FAIDA ZA MTI WA MLANGAMIA AU MFUNGAFUNGA KATIKA DAWA ASILI


UHALI GANI MSOMAJI WA MAKALA ZETU TUANAKUKUMBUSHA KUWA MWENYE UHUTAJI WA DAWA ZA MARADHI AU MATATIZO MENGINE Inbox

LEO tunaongelea mti wa mlangamia, mti huu una majina mengi kila eneo unajina lake ila angalia picha ili tupate kwenda pamoja.


Faida za mti huu ni kubwa mno cwez kuzimaliza kuanzia kiazi cha mti huu mpaka kamba zake. Mti huu watu husema hauna shina c kweli unalo lakini ni ngumu kuliona mti huu shina lake ni kiazi ambacho hukaa chini alaf hauna muendeleoz unaonyesha kuwa unaelekea wapi kwa ufupi mti huu upo mtindo wa wirelless shina lipo chini mti wenyewe upo juu ni maajabu ya mungu.

Kiazi chake kupatikana kwake kuna utaalam kidogo unatumika na ndio maana kiazi chake hutumika kwa kzi nyingi kuvuta wapenzi kwa haraka, wateja kwenye biashara kufungia watu riziki nk nitaeleza kwa uref kwenye group.

Leo nitaongelea kamba zake km unavyoona pichani.

Ukichukua kamba zake ukazitwa na kutia maji kidogo ili upate juisi yake utachuja na itatumika kama ifuatavyo

Mtoto anayesumbuliwa na tumbo mpe kijiko kimoja atapona

Mtu mzima anayesumbuliwa na tumbo anywe kikombe kidogo cha kawaha mtu mwenyr matatizo ya uzazi anywe kikombe kikubwa kwa ck 21 mara mbili kwa ck.

Mtu ambaye ana mimba kubwa uchungu tayar mtoto hataki kutoka achemshiwe kamba zake anywe kwenye kikombe cha plastik nyengine aroweke aoge au anawe km atashindwa kuoga

Mtoto aliyebemendwa 

Achemshiwr hizo kamba na mama yake anyweshe kisha kamba zingine ziweke kwenye beseni baba na mama wazifikiche kwa mikono yao kisha aogeshwe mtoto


Dawa ya kwikwi isiyokata

Chukua unga wa kamba za mlangamia na ubani mweupe punje tatu weka kwenye glass ya maji vuguvugu kunywa glasi 1 kutwa ×2 kwa siku tatu utapona kwa uweza wake Allah.

KUMSHIKA MPENZI KIMAHABA, 

 utachukua kamba za mlangamia kavu  utaztwanga vizuri halafu ule unga wake mtilie kidogo kwenye chakula au kinywaji basi nakuambia atakupenda hatari ila wakati unachuma Yale majani chuma kwa manuizo ya huyo mtu akupende wewe asiende kwa mwingine.Kama haupendi tafadhali usimfanyie 
Ila km utapata unga wa kiazi chake majibu utayapata kirahs zaid

Nb kinywaji au chakula uandae mwenyewe mfanyaji 

Nmetaja kwa uchache faida zake tukipata wasaa tutaendelea kuzitaja hapa ila baadhi ya vtu vingine tutavitoa kwenye group
Mti huu unapatikana maporini maeneo mnayoishi nategemea maswali mti huu unapatiakana wap hayatakuwepo
Group la whatsap kwa mwez elf 10
Group la fb tafuta DAWA ZA KISUNA NA TIBA ASILI

Kwa tatzo lolote niwchie ujumbe inbox napenzi kesi nyota biasha nk
+255621442936

Comments

Popular posts from this blog

MAFUSHO MADINI YA KILA NYOTA NA JINSI YANAVYOTUMIKA

NDOTO ZA FEDHA NA TAFSIRI ZAKE UKIOTA UMEOKOTA HELA. UKIOTA UMEDONDOSHA HELA. UKIOTA UNAPEWA HELA

FAHAMU KUHUSU MTI NDULELE TURA FAIDA NA MATUMIZI KATIKA AFYA NA MAPENZI