MAMBO YA MIGODINI UCHIMBAJI WA MADINI NAMNA YA KUYAPATA NA KUFAIDIKA



MAKALA HAYA YAMEANDALIWA NA MTABIBU ASILI TZ KUWASAIDIA WANAOTAFUTA MAISHA KWENYE UCHIMBAJI WA MADINI JITAHDBKUSOMA MPAKA MWISHO UTATOA TONGO JICHONI


MARA kadhaa nmekuwa nikipokea maswali kuhusiana na wachimbaji wa madini. Wengi wakiomba muongozo namna ya kutafuta madini na wwngine wakitaka kujua wataoataje faida za madini. Makala haya yatakupa muongozo mzuri wenye manufaa kwa walio migodini na wanaotaka kwenda migodini kutafuta maisha kwa uchimbaji jitahd kusoma kwa umakini nasisitiza usome kwa umakini sabab wengi huwa hamsominachukua tu namba na kuanza kuuliza maswali ambayo kimsingi makala inakuwa imeshayajibi.

Jambo la kwanza unalotakiwa kufaham uchimbaji wa madini una nyota. Ninachokimaanisha hapa kuna watu ufalme wao umesimamia madini yaan kuna watu wana nyota ama majini wanaoleta hayo madini kiurahisi. Kwa waliopo migodini tutaelewana hapa mfano unafanya kazi na mru na wote hamjaenda popote kuchukua dawa ila mwenzio mkiingia tu lazima apate madini japo si kikubwa ila hawez kukaa muda mred bila kupata. Huyo ndiye ninayemzungumzia hapa kwamba huyo ana kitu tofaut kinachoweza kumpa madini.


Huyu hata asiposhughulikiwa basi uwezo wa kupata madini na hela ya kawaida haiwez kumpiga chenga. Pia watu wa namna hii kama hujajielewa unaweza kufungwa akili na mmliki wa mgodi ukawa ndio chambo pale unafanya kazi kubwa ya kuvumbua madini faidia wanapata wengine. Pia yuwaweza kutolewa kafara kama kuna baadhi ya vitu ukiwa navyo vikiwavutia mafundi.

Jambo la pili Madini yote yaliyomo ardhini miliki yake ni Majini. Yaani kila madini unayoona yapo chini ya jini na kila jini anayo madini yake anayomiliki. Hivyo yatakiwa utylize akili sana hapa nitaongea mambo ya kitaalam kidogo unaweza usielewe haraka ila jitahd uelewe kwa manufaa yako, kama ni mtu wa migodini jitahd kunote kila nukta unataka kuanza hyo jitahd kufuatilia kwa umakini sana hata wewe usiye jishughulisha na hizo kazi kuna kitu kitagusa kwa wanohitaji bahati.

Maisha ya kawaida unapokuwa unataka kuomba kazi pahala fulani lazima ufuatilie mashart ya eneo lile mavaz bosi anapenda nn huwa wanauliza maswali gani kwenye enterview ili ujipange unapoingia pale kukabiliana na kila hali. Lakini shabaha yako kubwa ni kuipata ile kazi. Basi hata kwenye madini kila jini ana tabia na vitu vyake anavyopenda ikiwa utavufuata basi kuna urahisi wewe wa kupewa kile jini anachomiliki. Mfano mwingine hata unapotaka uhusiano wa kimapenz lazima uchunguze umtakae anapenda nn ndipo uishi vile atakavyo.

Hapa nazungumzia majini wema si wale walioasi ambao wana sifa za ushetani. Ukihitaji madini ama kitu chochote cha shetan iwe utajiri bahati basi ni lazma shart damu imwagike ndipo unaposikia mgodi umefuta watu kadhaa wamekufa. Baada ya muda madini yanatoka yakumwaga. Hii ni nji za kishetani na hata pesa inayopatikana pale huwa haina baraka ndani yake.

Madini ambayo mnataka kwenda kuchimba yana milki zake za kijini hivyo yatakiwa ufanyiwe vitu ambavyo vitakuweka karbu na yule jini ambapo kwako itakuwa ni wepes kuyaona hayo madini na kuyachukua. Wapo majini wanamiliki madini ya aina moja tu na wapo majini wanamiliki aina zote za madini. Utofauti wake ni nguvu na ukoo wao. Mtaan kwako au kijijin kwako kuna ukoo fulani husifika sana bwana wale ukoo wao wana asili ya nguvu ukipigana nao ujipange. Aidha utasikia wale familia yao ni wahuni wazee mpaka watoto pia ushawahi kusikia wale bwana familie ile imejaaliwa hakuna masikini wote wanajiweza.

Kwa wenye nyota ama bahat ya madini wao huwekwa sawa kimazingira na mambo yao yataenda vile wanavyotaka. Kwa wale nyota zao hazipo kwenye utafutaji wa madini na wanataka lazima wafanye kazi hizo hapo sasa yatakiwa kwanza kazi ya ziada kurekebishwa. Ukimaliza ndipo uingie kwwnyw hatua zingine za kuwekqa karibu na wamiliki wa hayo madini unayotaka kwenda kuyachimba ama kutafuta.

          VITU VINAVYOKUWEKA KARB NA MAJINI

Kitu cha kwanza kikubwa ni asili ya huyo jini ndiyo itakuweka karibu zaidi na yeye na kukuoa unachotaka. Ikiwa jini ni mcha Mungu basi nawe yakupasa uumche Mungu sana maana ndege wafananao ndio huruka pamoja. Asili ya jini ataijua mtaalam ambaye atakutengenza kwa nia ya kwenda huko atakuambia uishi vipi huko.

Pete hapa ndipo penye msingi wa mambo yotw kila jini ana miliki yake katika madini hivyo hutengenezwa pete huvutwa yule jini akakae pale kwwnye kito. Kama utaishi vile ulivyoelekezwa kutoboa kwako ni rahisi sababu hiyi ndiyo utakuwa njia ya mawasiliano yenu kulingana na maelezo utakayopewa na mtaalam wako.

Ukienda masonara wamiliki wa migodi hawakosi pete mikononi ule sio urembo unamaana kubwa katika kuhakikisha wanaoata kile walichokikusudia lakini pia hulinda mali zao kwa watu wabaya wanaotaka kuiba. Migodi ama Sonara yoyote lazima izikwe sababu kuna watu wana uweza wakuingia sehem usiwaone kwa macho ya kawaida wakachukue kile wakitacho kisha wakaenda na usijue chochote.

Kuna mambo mengi hapo kuna mafusho, vyakula vinywaji sadaka hapa sizungumzii damu wapo majini kwao ubani tu au udi tu sadaka kubwa sana na wanakufanyia kile ulichotaka. Yambo masuala ya mvumba kuchanjia na mambo mengine mengi.

       MAZINGATIO KABLA YA KUJIINGIZA KWENYE UCHIMBAJI

Kwanza yatakiwa uuzindike mwili wako hasa kuna tabia ya kutoana kafara na kuvmchukuliwa nyota. Unaweza kuwa yuwapendwa sana na bosi lakini hakuna fauda unayopata huwenda watu wanafutwa kazi wewe upo ila mshahara haupandi ujue kuna manufaa wanayapata kwako, na hii sio migodini tu sehemu yoyote yenye mikusanyika ya utafutaji ridhki.

Lazima ujue unafuata nn huko na ujipange kwa kufuata mashart ya kile unachokikusudia huko. Mashart uliyopewa ni muhimu sana iwe unatafuta kwa kutumia muongozo wa majini ama mashetani vyovyote vile utakapokosea itagharimu mambo yako hasa wale wanaoutumia mashetani.

Mambo mengine ni siri tutaambaiana wale tutakaonnana kwa wwnye kuhitaji kutengenezewa kuelekea huko. Hapa namaanisha wanaohitaji kazi hizo na wale ambao nitafanya nao kazi sitajibu maswali kama si muhusika. Siri za wachoma vitumbua hapewi wauza majeneza tuelewane hapo kwa umakini.

MAKALA HAYA NIMEYATOA KAMA MUONGOZO KWA WALE WANAOTAKA KUINGIA AMA WALIOPO KWWNYE SHUGHULI ZA MADINI NA HAKU A FAIDIA WANAOYOPATA. HIVYO UNAWEZA KUCHUKUA HATUA KWA KUJITATHMIN NA KUGUNDUA WAPI UNAKWAMA AU KAMA NDO WATAKA KUINGIA UANGALIE UANZIE WAPI. ILA FAHAM SINA MAANA LAZIMA UJE KWANG AU MM NDIYE NISHUGHUKIKIE HUU NI MUONGOZO AMBAO UTAKUSAIDIA POPOTE ULPO WATAALAM WAPO UNAWEZA KUWAENDEA WAKASHUGULIKIA. MSAADA KIOFIS FANYA MAWASILIANO KWA NAMBA ZANGU.

MUNGU AKIPENDA NITAZUNGUMZIA MALI ZA KALE UKWELI NA UTAPELI ULIOPO NA NN HASA NI DILI NA ZINA KAZ GANI. KWA WANOHITAJI SOMO LIJE WEKA MAONI YAKO HAPO CHINI IKIWA KIMYA NITASOMESHANA AHLI ZANGU NYUMBANI.
PIA NAPENDA KUWASISITIZIA MIMI SITOI UTAJIRI WA MAJINI WALA SIMILIKISHI NINI WA MALI SIKU HZI SIJIBU KABISA JUMBE ZA NAMNA HIYO UNA BISHARA KAZI UNAWEZA KUTENGENEZA IKAKUPA MANUFAA NA PATO WANAOHTAJI PETE ZA BAHATI NITAWASIKILIZA.

+255621442936

KWA SHIDA YOYOTE YA KAZI, KESI, MAPENZ, BIAHSRA, NYOTA, NGUVU ZA KIUME, UZAZI, KUKUZA DHAKAR NK JITAHD KUPIGA SIMU IKIWA YUWATUMA UJUMBE BASI WEKA MAELEZO YA KUTOSHA IKIWEMO JINA NA SHIDA JUMBE FUPI SITAZIJIB.

Comments

  1. Play Casinos & Slot Games Near Me - MapYRO
    Find the best casinos and slots 여수 출장마사지 apps 의정부 출장샵 for iOS and Android. 아산 출장마사지 Casinos 충청남도 출장안마 Near Me. Find Casinos Near Me. Use 화성 출장마사지 the map icon to create a map.

    ReplyDelete

Post a Comment

Popular posts from this blog

MAFUSHO MADINI YA KILA NYOTA NA JINSI YANAVYOTUMIKA

NDOTO ZA FEDHA NA TAFSIRI ZAKE UKIOTA UMEOKOTA HELA. UKIOTA UMEDONDOSHA HELA. UKIOTA UNAPEWA HELA

FAHAMU KUHUSU MTI NDULELE TURA FAIDA NA MATUMIZI KATIKA AFYA NA MAPENZI