DAWA ZA WATOTO TIBA YA MTOTO ANAYELIA USIKU

DAWA ZA WATOTO TIBA YA MTOTO ANAYELIA USIKU

MARA nyingi watoto hulia usiku kutokana na sababu kadhaa, hapa nawaongelea watoto wa changa.

Sababu za watoto kulia kupigiliza maana kunabkulia kawaida na kulia kupitiliza, mtoto asipolia kabisa pia ni tatizo na akilia kupitiliza pia ni tatizo.

Sababu za mtoto kulia kwanza hutokana na njaa hivyo ukimpa nyonyo hunyamaza, pili  ni hofu na mara nyingi mtoto mwenye hofu akilia ukimpa nyonyo unyonya kidogo kisha huacha pale anakua amepata faraja. Lakini wakat mwingine huhitaji uwepo wa mzazi wake hivyo hulia akihisi yumpweke anapopakatwa hunyamaza.

Lakini pia kuna sababu za watu wa baya ambao huja usiku kwa kuwa mtoto ana uwezo wa kuona huwa wanamtisha hivyo hulia na hanyamazi hata umpe nini, kingine mzazi anaweza akawa na jini baya pia laweza mtisha mtoto usiku asilale akawa analia kingine nyumba yaweza ikawa si nzuri mnayoishi na sababu nyingine nyingi.

 Ili asiwe analia Chukua halititi,ambali,miat sail na karful mait chanaganya pamoja tia kwenye maji umwogeshe kwa muda sku 3 kila cku mara 2  mpaka unapomaliza dawa. Inshallah m/mungu atamhifadhi na mabalaa ya usiku
www.tabibuasili.blogspot.com
Pia waweza msomea ktk maji ayatul kursiyu tatu kisha mpake ktk mwili wak wote pia mafuta ya zaituni na miski una changanya pamoja unam mpaka mwili nzima allah atampa shifa

mfunge mvuje mkononi pia husadia kulinda watoto na mabalaa
Mkumbuke kuwaazinia watoto wanapozaliwa hii humpa kinga nzuri tu mtoto kwa waenda usiku

Tatizo lolote na afya, mapenzi, biashara, kesi nk nitumie ujumbe inbox


Shea na wenzio wenye watoto wapate kujifunza

www.tabibuasili.blogspot.com

Comments

Post a Comment

Popular posts from this blog

MAFUSHO MADINI YA KILA NYOTA NA JINSI YANAVYOTUMIKA

NDOTO ZA FEDHA NA TAFSIRI ZAKE UKIOTA UMEOKOTA HELA. UKIOTA UMEDONDOSHA HELA. UKIOTA UNAPEWA HELA

FAHAMU KUHUSU MTI NDULELE TURA FAIDA NA MATUMIZI KATIKA AFYA NA MAPENZI