Wanashindwa kuvaa baadhi ya nguo sababu ya nyama uzembe.

  FAHAMU KUHUSU TANGAWIZI NA LIMAO KATIKA KUPUNGUZA MWILI.

  Tangawizi na limao ni viungo vinavyoaminika ktk kukausha mafuta na kuyeyusha mafuta mwilini Leo tutavitumia viungo hivi asilia katika kupunguza ukubwa wa matiti,tumbo, mapaja na mikono iliyoning'inia manyama uzembe

mahitaji tangawizi mbichi limao au ndimu na Asali safi

JINSI YA KUPUNGUZA TUMBO

andaa tangawizi yako imenye vizuri kisha itwangwe au usage kwa blenda kamulia malimao makubwa matatu kisha iache kwa dkka kadhaa ijichanganye tumika kupaka tumboni kwenye nyama uzembe Inazoning'inia.

Pia chukua tena tangawizi yako iblend au itwange ichemshe kwa maji moja na nusu iache ibakie Lita moja ichuje weka kwenye glass moja weka vjko vtatu vya Asali vjko vtatu vua limao tumia kwa kunywa asubuhi kabla ya kula chochote na uck unapotaka kulala.

Zoezi hl lifanyike pamoja na Mara mbili kwa siku kwa majuma kadhaa utapata mrejesho mzuri

KUPUNGUZA MATITI MIKONO NA MAPAJA

Twanga tangawizi hadi ilainike sana kisha kamulia limao lako au ndimu mchanganyiko huo jisugulie kwenye mikono kwa mda wa dk2 had 5 ILI KUONDOA NYAMA ZILIZONING'IA MKONONI

Paka mchanganyiko huo matiti yako hayo unayotaka yapungue pakaa kwa mzunguko kwa kuvutia juu au katikatiya chuchu huku ukisugua taratibu kwa muda wa dk2 acha ikauke

Fanya lile linalokuhusu tu.kama ni titi mikono au tumbo taangawizi ikikauka unapaswa ufanye mazoez kumbuka mazoez yote ya mikono husaidia titi lisianguke na pia lisimame dede fanya hivyo mara mbili kwa siku ndani ya wiki mbili utapata matokeo mazuri sana

Kupata dawa iliyoandaliwa tayari kwa ajili ya kupunguza mwili kunenepa km ww n modo sana nguvu za kiume, sukari, presha
0621442936 

Comments

Popular posts from this blog

MAFUSHO MADINI YA KILA NYOTA NA JINSI YANAVYOTUMIKA

NDOTO ZA FEDHA NA TAFSIRI ZAKE UKIOTA UMEOKOTA HELA. UKIOTA UMEDONDOSHA HELA. UKIOTA UNAPEWA HELA

FAHAMU KUHUSU MTI NDULELE TURA FAIDA NA MATUMIZI KATIKA AFYA NA MAPENZI