KUMFUNGA MTU ASICHEPUKE AU ASITOKE NJE YA NDOA

NGUVU YA TARASIMU

NILISHAWAHI kuzungumzia nguvu za tarasimu mara kadhaa leo naomba niongelee kwa ufupi taraismu hiyo hapoa chini.

Hii ina matumizi mengi na kila matumizi ina uandaaji wake leo nitazungumzia kwa ufupi tu juu ya kudhibiti 

Kabla ya kufanya hii shart lake kwanza anayefanya na yeye asiwe mzinifu maana jtajifunga mwenyewe. Pili ni lazma awe mke au mume wa ndoa 


Hii tarasimu hapo juu inaandikwa kwa damu ya kuku mweusi jogoo itaandikwa na majina ya mkusudiwa kufungwa majina matatu lake baba na mama 
Pili utaenda kukutana na mkusudiwa ukiwa na kitambaa maalumu ambacho mkimaliza utamfutia sehem nyeti hakikisha hicho kitambaa usigusishe nyeti yako

Kisha utatoka nacho na utakifanya kama ifuatavyo utakikanyaga mguu wako wa kushoto na kusema kuanzia leo nmekuweka chini fulani bin fulani utataja majina yake matatu mkusudiwa uwe chini kama nilivyokukanyaga hapa usione na usitamani mwingine utaongezea maneno yako utakiokota

Utakiweka katikati ya ile tarasimu utafunga vzuri na nje utafunga na kitambaa cheusi
 Utafukiza na ubani karaha kwa manuiz

Utasubiri muda wa kufunga yaan saa na siku ya  kufunga mtu au kitu waliopo kwenye group letu wanafahamu haya masomo ya saa na siku ukhtaj kwa kina jiunge na group

Utaenda kaburin baada ya kujua saa na ck utaenda juu ya kaburi aidha liwe kongwe au la mtoto mdogo 
Fukua katikati
Weka huo mzigo wako alaf sema kama aliyelqla hapa anajielewa na kuja kitafuta rizik basi na fulan bin fulan na ye akatafute wanawake au wanaume lakini kama aliyelala kalala naye alale milele kwangu

Fukia ondoka usigeuke nyuma

Mambo muhimu wakati unanuia usiseme asione mwanamke yoyote au mwanaume yoyote ila ni mimi utakosea atakuwa asemezani hata na nduguze

Kama unahtaj hyo tarasimu fanya mawasiliano whatsap +255621442936

Kama una tatzo lolote la kazi, biashara, mahusiano, ndoa, nguvu za kiume nk namba n hzo

Kwa wahtaji wa group la whatsap fuata hizo namba tafadhali usiweke namba hapa

Comments

Popular posts from this blog

MAFUSHO MADINI YA KILA NYOTA NA JINSI YANAVYOTUMIKA

NDOTO ZA FEDHA NA TAFSIRI ZAKE UKIOTA UMEOKOTA HELA. UKIOTA UMEDONDOSHA HELA. UKIOTA UNAPEWA HELA

FAHAMU KUHUSU MTI NDULELE TURA FAIDA NA MATUMIZI KATIKA AFYA NA MAPENZI