FAHAMU KUHUSIANA NA MMEA WA MZALIA NYUMA TIBA KWA UZAZI NA MATATIZO YA HEDHI


MMEA huu ni mdogo kiumbo lakini una mambo mengi sana katika tiba za asili. Niliwahi kuugusia siku za nyuma leo ufahamu kwa upana.


Mmea huu huoatikana kwa wingi kwenye vipor vidogo hasa maeneo wanayoishi watu . Wanaoishi ukanda wa Pwani mti huu si mgeni. Angalia vzur picha ili uufahamu maana nitaulizwa unaitwaje kwa kizigua sijui nitajia jina lake kwa kihaya sijui kikwere mimi sifundishi lugha natoa darasa za dawa kwa mti na mimea sasa jitahd kuangalia picha vzuri.

Ukichemsha majani ya mti huu ukanywa glas mbili kwa siku ndani ya siku saba inaweza kukutibu malaria sugu na homa ya matumbo iliyokomaa tyfoid.


Kushusha homa kali chemsha majani ya mti huu tumia kwa kunywa kikombe cha kahawa inashusha mapema sana homa ila ina asili ya uchungu watoto wadogo na wajawazito hawaruhusitiki kutumia hii.

Wanaosikia maumivu wakati wa jimai na husikii raha ni maumivu tu twanga mti wote mizizi na majani yake tumia kunywa subr kipindi cha hedhi ukimaliza acha kunywa mara mbili kwa siku matumizi kikombe cha chai

Ukipata unga wa mti huu ukichanganya na mafuta ya nazi au zaituni ni dawa nzur ya ugonjwa wa ngozi malengelenge pia huondoa makovu ya moto.

Kukatisha harufu mbaya ukeni sambamba na majimaji yenye karaha hedhi iliyopitila chukua majani ya mzalia nyuma na majani ya kivumbasi ule mdogo twanga kisha chemsha na maji kiasi chuja ile juice yake
Tumia kunywa kikombe kidogo kutwa mara mbili kwa siku 11 
Si mbaya kama utapata na pilipili hoho na tangawizi chemsha maji yake changanya na maji yako ya kuoga inastimulate mwili vzur

Ila kama hedhi isiyokata imesababishwa na kirogwa yakupaswa uopolewe kitaalama kwanza.

Homa ya ini maumivu ya kichomi ubavu wa kushoto yasiyoisha sukar ya kuoanda
chukua miti kumi na nne na majani ya mchaichai yakutosha chemsha kwenye maji lita tano yache yachemke kisha had yapungue kisha ichuje tumia kwa kunywa
Glas tatu kwa siku ndan ya miez miwili itakuponya
Ukitaka dawa za unga zilizoandaliwa fanya mawasiliano.

Una tatzo lolote la afya biashara kazi nguvu za kiume uzazi mapenzi kesi kuibiwa nk niachie ujumbe inbox ya page
+255621442936

Whatsap group ni la kulipia.

Comments

Post a Comment

Popular posts from this blog

MAFUSHO MADINI YA KILA NYOTA NA JINSI YANAVYOTUMIKA

NDOTO ZA FEDHA NA TAFSIRI ZAKE UKIOTA UMEOKOTA HELA. UKIOTA UMEDONDOSHA HELA. UKIOTA UNAPEWA HELA

FAHAMU KUHUSU MTI NDULELE TURA FAIDA NA MATUMIZI KATIKA AFYA NA MAPENZI