KIFUNGO CHA MIMBA KUCHELEWA KUJIFUNGUA

KIFUNGO CHA MIMBA KUCHELEWA KUJIFUNGUA

WAKATI wa ujauzito kuna maradhi na mambo mengi mpaka mtu kujifingua salama leo naongelea kifungo. kuna vifungo vingi kama vile ridhki mapenzi kazi nyota nk vyote vina tiba zake fka kwa wataalam karibu nawe wakuchunguze kwanza au njoo ofcn Tanga

hapa naongelea kifungo cha mimba. wakati mjamzito anapojisikia uchungu na akienda hospitali mtoto hatoki, uchungu kukata  au kupitisha miezi ile ya kujifungua hiki ndicho nakiongelea hapa.


ikifikia hatua hiyo mmoja wa wauguzi awahi kwa wataalam akaangalie kuna kp kinachosababisha na nn kifanyike kumnusuru mzazi. Wakat mwingine madhara yaje husababisha upareshen hata kumkosa mzazi au mtoto.

siku za nyuma niliwahi kuongelea mlangamia au mfunganga utachemsha kamba zake utampa mgonjwa kwa kikonge cha plastic kisha atakichia kwa kukidondosha 

njia ya pili waweza tafuta mzizi wa mti wa mfunguo pia ukamchemshi mgonjwa akanywa wakati anaposikia uchungu

pia kuna makombe ya kuoga na kunywa kwa ufunguzi mafusho yategemea na aina ya kifungo baada ya mtaalam kuangalia.
pia  yaweza kuwa ana jini ndiye anazuia mzazi kutokuzaa basi atashikwa sikio la kulia na kumtaka huyo jini kukaa pembeni kwqnza mzazi ajifungue hii ni kwa wataalam

vtu vyakujiepusha navyo wakati wa mimba usipende kutembea nyakat za mchana saa saba na usiku mkubwa, usipende kwenda kwenye mazishi, usipende kukaa ardhini ukiinuka futa zile alama za makalio yako usitembee peku usikae milangoni, 


Comments

Popular posts from this blog

MAFUSHO MADINI YA KILA NYOTA NA JINSI YANAVYOTUMIKA

NDOTO ZA FEDHA NA TAFSIRI ZAKE UKIOTA UMEOKOTA HELA. UKIOTA UMEDONDOSHA HELA. UKIOTA UNAPEWA HELA

FAHAMU KUHUSU MTI NDULELE TURA FAIDA NA MATUMIZI KATIKA AFYA NA MAPENZI