FAHAMU KUHUSU NGUVU ZA KIUME NA KUKUZA DHAKAR



Nmekuwa nikipokea meseji nyingi kuhusiana na nguvu za kiume na kukuza dhakari. Leo nimeamua kutoa makala haya ambayo yataeleza kwa kina ni kwa kiasi gani unaweza ukaathirika, chanzo na njia za kuepuka.


Kuna sababu nyingi zinazosababisha mwanaume kukosa nguvu za kiume, nitazitaja zile kubwa na pia ili kutibu tatizo inabdi udili na chanzo kwanza utibu chanzo

Hizi ni sababu kuu

Upigaji wa punyeto kwa muda mrefu, hii huweza kulegeza misuli ya uume. Kuugua kwa muda mrefu mfano matadhi ya tb presha sukar huweza kushusha nguvu za kiume. Utuzamaji wa filamu na picha za ngono. Staili ya maisha kuanzia ulaji uvaaji unywaji. Majini mahaba hapa kama utakuwa na jini mahaba huweza kukufunga, pia hata kama mkeo ana jinni mahaba huweza kukufunga nguvu na hata riziki. Kufungwa kichawi, matego kwa kuingilia mke sio halali yako.

  Utajuaje kama huna nguvu za kiume ukienda moja hurudi tena, uume kusinyaa, hata ukisimama hauna nguvu kabisa. Kushindwa kumpatia mwanamke ujauzito maana uzalishaji wa mbegu huwa hafifu. Kuwa muoga sana.

Wakati mwingine hata nuksi pia hushusha nguvu za kiume.

Hapo juu kila sababu ina tiba yake ni vyema ukachunguza kwanza chanzo cha tatizo wengi mtandaon watakuuzia dawa hawatajali chanzo ni kipi ushauri wangu ni huo

Tukirudi kwenye kukuza kuna baadhi ya maumbile yamekuja kutokana na ugonjwa kama nilivyoeleza hapo juu hawa wanaweza wakatumia dawa za kukuza na wakapona kabisa sasa kwa wale mlioumbwa hvyo mumuachie mungu kwa ufundi wake

chukua ukwaju zile tunda chemsha na

 pweza yaani vichemke pamoja kunywa hiyo supu hii itakupa nguvu  muhimu tibia 

Nguvu za kiume tafuta habbatsouda unga, tangawizi unga,  kungu manga, kitunguusaumu, karafuu, mkulukuzi dalasini saga  saga vyote viwe unga unaweza kutumia kuweka na asali au kuweka kwenye chai au maji moto kutwa ma ra mbil siku 7 

Kukuza dhakar

Tafuta mafuta ya tembo, mafuta ya khardar na unga wake upate khabasouda unga, na unga wa muinge

Utachanhanya kwa uwiano sawa matumizi utatmia kuchua kutoka kwwnye uume kwenda juu kichwani 

Kwa siku 21 utapata matokeo mazur

Muhimu vtu nlvyovtaja vnapatkana maduka ya dawa asili kasoro vtu vichache tu ambavyo ni porini. Kuchua uume ni lazma uume uwe umesimama 

Kama unahtaj dawa iliyo tayar 0621442936

Una tatizo lolote la kazi, mapenzi, kesi, biashara nk niachie ujumbe inbox

Comments

Popular posts from this blog

MAFUSHO MADINI YA KILA NYOTA NA JINSI YANAVYOTUMIKA

NDOTO ZA FEDHA NA TAFSIRI ZAKE UKIOTA UMEOKOTA HELA. UKIOTA UMEDONDOSHA HELA. UKIOTA UNAPEWA HELA

FAHAMU KUHUSU MTI NDULELE TURA FAIDA NA MATUMIZI KATIKA AFYA NA MAPENZI