UTABIRI WA MWAKA MZIMA 2022 MATUKIO NA MAZINGATIO MUHIMU


MAKALA HAYA YAMEANDALIWA NA KUANDIKWA NA MTABIBU ASILI TZ JITAHD KUSOMA MPAKA MWISHO KUNA UFAFANUZI WA MAMBO MUHIMU

MWAKA  HUU UMEINGIA SIKU YA JUMAMOSI, BIMAANA NI MWANZO WA WIKI , SIKU HIYO HUTAWALIWA NA SAYARI YA ZOHALI HIVYO KUTAKUWA NA MIINGALIANO YA MAMBO MWAKA HUU KUNA MAMBO UTAYAANZA NA YATAKUWA NA MAFANIKIO LAKINI PIA KUTAKUWA MIKWAMO YA HAPA NA PALE KULINGANA NA SAYAR YENYEWE ILIYOCHOMOZA MWAKA.

MWAKA UNA SAFARI ZA KUSHTUKIZA HIVYO KAMA MTU WA KUSAFIRI TEGEMEA HILO. PALE PANAPOTUMAINI PANAWEZA PASITIMIE ILA PALE USIPOKUWA NA TUMAINI NDIPO PANAWEZA KUKUPA FURSA. UGOMVI NA HASIRA ZITATAWALA PIA HIVYO JITAHIDI KUKABILIANA NA NAFSI YAKO NA KUJIZUIA NA HASIRA.

KUNA MAVUNO MENGI HASA KWA WAKULIMA WANAOMAINI IMANI FULANI. FAIDA ITAKUWEPO IWAPO UTAFUATA MAELEZO YA NYOTA YAKO MAANA MWAKA HUU KUPATA KUPO NA KUKOSA KUPO MUHIMU NI KUCHEZA NA SAYARI ZINAVYOKWENDA. NAMBA YA SIRI YA MWAKA HUU NI SITA WATU WA MICHEZO YA KUBAHATISHA NAMBA NI HIYO.

NAMBA HII INASIMAMA KATIKA FALME ZA KISHETAN. HIVYO KUTAKUWA NA MATUKIO YA KUSTAAJABISHA SANA Ili SHETAN ATUKUZWE KWA WANAOMUAMINI. KUTAKUWA NA AJALI NA VIFO VYA WATU WENGI VYA GHAFLA, WAKUU KUTOA MAKAFARA WAFUASI WAO WA IMANI NA WAFUASI WA KISIASA JITAHD KUJIEPUSHA Na MIKUSANYIKO YENYE VIASHIRIA VYA KISHETAN MTEGEMEE MUNGU KATIKA SAFAR ZAKO ZA MBALI.

SIASA NA SANAA VITAKUWA NA TIJA NA PATO KUBWA WATAKAOVUMA SANA NI WAUMINI WA NAMBA HIYO SITA. KUNA SIKU KAMA MTATAKA KWA KUSEMA KWENYE KOMENT NITAIFAFANUA HIYO NAMBA SITA ITAKAVYOKUWA NA FAIDA NA HASARA ZINGATIA NENO NILOSEMA KAMA MTATAKA IZUNGUMZWE.

               WATU WA NYOTA YA PUNDA

Mwaka huu ni mzuri kwako magonjwa yatakuendea kombo ila kwa wati wa karbu yako unaowamiliki watakumbwa na homa za hapa na pale na pesa itatumika kuweka mambo sawa ya afya zao. Kazi zitafunguka safari zipo waz ila upande wako una uaudi mkubwa unaokuandama hivyo usikae kuamini kila mtu kila kitu wakati mwingine mikwamo huanzia kutoka nyumban kwenu. Pamoja na fursa kuzipata pia husda za watu zitakuandama sana hivyo jipangie walau kila wiki uweke siku moja ya kufanya dua ya kujiondoshea mazonge ya walimwengu. Mambo ya kuzingatia fusho la nyota yako ni muhimu jitahd upate nguo mpya ya rangi ya bahat ya nyota yako mwez wa tatu kuanzia 17 kuna bahati kubwa kwako hivyo kama mvaaji wa pete usiiche kipindi hicho


                   UPANDE WA MAPENZI

>> kuna fursa nyingi za kimapenzi sitajitokeza mwaka huu. Japokuwa yaonesha mwaka uliosiha umekuwa na vipindi vya mpito mara mambo yaelewke mara yaende kombo. Umekuwa ukikumbwa sana na kukumbukwa na watu ulioachana nao. Kuna vtu pia vya kukwamishwa kichawi ulifanyiwa kwa kutokujua. Ila mwaka huu una fursa ya kukaa mpenzi wako na kuendeleza furaha kuna ishara ya ndoa kwa wale wasiopo ndoani pia kuna tija ya kizazi kwa wale wanaotafuta mtoto ni wakati wao kushughulikia shida zao.

           WATU WA NYOTA YA NG'OMBE

Mwaka ni huu utakuwq mzuri kwako kuna fursa mbalimbali utazipata na kipato chako kitakuwa kizuri. Una sehem ya kupata eishki bimaana kazi ama ofisi jitahd kuithamini sana huu mwaka wa kufanya makubwa kwako. Furaha binafsi itaongezeka msongo wa mawazo kwa mapito ya mwaka uliopita unaweza kupungua kadri mambo yanavyozidi kufunguka. Kila panapo gumu basi jua kuna fursa nzuri ipo ni wewe kuchanga karata zako vyema. Familia itaongeza ukarbu naww kwan thamani yako itabadilika. Afya itakuwa ya vipindi utasumbuliwa na maradhi ya kifua na homa kutokwenda mbali katikati ya mwaka hivyo kaa ukijua ni mapito ya nyota yako mwaka huu. Jitahd kujitolea sadaka wewe na watu wako unaowamiliki kwan itakufanya kujisafisha na mazonge ya kibinaadamu.

                    UPANDE WA MAPENZI

Mwaka huu upendo unaweza kuongezeka hasa kwa wale walio kwenye ndoa. Kuna ishara ya mmoja wenu kupata fursa aidha ya kazi ama jambo lolote la faida kuingiza fedha. mliohitilafiana kuna ishara ya kupatikana suluhu pia kuna ishara ya ndoa kwa wale wasiokuwa ndoani. Usikurupuke kufanya maamuzi huu mwaka unaweza kusikia maneno mengi kuhusiana na mpenz wako hivyo jitahd kuyachuja na kuyafanyia uchunguzi kabla ya kufanya maamuzi.

           WATU WA NYOTA YA MAPACHA

Mapito yako ya mwaka uliopita yasikufanye ukawa mtu mwenye woga sana na kujiuliza muda wote unaweza kuchelewa fursa za kutoka hapo ulipo. furaha yako itatengenezwa na mwenyewe vile utakavyo katika kujitoa kuyatafuta mafanikio usiwe mwwnye kuiga sana mapito ya wwnzio pia yuwaweza kujifelisha haraka. Kuna ishara ya mapato lako kukua na uchumi wako kupata usije kudharau watu wapya unaokutana nao ndio wanaweza kukutoa hapo ulipo jitahd kujieleza kwa ufasaha kwa kile unachoulizwa kuficha mambo kunaweza kukufanya uendelee kuwa kizani. Mwaka pia una fursa za kushirikiana kama utajitoa katika mashirikiano na watu kunaweza kukuongezea imani yako kwao. Afya yako haitatereka sana japo mwaka umeufunga vibaya ila ukatibu wako na familia utaongezeka kuna vitu vitakaa sawa kadri siku zinavhozid kwenda.

                UPANDE WA MAPENZI

Neema itakuja kama utamudu kuwa mkweli pale unapotakiwa kuzungumza habar za kweli. Inaonesha utakuwa mwaka wa neema kama utaacha tamaa za kuwa na watu wengi pia jitahdi kuomarisha uhusiano kirekebisha pake ulipokosea mwaka uliopita. Kuna ishara ya mtu kupata kazi kupitia mapenzi yenu na itawanufaisha na kuwatoa hapo mlipo mwaka huu jitoe sana kwa ukaribu mrishishe kwa maneno na hata zawad ndogo ndogo ambazo una uwezo nazo. Usitoe taarifa za mwenzio bila kushauriana inaweza ikasababisha mtafaruku mkubwa na mapenzi kuvunjika. Kama umeachwa inayo nafasi ya kurejewa ukirekebisha matatzo yako iwe kimaneno ama kimadawa kwa wataalam.

                WATU WA NYOTA YA KAA

Mwaka huu jitahidi kubadili mawazo yako misimamo na hata muonekano kwa watu wa karibu. Umekuwa ukikumbana na mikwamo mingi kwa muda mref hivyo jitahd kujitathmini sana hasa kufuata kile unachoshauriwa ili kujikwamua hapo ulipo. Utakutana na mambo mengi ya kuhushuzunisha ila yatakujenga na kukufanya kuwa imara zaidi. Afya itayumba kiddogo ola maradhi ya kawaida kwa mwanaadamu, kama utafuata unachoshauriwa na kujidhatiti kwenye kile unachokifanya unayo nafasi mwaka huu ya kutoka kimaisha na una uwezo wa kushangaza watu kwa kutimiza ndoto zako nyumba gar viwe katika mawazo yako hakuna kinachoshindikana.

                 UPANDE WA MAPENZI

Maisha yako ya kimapenz yapo mikononi mwako ukitaka kuyaharibu ni wewe na ukitaka kuyajenga ni wewe. Unahitajika kufanya mambo ambayo yatakufanya uaminike sana maana inaonesha huaminiki sana. Jitoe kwa kumpa muda mpenzi wako na kumthamini. Matukio utakayokutana nayo pambana nayo usikimbie kuna fursa na funzo ndani yake.

              WATU WA NYOTA YA SIMBA

Huwenda mwaka umeumaliza kwa purukushani nyingi sana. Unapambana kutafuta fedha lakini haikai mikononi mwako na wakat wmingine ahad kuwa nyingi na utimilfu wake kuwa mdogo. Mwaka huu inaonesha utapata fedha kutoka kwenye vyanzo ambavyo hutavitegemea hivyo yakupasa kutochagua kazi ukiitwa pahala kuna jambo jitahd uende huwenda kuna heri utakutana nayo na pia huwenda ndio njia ya wewe kutokea. Mwaka huu hata nafsi yako itapoa sana na huwenda ukahudhuria majambo mengi yanayohusiana na familia unaweza ukawa mtu muhimu sana. Kila upatapo jambo jitahd kulifanyia utafiti na kupata suluhu usikae na kitu rohon.

              UPANDE WA MAPENZI

wanaotafuta wapenzi ama kurejeana mambo yanaweza kuwa mazuri sana hasa kuanzia mwez wa nne. Jitenge na vitu vyakujionesha na kujifaharisha sana. Huwenda ni moja ya tabia inayokufanya ukose watu wenye akili sana kwenye mapez. Sababu wanaotaka mafanikio hawapendi kujionesha.

         WATU WA NYOTA YA MASHUKE
 
Akili bado haijakaa sawa kulingana na mapito ya mwaka ulioisha haikuwa mzuri sana kuna baadhi ya mipango yako haikwenda sawa. Ila mwaka huu mambo mengi yatakutokea na yatakufanya akili ichangamke zaidi na uwe bize sana. Hali hyo itakufanya uwe mtu wa hasira zaidi na huwenda ukawa unagombana na watu kwa kuhisi kifanyiwa vitu fulani. Watu wanaweza kukushaur ukaona kama wanaingia falagha yako hivyo kuna ishara ya kukosana kimaneno na wakubwa zako bimaana wazazi ama ndugu kama hutakuwa makini. Punguza matumizi yasiyo na ulazima maana huu mwaka huwenda usiweke akiba kama utakuwa mtu wa kutoa na kutumia hovyo. Usiahidi mtu kama huna uhakika na hicho kitu unaweza kuonekana hutaki kutoa au yuwaringa. Upande wa afya haitakuwa mbaya sana utaumwa maradhi ya kawaida pia mwishon mwa mwaka unaweza kusumbuliwa na sihiri. Uadui kwako bado utakuandana hivyo ni muhimu kutokaa kizembe.

                UPANDE WA MAPENZI

Utapata wakati wa furaha katika uhusiano wako. Yaweza ikawa mwanzo mzuri wa wewe kutimiza mipango yako ya kimapenz, kama umehitilafiana na mtu basi ni wakati muafaka wa kutafuta suluhu na kuweka mambo yako sawa.  Wale ambao hawapo kwenye ndoa mtaingia kwenye uhusiano mpya wa kimapenzi ambao utaleta amani na utulivu maishani.  Tabia ya kujiangalia mwenyewe na kutimiziwa haja zako haraka pale unaposema kitu kitimizwe inaweza kukufanya ukachukua muda mref kukaa bila mtu.
            WATU WA NYOTA YA MIZANI

Mwaka ni mzuri kwako kwa kutimiza mipango yako ya kimaendeleo. Inaonesha utapitia vipindi vingi lakini mwaka hautakuwa mbaya kwako pia hitaji la moyo wako linaweza kutimia kama utajitumia ipasavyo.  Usiwe mwenye kuzungumza sana mipango yako mwaka huu na jitahd kuongeza umakini na subira kuna kipindi kigumu utapitia jitahd usikate tamaa ndio mapito yako. Afya itakuwa njema pamoja na watu wako wa karb japo kuna ishara ya ajali ila si kwa mtu wa watu wako karbu na inawwza kumuweka chini kwa miez kadhaa. Funguo ya kutoka ipo mikononi mwako hivyo panga mapambano kwa uhodar wa hali juu ficha silaha zako unapoingia mapambanoni.

              UPANDE WA MAPENZI

Wanandoa waliohitilafiana na kuwa na ugomvi mkubwa  wanaweza kupatana na kutulia ila lazma mmoja wapo ajitolee kuitafuta suluhu.  Upendo na amani vinaweza kurejea. Kwa wwtu wanaotafuta ndoa ama wapenz huu mwaka ni mwema sana ila usiwe muongo kunaweza kukufanya ukaendelea kuyumba kila siku pia jiepushe na tabia za kuchagua sana na kuto watu kafafa.  Epuka mabishano usijiangalie wewe sana kwenye maamuzi. Mpe muda na nafsi mwenzio ili kudumisha uhusiano na kujiona na yeye ana nafasi kwenye uhusiano wenu.

             WATU WA NYOTA YA NG'E

Mwaka utakuwa mzuri kwa kazi unaweza kupanda daraja ama kupandishiwa mshahara kwa wafanya kazi. Kipato na mipango ya nje itakuwa mizuri ila safara za mwaka huu hazitakuwa na tija sana hivyo usiweke sana akili kutoka katika kusafiri utaaoata kiasi kidogo. Jitihada zinahitajika sana hasa kwa waliojiajiri wenyewe unaweza kuoata mdororo swhem yako ya kazi kwa kipindi fulani. Mwaka una vipindi vingi vya mpito kupata kukosa ni sehemu moja wapo jitume ni mwaka wa mafanikio kwako. Afya itakuwa njema kama yuwasumbuliwa na maradhi basi kuna ishara ya kupona mwaka huu, kama yiauguliwa pia kuna ishara ya kupata taarifa ya kuisha uhonjwa aidha kupona ama kifo yote yaweza tokea. Husda zitakuandama kutokana na mafanikio utakayoyapata hivyo jihadhari na maneno ya majibizano.

                 UPANDE WA MAPENZI

Mwaka utakuwa na furaha kwako uhusiano wa kimapenzi utakuwa mzuri. Unachotakiwa ni kuridhika na uliyenaye maana ndiyo furaha itadumu zaidi. Kuna ishara ya uadui huwenda kama utakuwa mtu wa kujichanganya sana kwenye mapenzi unaweza kufanyiwa dawa za mapenzi zikakuchanganya kicuwa na kufanya mambo yako mengi kuyumba. Jitahd kujitolea na kumthamini uliyenae lunapo shida jitajd kutafuta suluhu. Ambao mpo kwenye hali mbaya za kuachwa ama huna mpenz kabisa jiangalie kwa umakini maana mna tabia ya kutaka kufanyiwa kila kitu mnachosha watu kwa tabia hzo

          WATU  WA NYOTA YA MSHALE

Mwaka umekaa kifamilia zaidi hivyo utaoata safari aidha za kwenda kuangalia ndugu au wewe kutembelewa na ndugu jitahd kujitolea kwa kile ulichonacho kwa ndugu zako kadri unavuotoa ndivyo mungu hufungua zaidi milango yako ya ridhiki. Mwaka huu huwenda ukaoata hasara hasa kwa wafanya biahsra au watu wakuwekeza jitahidi kufanya kitu ambacho una uhakika nacho fanya biashara ama kazi uliyoizoea wakati wote mambo ya kujaribu vitu inaweza kukuingiza hasara kubwa. Jibidiishe katika kazi zingatia majukumu yako shirikiana ba watu waliofanikiwa katika shughuli ambayo wewe unaifanya. Punguza umimi toa riziki kwa wengine usinganganie sana ndugu zako kukaa nao karb waje na kuondoka.

               UPANDE WA MAPENZI

mwaka huu kuna ishara ya ndoa ama mambo yaliyokuwa na migongano kuwa mazuri. Hivyo utapata habar njema kuhusiana na mwenzio. Akili yako mwaka huu usiiweka sana kwwnye mapenzi unaweza kuchelewa kufanikiwa. Unaweza kukumbwa na wivu na kuna baadhi ya shughuli unaweza usizifanye ili kutomkasirisha mpenzi wako jitahidi kumuelewesha ukae nae chini mupange mipango ya kimaendeleo.

            WATU WA NYOTA YA MBUZI

Una mkono mzito sana kutoa sadaka na kusaidia watu ila mambo ya starehe unatoa sana. Jitahd kubadilika huu mwaka maana inaonesha kuna neema kubwa sana ila yatakiwa ujitoe kwa watu. Utapata marafiki wapya ambao watakuongezea jambo katika maisha yako aidha maarifa au kukuunganisha kazi tofaut tofaut. Mwaka huu utatembelewa na fedha ikiwa utaguata ushaur uliowekwa na unaweza kubadilisha muonekano wako na sehemu unapokaa hapa imebainishwa unaweza kupendezesha nyumba ama chumba na wewe mwenyewe kwa ujumla na watu wako unaowamiliki. Yatakiwa ujiomtoe sana katika familia yako furaha na upendo wao unaweza kufungua milango zaidi ya ridhki epuka mambo yasiyonl na manufaa na matumizi yasiyo na ulazima jifunze kutunza fedha mwishoni unaweza kutokewa na majanga fedha uliyoiweka ikakusaidia.

               UPANDE WA MAPENZI

Furaha itaongezeka kwa mke ama mume au mpenz wako mkuu. Lakini pia bado nafsi yako haitaki kukubali kuachana na watuuliokuwa nao katika mahusiano hii inaweza kukwamishwa mambo yako muhimu hasa furaha yako inaweza kutoweka. Kuna nnia nyingi za kuachana na hayo mambo hayo jitahid sana kujiepusha ukaribu na kama itashindikana basi usishirikishe watu mambo yako yaan sehemu zako za kando usipeleke waru wanaweza kupeleke maneno huku na huko. Kwa asiyeolewa ama kuoa ana nafasi ya kupata ndoa mwaka huu pia kuna ishara ya kurejewa kwa aliyeachika lakini pia kuna tija ya uzazi.

             WATU WA NYOTA YA NDOO

Kiujumla mwaka utakuwa na muingiliano wa mambo mengi kutakuwa na huzuni na furaha pia. Sehem yako ya kazi utakutana na changamoto mpya kama huna kazi huu mwaka utasumbuka sana kutafuta kazi ila katikati mwa mwaka ndipo mambo yataanza kuonekana kuwa mazur hata kama utaoata mwanzoni mwa mwaka bado kutakuwa na mitihani ya hapa na pale. Kuna ishara ya safar za kwenda mbali pia kuna manufaa na tija hivyo kama utapata kazi ya kutoka usikatae ina heri nawe pia alama nzur na mafanikio utayapata. Muhimu jiamnini pigania kile unachokiamini mabadiliko yapo na unaweza kutoka hapo ulpo. Afya za watu wako zitaimarika kama una watoto wadogo watakumbwa na maradhi ya kitoto ila wataendelea na maisha yao vzuri.

                UPANDE WA MAPENZI

Jipatie muda mwingi wa kuwa na mpenzi wako mwaka huu panga hata safar za mbali kwa wote wawil. Hii itakupa fursa ya kuongeza ukarb na pia itapunguza hisia mbaya. Rekebisha matatizo yako jishushe pale unapokosea mambo yatakuwa mazuri. Tabia ya kujichanganya na watu wengine kimapenz inaweza kukuharibia mipango yako ikaanza kukwama na pia marafiki wa kutaka ufanye wanachotaka wao ni wakuwa nao mbali mwaka huu unaweza ukavunjika uhusiano ama ahadi za ndoa zisitimie hivyo kuwa makini.

            WATU WA NYOTA YA SAMAKI

Mwaka utakuwa na pirika sana kwako mambo ya kifamilia na watu wa karibu yatakuzonga sana. Utakuwa ukifuatwa hasa kwa misaada ya kifedha na ushauri. Inaonesha utakuwa mtu muhimu hata eneo lako unaloishi. Kipato kitakuwa kizuri utaoata fedha lakini mahitaji yatakuwa makubwa na huwenda ukakumbwa sana na majukumu ya kifamilia yanayohitaji fedha utimilifu wake. Afya haitatereka sana ni mwaka wako wa mafanikio hivyo jitahd kupambana kuhifadhi oesa usitumie hovyo una majukumu mengi huu mwaka. Jiepushe na kukopesha watu unaweza uislipwe ama kulipwa baada ya muda kupita na wakati mwingine kuliowa nusu nusu kitu ambacho kitakufanya usifanye mambo ya maana. Jibidiishe katika ibada, kutoa sadaka na kufanya mambo ya hairat.

                  UPANDE WA MAPENZI

Mapenzi mwaka huu yatakuwa na furaha sana katika nyanja zote pamoja na kuwa utakutana na majaribu na changamoto ila furaha itadumu. Kwa waliondoa furaha itadumu miongoni mwenu na kuna ishara ya ahadi kutimia ulizoahidiwa. Kwa wsiolewa ama kuoa basi watapata watu wakuendana nao na mnaweza kufunga ndoa. Milango ipo waz ya kufanikisha jambo la mapenz. Mawasiliano na ukaribu baina yako na mpenzi wako ni muhimu sana.

KILA MMOJA ASOME KWA UMAKINI NYOTA YAKE INAVYOSEMA NA AFUATE USHAUR ULIOWEKWA KILA LA HERI.

WANAOHITAJI GROUP KWA SASA NINA MAJUKUMU MENGI HIVYO DARASA ZOTE ZITAPATIKANA HAPA KWENYE PAGE UNA SHIDA BINAFS NAMBA ZANGU ZIPO WAZ PIGA USIBIP

MAMBO NI MENGI YA KUCHAMBUA MUDA HAUTOSHI NITACHAMBUA KILA NYOTA KILA ANGLE FEDHA KAZI BIAHSRA MAPENZI MIEZ YA BAHAT

+255621442936


Kwa shida yoyte ya kinyota, biashara, kazi, mapenzi, kesi, uzazi, nguvu za kiume, kukuza dhakar, pete za bahat nk jitahd kupiga simu ikiwa yuwatuma ujumbe basi weka maelezo ya kutosha jumbe fupi sitazijib
Huu ni utabiri wa mwaka mzima jitahdi kushea

Comments

Popular posts from this blog

MAFUSHO MADINI YA KILA NYOTA NA JINSI YANAVYOTUMIKA

NDOTO ZA FEDHA NA TAFSIRI ZAKE UKIOTA UMEOKOTA HELA. UKIOTA UMEDONDOSHA HELA. UKIOTA UNAPEWA HELA

FAHAMU KUHUSU MTI NDULELE TURA FAIDA NA MATUMIZI KATIKA AFYA NA MAPENZI