FAHAMU KUHUSU MNAANAA VUVUZELA LA SHETANI FAIDA NA MATUMIZI YAKE



KUNA miti miwili huwa inawachanga watu kuna nanaaa na mnaanaa ni vtu viwili tofauti nanaa ndio minti ni dawa ya mafua na maumivu soma makala zilizopota nishaieleza kwa urefu na upana.
Pili kwa wale wanaokopi makala zetu na kuweka kwao kuna vtabu tunaviuza kwa ajili ya kuifahamu miti vzuri unaweza ukapatiwa ili uongoze elimu yako ya kidaktari pia tunatoa ushaur kwa wanaotaka kuingia kwenye fani ya tiba. kwa urahisi pitia www.tabibuasili.blogspot.com.

Tuangalie mti wa mnaanaa au vuvuzela la shetani una majina mengi sana ila kubwa angalia picha kwa umakini ili ufahamu tunaongelea nini.

kwa mtoto anaelia usiku chukuwa mbegu ya mnanaa isage na changanya na kitungu saumu na mafuta ya nyonyo funga kwenye kirairon kisha funga kwenye kitamba chusi  mfunge mkononi au weka mchagoni atalala vizur kabisa hii kwa watoto kuanzia siku moja mpaka miaka miwili.

Kwa wenye matatizo ya pumu ya kubana pumzi kubana mbavu chukua majani makavu ya mti huu kisha yasage kama unasaga bangi au tumbaku nyonga msokoto kama sigara kwenye gazet kisha vuta pafu tatu ule moshi umeze ukikohoa ama kitapika utapata afueni
Hii ni dawa ya kutuliza.

mvuto wa biashara chukuwa mnana changanya na chumvi mawe tumia kuchoma eneo la biashara utaona ajabu.

Hutuliza maumivu ya ngiri chukua matunda yake makavu unayatwanga uapate  unga laini matumizi unamuwekea kwenye uji kijko kimoja cha chai kwa nusu kikomb cha uji

Kama mna storia ya ugonjwa wa ngiri na hujaitibia ni vyema kuwa nayo hii nyumbani itakusaidia pale tu unapobanwa unatumia haraka inakuachia.

Pia unga huo unaweza kumtuliza mtu mwenye vurugu yaani mtu aliye changanyikiwa aliyerukwa na akili akawa na vurugu katika kipindi mnatafuta njia za kujua nn tatzo ili atibiwe
 
Utachukua unga au tunda bichi unaponda kidogo na kitunguu swaum mtamnyishwa kinguvu atalala usingizi mzito kwa muda mrefu mtapata muda wa kuangalia tatzo

Atakapozinduka utaponda muhogo mpira utatia kweny maji utamuogesh kumaliz uchovu wake huku mkiendelea na tiba sasa
Asipewe nyingi hyo dawa atalala mda mref zaid pia itamchosha sana.

Mti huu unatumika kwenye kazi nyingi sana nitaendelea kuzifafanua ila katika shughuli za mapenzi hlo ua au vuvuzela nitaeleza kwenye group la whatsapa kwa upana pamoja na mambo mengine

Una tatzo lolote la mapenzi biashara kazi ndoa mahusiano kesi kuibiwa kuuza kudhulumiwa nguvu za kiume uzazi presha sukat nk kwa dawa niachie ujumbe inbox
Ya page au whatsap +255621442936
Namba hii haipokei ujumbe wa kawaida nina meseji nyingi

Group la whatsap ni malipo kwa wanaohitaji tu

Comments

Popular posts from this blog

MAFUSHO MADINI YA KILA NYOTA NA JINSI YANAVYOTUMIKA

NDOTO ZA FEDHA NA TAFSIRI ZAKE UKIOTA UMEOKOTA HELA. UKIOTA UMEDONDOSHA HELA. UKIOTA UNAPEWA HELA

FAHAMU KUHUSU MTI NDULELE TURA FAIDA NA MATUMIZI KATIKA AFYA NA MAPENZI