FAHAMU NGUVU YA MISHUMAA NA UTUMIAJI WAKE KATIKA TIBA ASILI



ELIMU YA BURE NAKUPA

MISHUMAA hutumika kwa kazi nyingi katika maisha ya binaadamu. Miujiza ya mishumaa imeanza tangu enzi za hizo.

Mishumaa imekuwa ikitumika kwa kazi tofauti tofauti kutokana na rangi na aina ya kazi. Somo hili ni refu kidogo ngoja tuzungumzie mshumaa mwekundu katika kumrejesha mpenzi aliyekuacha. Kisha tutaangalia na kung'arisha nyota kikazi na maisha kwa ujumla

SHARTI YA ZOEZI 
awe kweli alikuwa mpenzi wako ni zoez la kirejesha na si la kuvuta bimaana mlishawahi kishiriki jimai.

VITU VINAVYOHITAJIKA
mshumaa mwekundu mmoja
pini mpya au sindano
kioo
makapeni au zafarani nyekundu


     JINSI YA KUFANYA
andika jina la huyo mtu kwenye mshumaa kwa kutumia pini au sindano
andika kwa ulalo kutoka juu kwenda chini andika majina yake matatu na jna la mama yake

chukua hicho kioo andika jina lake pia kwa hyo zafarani nyekundu au makapeni

ukimaliza kaa chini huo mshumaa uweke mbele yako na mbele ya mshumaa weka kioo

washa mshumaa kwa manuizi ya zoeZI LAKO kisha anza kumtumia salam ulalamikie huo mshumaa mithiri unamuona huyo mtu mbele yako
tumia kukaa kwa muda wa nusu saa

ukimaliza inuka uache mshumaa uungue mpaka yalipoishia maneno ya yale majina uliyoyaandika
zima kwa kuupuliza 

weka vifaa vyote ulivyotumia sehemu moja subr majibu

Kusafisha nyota

 kwa mwenye kutaka kusafisha nyota basi atachukua sahani mpya ya shaba nakuipanga mishumaa meupe sita na mmoja atauchukua mweusi akiwa bara la afrika. Rangi hubadilika kulingana na bara una asili ya wahusika uarabuni utatumia mshumaa mwekundu watu wenye asili ya asia uchina uhind nk hutumia rangi ya njano 

Ataiweka kwenye sahani safi na kuiwasha kwa manuizi maalamu kwa kazi anayo ikusudia na ataicha iwake mpaka iishe kisha mabaki utayatupa jaaani ama jalala linalotupwa taka ama dampo na sahani tafuta fukara yoyote umpatie kama zawadi lakini kazi hii itafanywa baada ya kuwa umefunguliwa kwa siku na saa maalumu ilio kusababushia kiza(kifungo/nuksi) ulio kuwa nayo kutokana na nyota yako na kujulikana ni ipi ilio kusababishia jambo hilo. Hii ni kazi ya mtaalam sasa.
Mishumaa ya rangi inapatikana maduka ya dawa za asili popote.

Kwa matibabu au uhitaji wa dawa za mapenzi kazi biashara kesi kuuza kuibiwa nguvu za kiume nyota nk

Niachie ujumbe inbox

Whatsp +255621442936
Group la whatsap n la malipo

Comments

Popular posts from this blog

MAFUSHO MADINI YA KILA NYOTA NA JINSI YANAVYOTUMIKA

NDOTO ZA FEDHA NA TAFSIRI ZAKE UKIOTA UMEOKOTA HELA. UKIOTA UMEDONDOSHA HELA. UKIOTA UNAPEWA HELA

FAHAMU KUHUSU MTI NDULELE TURA FAIDA NA MATUMIZI KATIKA AFYA NA MAPENZI