FAHAMU KUHUS NGIRI, CHANGO NA MCHANGO KWA WATOTO NA TIBA ZAKE
NGIRI, CHANGO NA MCHANGO KWA WATOTO UHALI gani mpenzi mfuatiliaji wa ukurasa wa Mtabibu ASILI TZ. Leo tutazungumzia kuhusiana na ngiri kwa wanaume chango kwa waanawake lakini kwa watoto huitwa mchango. Kiuhalisia ni magonjwa yanayoshabihiana hutofautisha umri na jinisa tu. Ikiwa hujakuwa makini kumtibia mtoto basi anapokuwa mkubwa huja kumsumbua. Pia kuna kipindi husumbuliwa akiwa mtoto lakini kadri anavyokua ugonjwa hupotea. Ngiri na chango hujitokeza baada ya balahe kwa msichana pale anapoanza kuona siku zake ndipo maradhi haya huanza kujiyokeza maana huwenda sambamba na mfumo wa uzazi. Kwa mwanaume pale anapoanza kuzalisha mbegu za kiume ndipo hujiyokeza maradhi haya. Wapo wanaorithi ikiwa ukoo wako unaaslili ya magonjwa haya basi kunabuwezekano mkubwa kuupata ni kama pumu vile. Ngiri kuna utofaut kuna ngiri ya kawaida ambayo hukubana wakat wa bard kali tumbo kuunguruma kende moja kushuka na kusinyaa hujikuta mtu amejikunja hawez kujikunjua mpaka imuachie. Na kuna Ngiri maji ile ya