FAHAMU MAAJABU YA KUFULI KATIKA KUREJESHA NA KUDHIBITI MPENZI, KUMFUNGA MTU NYOTA NA KUMFUNGUA

FAHAMU MAAJABU YA KUFULI KATIKA UWANJA WA TIBA ASILI

UCHAWI WA ZAMANI SEHEMU 1

UCHAWI huu hutumika sana bara Asia na inaaminika ni moja kati ya tiba zenye kuleta matokeo makubwa zaid. Kuna nchi nyingi baada ya ndoa tu wahusika hutumia dawa kutengeneza na kufuli ili wasiachane maisha yao yote.

Kufyli huweza kumdhibiti mtu, huweza kumfunga mtu nyota yake, huweza kumfungua mtu vifungo huweza kumsafirishia mtu nk.

Leo nitagusia mambo machache yanayoweza kufanywa na kifuli ila kwa urefu tutaweka makala kwenye group la whatsap kutokana hatuwez kuanika kila ktu hadharani na group la whatsap ni la kulipia.

Kumfunga mtu 


Ukiangalia picha hapo juu ni kufuli iliyotumika kumfunga mtu yaani kmfungia mambo yake kwenye milango ya fedha mapenzi nk utengenezaji wake inatumika athari yake aidha nyuzi ya nguo au nywele unyao au mchanga wa kivuli chake 

Hutengenezwa kwa tarasimu maalumu na viingita vyake kisha inafungwa ile kufuli na kutupwa au kuhifadhiwa sehemu basi aliyefanyiwa haya atapata tabu sana

Kuna baadhi ya mambo nimeyabana sifafanui kutokana na itifaki 

Kumfungua mtu na vifungo

Mfano mtu amepata mitihana mingi kila akofanyiwa dawa mambo hayakai sawa atakiwa apate fusho safi siku saba apate maji safi yenye pesa za sarafu ndani aogeshwe kwa dua maalumu maji yawe na maua ridi muosha fedha mpendwapendwa mfunguo mpapatiko na muharaka na habbatnuhs

Akimaliza itachukuliwa kufuli mpya ya shaba au solex afunge mlengwa kisha aende akafunguliwe kwenye barabara iliyonyooka au baharini

NB atakiwa agunguliwe na mtaalam na kufuli iandikwe tarasimu za ufunguzi

kumvuta au kumrejesha mpenzi


Picha hapo juu inaonesha mfano wa kufuli iloyotenezewa kwa ajili ya mapenzi

Utahitajika uwe na karatasi utaandika jina lake katika muda zuhura au shamsi hii ndo mida ya kazi za mapenzi 

Baada ya kuandika jina kufuli pia iandikwe taweez ya mapenzi na majina la mwanaume likae kulia na mke kushoto ama mume juu mke chini

Ukimaliza kile kiratasi kilichoandikwa jina la mtakiwa utakitia kwwnye tundu ya kufuli ukimaliza chomeka funguo kwa manuizi maalumu

Ifushe uvumba iweke kwenye chombo maalumu iwe chupa au box gumu kaifukie sehemu tulivu au katupe baharini au mtoni

Vitu vyakuzingatia kwenye hii makala nmeeleza muda zuhura au shamsi hii ni mida ya kazi za mapenzi ukienda kwa wataalam wanajua kazi za mapenzi n muda gani kutokana na siku utakayotaka kufanya kazi ila kazi hii haifanywi siku ya jumamosi na jumanne pia taweez ni tarasimu za kuvuta mapenzi

Fuatilia makala ijayo

+255621442936

Comments

Popular posts from this blog

MAFUSHO MADINI YA KILA NYOTA NA JINSI YANAVYOTUMIKA

NDOTO ZA FEDHA NA TAFSIRI ZAKE UKIOTA UMEOKOTA HELA. UKIOTA UMEDONDOSHA HELA. UKIOTA UNAPEWA HELA

FAHAMU KUHUSU MTI NDULELE TURA FAIDA NA MATUMIZI KATIKA AFYA NA MAPENZI