UTABIRI WA MWAKA MZIMA NYOTA NG'OMBE MATUKIO, AFYA, MAPENZ, MALI NA MAZINGATIO 2022



Watu wa Nyota hii ni wale waliozaliwa kuanzia mwezi April 21 mpaka May 20 wasiojua tarahe ni wale wenye majina yanayoanziwa na heruf B,N,Z

Mwaka huu utakuwa mzuri kwako katika utafutahi wako wa maisha japokuwa kutakuwa na changamoto pia za hapa na pale ila yatakiwa usikate tamaa. Utakuwa na furaha kwani kwani kuna mipango yako ya muda mrefu inawnda kukamikika, kuna tija na mafanikio makubwa unaweza kuyaona katika vipndi tofaut.

Mwaka utajigawa katika vipindi vitatu vikubwa kipindi cha kwanza miezi ya mwanzo haitakuwa nzuri sana utatumia nguvu nyingi katika mampambano na utaoata kiasi fulani cha kukusaidia kuendeleza harakat zako. Kipindi cha pili mambo yatakuwa mepesi sana na ndicho kipindi cha wewe kufanya maendeleo ya uwekezaji kipindi hicho kila utakachokifanya kitakuwa na tija na manufaa utasikikizwa sana na watu na hata kukopeshwa yuwaweza ama kupewa kitu cha faida.

Kuelekea mwisho unaweza kukumbwa na maradhi mabaya ama watu wako karibu kukumbwa na shida ambayo utakufanya uwe bize kwa muda na kupoteza fedha katika kulitibia. Baada ya hapo mambo yataendelea vzuri kwako. Mwaka huu ni mzuri kwa waajiriwa wapya wanaweza pata mafunzo ya mambo wasiyoyajua pia kwa wasafriri safari zipo waz kazi kwako ni kuzivuta na kuzimiliki faida na tija ipo.

Una fursa ya kutumia taaluma ama kipaji ulichoancho na kinaweza kukunufaisha. Pia kuna ishara ya kukumbukwa na watu uliwahi fanya nao kazi ama kusoma nao wanaweza kukusaidia kupata ajira. Ila angalizo mwaka huu kama muajiriwa usiwe sana karibu na bosi punguza uchawa unaweza kujikuta unaharb baada ya kujenga

Rangi ya bahati ni njano, namba zako za bahati mwaka huu ni 3 na9 miezi yako ya bahati kwa mwaka mzima ni mwwzi July, Septemba na Decemba. Kwa watu wa michezo ya kubahatisha na kuanzisha vtu vipya zingatia hayo maelezo.

      MASUALA YA KIPATO NA UTAFUTAJI

Fedha itakuwepo kwenye mizunguko yako japo haitakuwa yakurudhisha maana kuna kipindi utakumbana na changamoto ya utoaji sana hivyo kipindi hicho fedha hazitakaa kabisa. Kwa wale watafutaji wa mali za utajiri wa hali yoyote pia mwaka ni mzuri kwao waangalie miez iliyotajwa hapo juu.

Jibidiishe katika utafutaji usiache kumuomba Mungu mwaka una heri na shari ndani yake hivyo kipato chako kihifadhi ili usijezalilika mbele ya safari.

         MASUALA YA KIFAMILIA NA AFYA

Nmeeleza kuwa kuna kipindi afya yako haitakuwa sawa. Hivyo afya yako mwaka huu haitakuwa njema sana kuna kipindi utakutana na maradhi ya kiafya lakini pia kuna ishara za sihiri mwaka huu utatupiwa nazo

Ushauri yutakiwa kuwamakini katika vyakula usile sana nyama nyekundu kula kwa kiasi jitahd mbogamboga maziwa na mafunda. Pia yatakiwq ufanye sqna mazoez ili kuwekq mwili sawa.

Kifamilia mtu aliyepotea muda mref anaweza kureje ama kuwakumbuka kwa mawasiliano. Pia kuna ishara ya watu kuongezeka kwenye familia mnawezw kupata uzazi au kuketewa mtoto wa nje aliyefichwa muda mrefu katika familia yenu. Kuna ishara ya suluhu kwa watu waliihitilafiana hivyo mwaka utakuwa na viako sana vya kifamilia na michango haitakwenda mbali.

            MAHUSIANO YA KIMAPENZI

Unahitajika uwe na uvumilivu na utulivu katika kuamua mambo yanayohusu mapenzi. Mwambie ukweli mpenz wako mambo unayotaka kuyafanya kimaendeleo anaweza kukuunga mkono kwa asilimia kubwa kumficha kutamfanya ajione hama umuhimu kwako pale jambo lako litakapokamilika. Katikati ya mwaka kuwa makini kunaweza kuingia mdudu mtu kwenye mahusiano yako na mapenzi yanaweza kuvunjika. Kuwa makUKni sana kipindi hicho.
Wale walioachwa wana uwezo wa kurejewa kama watataka kipindi hiki cha mwanzo mwaka utakapoingia kati zohali itasimama hivyo hakutakuwa na marejeo. Wanaohitaji ndoa mipango ianze mapema.

ZINGATIA MAELZO MUHIMU YALIOANDIKWA

KWA SHIDA YOYOTE YA KINYOTA, MAPENZI, MIZIMU, BIASHARA, MAHUSIANO, KESI, UZAZI NGUVU ZA KIUME KUKUZA SHAKAR NK PIGA SIM
+255621442936

Ikiwa unatuma ujumbe basi weka maelwzo ya kutosha ji a lako pahala ulpo na shida jumbe fupi sitazijb

Comments

Popular posts from this blog

MAFUSHO MADINI YA KILA NYOTA NA JINSI YANAVYOTUMIKA

NDOTO ZA FEDHA NA TAFSIRI ZAKE UKIOTA UMEOKOTA HELA. UKIOTA UMEDONDOSHA HELA. UKIOTA UNAPEWA HELA

FAHAMU KUHUSU MTI NDULELE TURA FAIDA NA MATUMIZI KATIKA AFYA NA MAPENZI