Posts

Showing posts with the label mishumaa

FAHAMU NGUVU YA MISHUMAA NA UTUMIAJI WAKE KATIKA TIBA ASILI

Image
ELIMU YA BURE NAKUPA MISHUMAA hutumika kwa kazi nyingi katika maisha ya binaadamu. Miujiza ya mishumaa imeanza tangu enzi za hizo. Mishumaa imekuwa ikitumika kwa kazi tofauti tofauti kutokana na rangi na aina ya kazi. Somo hili ni refu kidogo ngoja tuzungumzie mshumaa mwekundu katika kumrejesha mpenzi aliyekuacha. Kisha tutaangalia na kung'arisha nyota kikazi na maisha kwa ujumla SHARTI YA ZOEZI  awe kweli alikuwa mpenzi wako ni zoez la kirejesha na si la kuvuta bimaana mlishawahi kishiriki jimai. VITU VINAVYOHITAJIKA mshumaa mwekundu mmoja pini mpya au sindano kioo makapeni au zafarani nyekundu      JINSI YA KUFANYA andika jina la huyo mtu kwenye mshumaa kwa kutumia pini au sindano andika kwa ulalo kutoka juu kwenda chini andika majina yake matatu na jna la mama yake chukua hicho kioo andika jina lake pia kwa hyo zafarani nyekundu au makapeni ukimaliza kaa chini huo mshumaa uweke mbele yako na mbele ya mshumaa weka kioo washa mshumaa kwa manuizi ya zoeZI LAKO kisha anz