Posts

Showing posts with the label uchawi wa zamani

FAHAMU MAAJABU YA KUFULI KATIKA KUREJESHA NA KUDHIBITI MPENZI, KUMFUNGA MTU NYOTA NA KUMFUNGUA

Image
FAHAMU MAAJABU YA KUFULI KATIKA UWANJA WA TIBA ASILI UCHAWI WA ZAMANI SEHEMU 1 UCHAWI huu hutumika sana bara Asia na inaaminika ni moja kati ya tiba zenye kuleta matokeo makubwa zaid. Kuna nchi nyingi baada ya ndoa tu wahusika hutumia dawa kutengeneza na kufuli ili wasiachane maisha yao yote. Kufyli huweza kumdhibiti mtu, huweza kumfunga mtu nyota yake, huweza kumfungua mtu vifungo huweza kumsafirishia mtu nk. Leo nitagusia mambo machache yanayoweza kufanywa na kifuli ila kwa urefu tutaweka makala kwenye group la whatsap kutokana hatuwez kuanika kila ktu hadharani na group la whatsap ni la kulipia. Kumfunga mtu  Ukiangalia picha hapo juu ni kufuli iliyotumika kumfunga mtu yaani kmfungia mambo yake kwenye milango ya fedha mapenzi nk utengenezaji wake inatumika athari yake aidha nyuzi ya nguo au nywele unyao au mchanga wa kivuli chake  Hutengenezwa kwa tarasimu maalumu na viingita vyake kisha inafungwa ile kufuli na kutupwa au kuhifadhiwa sehemu basi aliyefanyiwa haya atapata