UCHAWI WA KUFUNGA HEDHI, UZAZI NA KUZIMISHA UUME DALILI NA MADHARA YAKE NA TIBA YA UZAZI



TANGU mwanzo mwa juma hili nmekuwa nikiongelea kuhusiana na masuala ya uchawi. Nmefafanua jinsi unavyoweza kuingizwa, unavyoweza kutegwa, kurogwa na nikaweka baadhi ya njia za kujinasua. Napenda kuwakumbusha tena kuwa kinga ni muhimu kuliko tiba, pili usipende kufuatilia habar za kuwaona jishughulisha na amali zako kuziweka sawa ili zilete matunda.


Watu wengi wanauliza nawezaje kuwaona wachawi ni hatari zaidi ya unavyofikiria. Unaweza kujikupa ukawa kipofu au kiziwi au mlemavu au kutolewa kabisa kafara kwa kujua siri za watu. Hivyo ushaur wale wanaotaka kuwaona wachawi wajitahd kwanza kuahughulikia miili yako kwelikweli ndipo uingie habar za kuwaona hao watu vinginevyo utatafuta vita ambayo hutaiweza kuikabili.

Pili maswali na matakwa mengi yamekuja wengi wakiulizia kuhusiana na masula ya kupata mali. Napenda kujibu kwa wote mimi sihusian na masula ya mali za majini najua madhara yake makubwa kuliko faida. Ukihtaji tutengene kazi, biahsra yako upate mvuto wateja ninaweza nikakusaidia hata ukihtaj pete na mafuta ya bahat naweza kupatia lakini kuhusu mali bila kazi hapana.

Tuongelee kuhusiana na uchawi wa kufuunga, hedhi, uzazi na kuzimisha uume. Kwa mwanaume wanaweza wakakufunga uzazi na kuzimisha uume moja ya dalili ni kuwa na matatizo ya nguvu za kiume kila dawa unayotumia hailet majibu, hapa ujue kuna kamchezo kamepita kama nilivyoeleza post zilizopita, pia manii huwa kama maji maji hayana ule uzito unaotakiwa kurutubisha yai.

Kwa wanawake wao hufungwa uzazi na wengine hufungwa hedhi. Dalili zake aliyefungwa hedhi hawez pata kabisa siku zake ikifika zile tarehe huhisi tumbo kuuma tu basi lakini ile damu haitoki hapa wanakuwa wameweka chombo cha kukinga damu yako haitoki nje wao wanatumia kwenye shughuli zao. Kifungo cha mimba unaweza ukapata hedhi ila hupati mimba vipimo vyote umemaliza hakuna tatzo umekunywa sana miti shamba lakini bado huwenda ukawa na kifungo hiki. Kifungo cha uzazi unapata mimba ila unachelewa kujifungua.

Hapa kuna vitu vingi kidogo kunaaliyefungwa hedhi, yye haoni kabisa ile damu. Kuna aliyefungwa uzazi anaweza kuona hedhi lakini asishike mimba. Na yupo aliyefungwa mimba yaana kapata mimba kisha akafungwa huyu kwenye kuzaa atachelewa na anaweza hata kufanyiwa upareshen na inawezeakana mkamkosa kabisa. Sasa yupo mtu aliyefungwa uzazi lakini yeye hata hedhi yenyewe kuipata mtihani. Pia wapo wanaoharibu mimba ambao hao wanakuwana jini pakuzi

Kuharibu mimba ni dalili moja wapo ya jini pakuzi sio kifungo huyu jini nishawahi kumuongelea post zilizopita. Wanawezaje kufunga hivi vitu uume na kwa mwqnamke kwanza wanachukua nguo yako ya ndani ambayo haijafuliwa hutengenezwa madawa maalumu kisha hufungwa mafundo saba kwenye kitambaa cheusi inazikwa kwenye mti uliokufa wenyewe au kabur la mzee hapa shughuli yako imeisha.

Kufunga hedhi wanachukua ile pedi yako yenye damu au kitambaa au chupi uliyovaa wakati unabreed inafungwa kwenye chupa ya kigae na madawa na manuiz maalum shughuli yako imeisha kupona kwako mpaka ifanyike zoezi la uteguzi baada ya kugundulika kuwa uma kifungo hicho cha kichawi.

Damu ya hedhi, manii ya mwanaume, mtoto mchanga mimba iliyohatibika hivi vtu vina faida kubwa sana kwa wachawi kama unavyoona wewe ukiokota almasi au madini na wao pia hupanda vyeo wanavypata hivi vtu kwa wingi.

Siku hzi wachawi pia wameendelea suo kama zamani unaweza ukarogwa pasiba kuchukua kitu chako chochote. Wanatengeneza kinyago mithiri ya mwanasesere kinapewa jina lako kile ndicho kinachofnaywa mambo yakakupata wewe kirahsi hata kama ungekuwa unaishi London na mchawi yupo Msinune Bagamoyo anaweza kukufanya atakacho na kikakupata kupitia utaalam huo mpya.

Wakati mjamzito anapojisikia uchungu na akienda hospitali mtoto hatoki, uchungu kukata  au kupitisha miezi ile ya kujifungua hiki ndicho kifingo cha uzazi

ikifikia hatua hiyo mmoja wa wauguzi awahi kwa wataalam akaangalie kuna kp kinachosababisha na nn kifanyike kumnusuru mzazi. Wakat mwingine madhara yaje husababisha upareshen hata kumkosa mzazi au mtoto. Au wote kwa pamoja

siku za nyuma niliwahi kuongelea mlangamia au mfunganga kwa msaada wa haraka kwa watu wenye shida kama hii utachemsha kamba zake na maji kisha utampa mgonjwa kwa kikombe cha plastic anywe kisha atakiachia kwa kukidondosha 

njia ya pili waweza tafuta mzizi wa mti wa mfunguo pia ukamchemshia mgonjwa akanywa wakati anaposikia uchungu. Yaan hii huharakisha haraka pia hufungua njia za uzazi atakiwa anywe kabla hajaenda hospital kwa yoyote mwenye kujisikia ucgungu anywe kiasi tu.

pia kuna makombe ya kuoga na kunywa kwa ufunguzi mafusho yategemea na aina ya kifungo na kundi lake la nyota baada ya mtaalam kuangalia.

Kwa wanaume waliofungwa kizazi au nguvu ni lazma upate mtaalam atakayeangalia vzur ufungaji wake kisha na yeye afungue kulingana na ulivyifungwa. Halikadhalika ikiwa umefungwa heshi au hushiki mimba yatakiwa upembuzi yakinifu wa hali ya juu ili kubaini mtego hapa unaweza ukahangaika sana kama mtaalam wako hajategua mtego ule bado haitalete tija.

vtu vyakujiepusha navyo wakati wa mimba usipende kutembea nyakat za mchana saa saba na usiku mkubwa, usipende kwenda kwenye mazishi, usipende kukaa ardhini ukiinuka futa zile alama za makalio yako usitembee peku usikae milangoni, hifadhi pedi au vitambaa vizur vya hedhi usitupe hovyo. Kwa wanaume kama huna mke penda kufua mwenyewe nguo zako za ndani ikiwa umekutana na msichana mpya epuka kutumia kanga au kitambaa atakachokuja nacho yeye. Ila si wote mtakaokutana nao ni wachawi hii ni tahadhari kwa manufaa yenu

       MAMBO MUHIMU KWA WENYE MATATIZO YA UZAZI

KUNA CHANGAMOTO NYINGI ZINASOBABISHA KUTOKUBEBA MIMBA AU MWANAUME KUTOBEBESHA MIMBA. KWANZA MADAWA YA UZAZI YA KISASA YANA MADHARA MAKUBWA KWA WATUMIAJI USABABISHA MATUMBO KUWA MAKUBWA UVIMBE MATUMBONI KUZIBA MIRIJA YA UZAZI NA WAKATI MWINGINE UGUMBA.

HIVYO KUWA MAKINI UNAPOTAFUTA NJIA ZA UZAZI SALAMA ZISIZO NA MASHARA MWISHO WA MAKALA HAYA NITAWEKA LINK SOMA NJIA SALAMA ANGALIA RAHISI KWAKO. PIA KUNA MASUALA YA MACHANGO MAKALI YALIKOMAA YANAWEZA KUSABABISHA MPAKA HEDHI KUWA MTIHAN KWAKO HIVYO SHUGHULIKIA MATATZO YAKO MAKUBWA UTAZAA. KAMA UNA PID, HOMMON INBALLANCE AMA SHIDA YOYOTE JITAHD UTAFUTE KWANZA TIBA JITIBIE MUONGE MUNGU UTAPATA UNACHOKIPATA.

MAKALA HAYA YAMEANDALIWA NA MTABIBU ASILI TZ UNARUHUSIWA KUSHEA IKIWA UMELIPENDA SOMO ILI NA WENZIO WAPATE KUFUMBUA MACHO

kwa tatizo lolote la mapenzi, bishara, kazi kesi mahusiano kurejesha wapenzi, nguvu za kiume, kukuza dhakar, uzazi, chango nkkwa mafanyo niachie ujumbe inbox

+255621442936

KWA WENYE SHIDA JITAHD KUPIGA SIMU IKIWA YUWATUMA UJUMBE BASI WEKA MAELEZO YA KUTOSHA ULIPO JINA NA SHIDA YAKO JUMBE FUPI KAMA MAMBO HI NIAJE HELLOW VIPI KWEMA SITAZIJIB HESHIMU MUDA WA MTU.

wasiojua njia za uzazi za asili bonyeza hapa chini

Comments

Popular posts from this blog

MAFUSHO MADINI YA KILA NYOTA NA JINSI YANAVYOTUMIKA

NDOTO ZA FEDHA NA TAFSIRI ZAKE UKIOTA UMEOKOTA HELA. UKIOTA UMEDONDOSHA HELA. UKIOTA UNAPEWA HELA

FAHAMU KUHUSU MTI NDULELE TURA FAIDA NA MATUMIZI KATIKA AFYA NA MAPENZI