TAFSIRI YA NDOTO ZA NG'OMBE



KARIBU katika muendelezo wa darasa za tafsiri za ndoto zetu. Leo nitaongelea ndoto za ng'ombe yaani umelala kisha ukaota jambo linalomshitikisha ng'ombe katika ndoto hiyo tufahamu tafsiri yake.




Ng'ombe husimama kama adui wa kichawi au uchawi kamili lakini pia huashiria mashetani ya ukoo au maadui wa ukoo. Lakini pia ngombe hutafsiri bahati yategemea muotaji na mazingira aliyoota mfano mtoto wa kike msichana amabaye hajaolewa akiota ng'ombe tu hamfanyi kitu ni ishara ya milango ya ndoa kufunguka bimaana atapata nusra. Akiwa mwanamke aliyeolewa akaota km hvyo juu ni ishara ya kupata msaada kwa mtu asiyemtarajia ikiwa mwanamke aliyezaa akaota kama hvyo ni ishara njema ya afya kwake na uzawa wake.

Ikiwa utaota ng'ombe wametulia wanakula nyasi bustanini au shambani ina tafsiri aman katika familia ukoo kama kuna mtu umehitilafiana nae basi amani itapatikana na kama una kesi utashinda ila upambane pia inatfsiri kutoa kitu ili upate ushind kitu haina maana ni rushwa ni tafsiri za kitaalam zaid.

Ukiota ng'ombe anakukimbiza maana yake ni wachawi au maadui zako wanakuwinda wakiroge. Ukiona ng'omne amekujeruh kwa pembe kwato kichwa yaan amekukimbiza kisha akafanikiwa kukudhuru ni ishara ya uchawi au ubaya kukupata yaan walichodhamiria kimefanikiwa lazima utaumwa sana siku za usoni au mambo yako kukuharibikia wanaweza wakawa wamekuroga kwa kuvunja mambo yako au kuutesa mwili na maradhi.

Sasa pia unaweza ukaota ng'ombe anakuchezea pia ni ishara ya kuchezewa na maadui zako pia ukiota umepanda juu ya ng'ombe na unacheza nae au anakimbia na wewe ukiwa juu ni ishara ya wewe kutumika katika shughuli za kichawi na kihstan yaweza kuwa wanatumia kivuli chako au nyota au nguvu zako za kiume kwa mwanaume au mfuko wa uzazi kwa wanawake ukiota sana hzo ndoto na ukaww huna nguvu za kiume au hushk mimba hedhi shida ni moja ya dalili zake.

Ukiota unachunga ng'ombe wekundu ni ishara ya kuteuliwa na mashetan wa ukoo wako na wanataka utawale yaan kirithi aidha mambo ya maaguzi au uchawi yategemea na isimu ya ukoo wenu upoje. Ikiwa wanakufuata hao ng'ombe wekundu na au kukukimbiza basi unakumbushwa na kutishwa kuwa urudi kwenye mila za wazee wako kama wana mitambiko ukatambike nk

Ukiota unakimbizwa na ng'ombe weusi hapa sasa ni mashetan mambo ya mizimu na umeenda kinyume na matakwa yao hapa sasa wanakuonesha kukasirishwa kwao juu ya matendo yako na hapa huharibu mipango katika maisha.

Ukiota unachinja ng'ombe au mnyama yoyote anayeliwa km mtu aliyeota ni fukara ana mazonge ya dunia ana mitihan mengi hajaoa basi ni bishara ya kufunguka mambo yake nankuisha mtatizo yake ataoa kama kuna jambo linamtatizz litakaa sawa biidhin llah ila ni kheyr kama utaota mnyama ni mweupe au mwekundu na ikawa ni siku ya eid. Kama una kesi yatakiwa utoe sadaka. Na km aotae ni mwanamke mwenye mimba bashirio la kujifungua kizazi chema heri ikiwa umeota upo kwenye eid.

Sasa akiota mtu tajiri ana mapesa ana miliki watu ni ishara ya kuachia watu huru kama kuna kitu anakimilk kinyume na sheria kitamtoka kama kuna kitu amekidhulumu kitarejea kwa mmiliki halali.

Maswali kuhusu ndoto uliza hapo chini inbox utagharamia

Una tatzo lolote la afya uzazi nguvu za kiume kesi mapenzi biashara nk niachir ujumbe inbox

+255621442936
Whtsp group ni la malipo kwa wahtaji







Comments

Popular posts from this blog

MAFUSHO MADINI YA KILA NYOTA NA JINSI YANAVYOTUMIKA

NDOTO ZA FEDHA NA TAFSIRI ZAKE UKIOTA UMEOKOTA HELA. UKIOTA UMEDONDOSHA HELA. UKIOTA UNAPEWA HELA

FAHAMU KUHUSU MTI NDULELE TURA FAIDA NA MATUMIZI KATIKA AFYA NA MAPENZI