KUKINGA BOMA NYUMBA SHAMBA NA ENEO LA BIASHARA



BAADA ya kutoa somo kuhusiana na njia za kumuadhbu mwizi na kurudiasha ktu chalk klchoibiwa nmepata meseji na simu nyingi wote wakilalamikia jiu ya kuibiwa.

Natumai kuptia somo hilo mmejisaidia wenyewe na km ukishindwa utapatiwa msaada. Somo hilo km lilikupita ptia wall yangu mda huu

Baada ya kuzungumza machache twende kwenye njia za kujikinga na wez zoo nying na nyengne za kitaalam zaid hapa ntatoa chache ambazo no rahisi.

Ukhifaj kuweka nyuki shambani nyoka mwizi anapoingia amuadhibu nitafute.

Kinga ya shamba au nyumba

Toka mlango barazan tembea ukiokota vijiwe ardhini kwa kuvifukua viwe Saba au Kimi na nne au 21 itategemea ukubwa wa eneo unalotaka kulitega

Kaa chini ukumbini au katikati ya shamba lako elekea kibla somea hvyo vijiwe aya tisa za Surat yasini Mara tisa ukiwa umefumba macho

Ukimaliza Tia nia yako juu ya shughuli unayotaka kuifanya

Inuka hzo vjiwe vfukie kuzunguka eneo unalotaka kulitega

Kama hujui kusoma tafuta mtu anayejua asome mkiwa wote mmefumba macho kama nilivyoeleza

Njia nyengine 

Chukua vijiti Tisa vya mdalasini vile vimagome virefu kisha vifunge kama kimzigo cha kuni kwa uzi mweusi iwe cku ya jumamosi SAA nane mchana au juma NNE ucku SAA 8 ucku.

Wakati unafunga hakikisha asikuone mtu sema mimi fulan mzaliwa wa fulan jina la mama hapa sifungi mdalasini nafunga eneo langu utalitaja kama mm nilivyo hapa sionwi na mtu yeyote zaid ya mungu basi eneo langu watu walipite wakija kwa ubaya.

Ukimaliza kufunga tundika mlango mkuu wa kuingilia eneo na nyumba yako ni mlango mkuu namaanisha barazani sio geti

Hii yakupasa ufanye mara kwa mara oengine kila baada ya wiki maana si dawa ya muda mrefu.

Vtu vyakuzingatia soma kwa makini maelezo niliyoyatoa kabla hujaulza swali mdalasini ni huu unaopikiwa chai ila yale magome yake marefu sio vile vilivyovunjwa vunjwa

Kwa tatizo lolote uzazi, chango, biashara, mapenzi kesi, kuibiwa, kuuza nk kwa dawa niachie ujumbe inbox ya page

Muhimu kama unatuma ujumbe tuma kwenye page au kwa whatsap ukintumia mesej kawaida nina mesej nyingi za kawaida inaniwia ugumu 

Group la whatsap ni la malipo kwa wahitaji tu 

Comments

Popular posts from this blog

MAFUSHO MADINI YA KILA NYOTA NA JINSI YANAVYOTUMIKA

NDOTO ZA FEDHA NA TAFSIRI ZAKE UKIOTA UMEOKOTA HELA. UKIOTA UMEDONDOSHA HELA. UKIOTA UNAPEWA HELA

FAHAMU KUHUSU MTI NDULELE TURA FAIDA NA MATUMIZI KATIKA AFYA NA MAPENZI