SIRI NA MATESO YA UCHAWI UNAPOITWA USIKU, USINGIZINI USIITIKIE



MUENDELEZO wa darasa zinazohusiana na matatizo yanayoletwa na wenzetu wenda usiku. Ikiwa umefuatilia makala zilizopita za uchawi basi kichwa chako kimeshaongeza kitu na umakini zaidi katika maisha. Nimefafanua kuhusiana na mitego kadhaa ya wanga namna unavyoweza kuingizwa mtegon na jinsi ya kujinasua, piq nikagusa namna ya kuingizwa kwenye chama cha wanga.


Leo nakupa kitu kingine adhwimu, najua hutakuja kunisahau kwenye maisha yako kama utakuwa umelike hii page kuna siku itakuja kukufaa darasa zangu. Ikiwa si wewe basi familia yako. Ulishawahi kusikia unaitwa usiku alaf aliyekuita usimuone au umelala kisha ukaota unaitwa na ukakurupuka ukahisi haupo sawa kimwili wala kiakili.

Wanga wana njia za kuita watu majina pale wanapotaka kufanya jambo lao. Yaweza kuwa umeitwa ili kujumuika kwenye kikosi usiku hawa ni wale wanaotumika pasipokujua. Unaweza ukawa unaitwa ili saut yako itumike kama funguo katika kuzima au kukatisha mambo yako. Pia yaweza kuwa unaitwa ili utolewe msukure.

Kuitwa usiku kunaaashiria kuwa mwili wako mwepesi hivyo hawasumbuki kupoteza muda kuiufuata ulipo lala. Ikiwa tayar una muhuri wa kichawi chale basi ni rahisi wao kuwamonita na kuwaita sehemu moja. Kinachofanyika anapewa majina yenu kiongozi wa zamu wa siku hiyo kisha ataita majina kwa kupitia chungu kila jina mara tatu basi utaitika mwenyewe na utaenda kule saut ilipotokea.

Unaweza ukawa hujui kama unatumiwa na wanga lakini watu wakienda wataalam wanaambiwa kuwa wewe ni mwanga sababu tayat una alama na ushaanza kutoka pasipo mwenyewe kujua. Moja ya dalili zake ni kuota ndoto zisizokuwa na mpangilioa maalulum, unaota mara upo sokon mara shamba mara shule ndoto hazina fomula maalum. Na ukiamka asubuh unakuwa umechoka sana.

Ukiwa mgonjwa uksikia saut inakuita huon mtu usiitike moja ya dalili kuwekwa msukure. Hapa utaitwa mara tatu utakapoitikia utakuwa umeshatumiwa kitu ambacho kitakutoa kimawazo hapo ulpo. Mfano upo hospital ukaitwa ukaitika basi utapelekwa sehem kimawazo kuna mtu atakuwa na chungu ana atakuwa akikupa kile kitu unachopenda kula hapa duniani.

Tunajua kila mtu anacho anachokipenda sana basi ndicho utakachopewa na huyo mtu ili ule wakat unakula kwenye chungu kutakuwa na maji atakuwa akiyakata na wembe akifanikiwa yale maji kutoka damu ni hatua ya kwwnza tayar ishafanikiwa kukuingiza kuzimu. Zinazofuata ni njia tatu kuu mpaka kukamilisha nne unakuwa tayar tumeshakuzika kiini macho na upo huko.

Ikiwa upo kwenye usafiri ukaitwa usikurupuke kuitikia sauti yako ni ishara ya kukubali jambo fulani kwao mfano ukiita Ruthi ukisema bee tayar wameshafanikiwa. Nafikir mshawah kusikia kwamba kuna watu wamepanda magar halaf hawakuonekena kushuka na wala hawajulikan walipo. Na wakat mwingine wakionekana akili zao huwa hazipo sana ndio hapa kwamba kuna vtu wanaenda kufanywa ili wasisema yahuko wanapumbazwa akil.

Kikubwa usipende kukurupuka unapoitwa hakikisha nani amekuita. Wengine walikuwa na mali ndoa lakini walipoitwa baada ya kuitwa mambo yakabilika ile itika yako imepeleka ujumbe kwamba umekubali lile jambo lifanyike. Ukiona umeitwa sana mpaka ukajua unaitwa na ukaona mazingira hayapo sawa yatakiwa utoe tusi kubwa saut itakata.

Nyumba zenye watoto wa changa wanga hupenda sana kutembelea na ikiwa mtoto hujamkinga ndio utakuta analia kila ifikapo usiku na hanyamazi. Kuna watu anawaona lakini nyinyi hamuwez kuwaona namna kutoa taarifa hajui ndio anabaki analia tu. Niliwahi kuongelea kinga na dawa za watoto mara tu wanapozaliwa isome hyo makla hapa.

Nimetoa kinga za nyumba na mwili ili kila mmoja apate kuukinga mwili na nyumba zao. Kuna visomo vya halal badiri unaweza kuvifanya kwa ajili yako na familia na biashara zako. Kunw makafara ya makondoo mbuzi unaweza fanya mtu akikudhamiria ubaya unamrudia mwenyewe na atakuja kukuomba rahdi ili apate ponyo.

MAMBO MUHIMU YAKUZINGATIA WACHAWI WANA MITEGO NA UJUZI MKUBWA KATIKA KUFANYA MAMBO YAO. HIVYO YATAKIWA UWE MAKINI KATIKA MAISHA YAKO MAKALA HAYA YAMEANDIKWA NA MTABIBU ASILI TZ.

una tatizo lolote la la nyota, kinga, kuuza kuibiwa mapenzi, nguvu za kiume, kukuza dhakar, uzazi nk niachie ujumbe inbox

+255621442936

KWA WALE SHIDA JITAHD KUPIGA SIMU NA IKIWA UNATUMA UJUMBE BASI WEKA MAELEZO YA KUTOSHA JUU YA SHIDA YAKO JUMBE FUPI KAMA MAMBO HELLOW HABAR NIAJE VIPI HI SITAZIJIB HESHIMU MUDA WA MTU

Comments

Popular posts from this blog

MAFUSHO MADINI YA KILA NYOTA NA JINSI YANAVYOTUMIKA

NDOTO ZA FEDHA NA TAFSIRI ZAKE UKIOTA UMEOKOTA HELA. UKIOTA UMEDONDOSHA HELA. UKIOTA UNAPEWA HELA

FAHAMU KUHUSU MTI NDULELE TURA FAIDA NA MATUMIZI KATIKA AFYA NA MAPENZI