FAHAMU KUHUSU KIBATALI NA MATUMIZI YAKE KATIKA KUREJESHA MAPENZI

FAHAMU KUHUSU KIBATALI NA MATUMIZI YAKE

KUMREJESHA MUME MKE ALIYEKUKIMBIA

NAPOKEA maswali mengi kuhusiana na mambo ya mapenzi kifupi, hii ni taaluma za watu km zlvyo taaluma zingine unapaswa uheshimu. Ni vyema ukapata usimamiz wa mtaalam aliye karbu nawe wakati unafanya zoez hili

Kuna vtu vyakuelekeza na kuna vtu ww huwez vfanya bila usimamizi wa mtaalam. Na ucnitafute kwenye simu ukiwa una mashaka jiridhishe kwanza ndo unitafute.

Leo nawapa kwa ufupi uchawi wa kutumia kibatari katika kuita mtu aliyekuacha. Nitaeleza kwa ufupi vile vinavyoelezeka kwenye utaalam zaidi nitakushauri wapi ufike jitahd kusoma kwa umakini sana na upole.

Mahitaji Kibatali kipya Sanda iliyosalia (inatakiwa sanda iliyobakia wakati wakushona na sio mpya) maji ya bahari Mafuta ya taa Uvumba Kitambaa cheusi

Kazi hii ufanyike sk ya ijumaa kuanzia saa cta uck au kama utaifanya siku za kawaida ikiwa ni mwanaume ndio unafanya basi hakikisha unaipata saa ya zuhura siku unayotaka kufanya. Ikiwa mfanyaji ni mwanamke anamfanyia mwanaume kama ataikosa hiyo Ijumaa basi siku atakayotaka kufanya ajitajd apate saa ya Shamsi ya siku hiyo. Hairuhusiki kufanyika siku ya Jumanne na Jumamosi ila kwa udhuru maalum ambapo mtaalam atakuongoza.

Chukua hicho kitambaa cha sanda kuna taweez za mapenzi ( talasimu maalum za kimapenz kulingana na nyota ya mtu na uzito wa shughuli mnayotaka kuifanya bimaana hapa sasa atahitajika mtaalam kukuongoza kwwnye hili aangalie hayo nlozungumzakisha ataandika kulingana na majibu atakayoona)

zitaandikwa kwenye hyo sanda ukimaliza utaandika jina la unayemtaka Mara tatu

Utatumia hyo sanda kama utambi utaweja uvumba kwwnye koroboi na Maj kdogo ya bahar na utaweza Mafuta ya taa yajae.

Utachomeka pini mpya kwa juu na utawasha kwa kutumia kibirit kipya

Wakat unafanya zoez hlo ktambaa cheus kiwe chini kibatal kiwe juu na ww uwe umekaa kwenye kitambaa umenyoosha miguu unakiangakia kile kbatali

Vuta taswira yake ongea unachotaka kwake utaona kwenye mosh kunakuja taswira yake uamuru huo moshi uende ukakuletee mtu wako haraka

Uczme kbatal kiache mpaka kizme wenyewe hta km wiki nzima

 atakutafuta uck huohuo Km mtu yupo mji huohuo kesho atakuja kama akiwa mbali atakutafuta hata kwa simu


 Mambo muhimi hvyo vtu nlvyotaja vinapatikana maduka ya dawa na sokoni kasoro sanda ndo utaipata kwa wale wazee waoshaj maiti huwa wanakuwa nazo wanauza

      MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIA

NMEANDIKA WAQFU HUU MWEPESI PIA NMEELEZA BAADHI YA MAMBO AMBAYO UNAWEZA KUPATAKA KWA WATAALAM ILI UPATE MAJIBU HARAKA. UKIONA NI NGUMU AMA HUWEZA KWENDA KWA WATAALAM BASI RUKA HIZO SEHEM ZILIZOANDIKWA UNATAKIWA UPATE USIMAMIZ WE KANUNUE KIBATALI CHOMEKA HIYO SANDA KISHA ENDELEA NA MAELEZO ILA NI NGUMU KUPATA MATOKEO KIRAHISI NI SAWA NA MTU ANAYEPIKA UGALI KISHA HANA MAJI UNGA PEKEE HAUWEZ KUWA UGALI BILA MAJI.

USHAUR WA MWISHO KILA TATIZO LINA UATARIBU WAKE WA UFUMBUZI HIVYO UKIWA NA SHIDA NI VYEMA UKAPATA MTAALAM AKAANGALIA KWANZA CHANZO NA UZITO WA TATIZO LENYEWE KISHA AKALIFANYIA UFUMBUZI.

SHIDA YOYOTE KWA WANAOHITAJI MSAADA USHAURI

+255621442936

WANAOHITAJI DAWA ZA NGUVU ZA KIUME, KUKUZA DHAKRI, UZAZI, CHANZO, SHIDA ZA KINYOTA MAPENZI, BIAHSRA NK PIGA SIMU 






Comments

Popular posts from this blog

MAFUSHO MADINI YA KILA NYOTA NA JINSI YANAVYOTUMIKA

NDOTO ZA FEDHA NA TAFSIRI ZAKE UKIOTA UMEOKOTA HELA. UKIOTA UMEDONDOSHA HELA. UKIOTA UNAPEWA HELA

FAHAMU KUHUSU MTI NDULELE TURA FAIDA NA MATUMIZI KATIKA AFYA NA MAPENZI