DAWA YA MARADHI SUGU YANAYOKUTESA KWA MUDA MREFU TARASIMU HII ITAKUSAIDIA

TARASIMU KWA AJILI YA KUMALIZA UGONJWA SUGU


  kama una maradhi sugu yameutesa sana mwili wako umetumia dawa nyingi lakini bado hakuna afuwe fuata taratibu zifuatazo.



  Tarasimu hiyo hapo juu utaiandika kwenye sahani ya udongo siku ya ijumaa saa 12 jioni. Matayarisho yake utanunua zafaran ya unga misk nyeupe na maji ya rose.

   Utayayusha hiyo zafarani na utaandika tarasimu kwenye sahan  ya dongo. Kisha utayeyusha siku ya pili alfajiri.

  Yaani utafuta hayo maandishi kwa maji ambayo utakuwa umeyakinga kwa chini. Au itumbukize hyo saham kwenye bakuli la maji mpaka maandishi yote yatoke.

   Matumizi atakunywa mgonjwa kwa siku tatu mara mbili kwa siku. Pia atatumia mizizi ya mnyanyua vizito atachemsha na kunywa kwa siku zote tatu anaanza hyo tarasimu kisha mnaynyua vizito.

Kwa mawasiliano +255621442936

Comments

Popular posts from this blog

MAFUSHO MADINI YA KILA NYOTA NA JINSI YANAVYOTUMIKA

NDOTO ZA FEDHA NA TAFSIRI ZAKE UKIOTA UMEOKOTA HELA. UKIOTA UMEDONDOSHA HELA. UKIOTA UNAPEWA HELA

FAHAMU KUHUSU MTI NDULELE TURA FAIDA NA MATUMIZI KATIKA AFYA NA MAPENZI