MFAHAMU JINI PAKUZI 'MUHARIBU MIMBA' ANAVYOTESA HASARA ZAKE NA TIBA



JINI huyu ni miongoni mwa majini tesi kwawanawake. Katika maisha ya wanawake yana mambo mengi sana yanayosababisha mitihani kwenye ndoa na vizazi vyao. Leo ntaongelea mlango wa ndoa n uzazi. 


Ndo huwa mbaya kwa wanwake au mahusiano kutokana na majini mawili makubwa.Kuna majini mengi yanayowaandama wanawake lakini katika ndoa ni majini mawili ni jini mahaba na jini pakuzi.

www.tabibuasili.blogspot.com
Jini mahaba nilishatolea ufafanuzi mara kadhaa moja ya dalili zake ni pamoja na kuota kufanya jimai 'mapenzi' mara kwa mara na wakt mwungine hujisikia raha zaid ukiwa ndoton kulko unlkiingiliwa na mumeo. Ndoto za kuzaa ndoto za kunyonyesha ndoto za mimba ndoto za bahari ndoto za mali na utajiri. Hasara zake utakuwa hushiki mimba utawachukia wanaume kukosa maelewano kwenye ndoa wkati mwingine hukutia hata nuksi kwenye mambo yako na hii hata kwa wanaume pia huwatokea. Soma makala ya jini mahaba kwenye ukurasa wangu mtabibu asili tz nmefafanua vzuri

Kuhusu jini pakuzi 
Huyu ndiye jini mbaya zaidi kulko jini mahaba maana huyu hukutia uchungu kupita kiasi. Kazi za jini huyu ni kula vtu vilivyo tumboni mwako ili kukukomoa. Moja ya dalili za jini huyu huharibu mimba tena husubri kuanzia miez mitano kwendabele ndo huharibu. Wakay mwingine hukuachia mpaka uzae kisha humla yule mtoto www.tabibuasili.blogspot.com
Kama ulishawahi kukutana na matukio ya kuharibu mimba ikajirudia mara kadhaa au kuzaa watoto kufa ujue unaye huyu jini.


Dalili nyengine ukishika mimba tu huanza kunyong'onyesha mwili wako kuumwa kusikokwisha ila mimba ikiharibika umepona wakat mwingine maumivu makali chini ya kitovu kuanzia sku ya kwanza na hayakati basi ujue unaye

Unaweza ukawa na jini mahaba na pakuzi kwa pamoja ukaenda kwa wataalam wao wakamuona jini mahaba tu wakamtoa lakini bado mimba zinaendelea kuharibika ndoto unaota unanyang'anywa mtoto alaf hukai sana mimba huharibika huyu ni pakuzi.

Vipi utamaliza tatizo
Majini haya yote dawa zake ni kutolewa tu na kufungwa mgonjwa aendelee na shughuli zake vipi anatolewa ni masuala ya kitaalamu lazima aangaliwe jini ukubwa na ukongwe wake kisha ndo mipango yakutolewa hufuata fika kwa wataalam karibu nawe au njoo ofcn tanga 

Endapo una jini mahaba au pakuzi na ukatokea umeshika mimba penda kulala na mvuje au kujifunga mkononi hii inawapunguza makali.hata kama una jini mahaba we lala na mvuje kwenye mto wako pelia penda kujifusha huo mvuje kabla ya kulala hii itampoza huku ukiendelea kitafuta njia za kumtoa mvuje unapatikana maduka dawa asili

Una tatizo lolote la biashara ndoa mapenzi mahusiano kesi nyota nguvu za kiume jini mahaba nk kwa dawa na mafanyo niachie ujumbe inbox

Maswali uliza hapa chini umependa somo shea usikopi tafafhali
www.tabibuasili.blogspot.com

+255621442936

Comments

Popular posts from this blog

MAFUSHO MADINI YA KILA NYOTA NA JINSI YANAVYOTUMIKA

NDOTO ZA FEDHA NA TAFSIRI ZAKE UKIOTA UMEOKOTA HELA. UKIOTA UMEDONDOSHA HELA. UKIOTA UNAPEWA HELA

FAHAMU KUHUSU MTI NDULELE TURA FAIDA NA MATUMIZI KATIKA AFYA NA MAPENZI