KUHUSU UCHAWI KUJUA KAMA UMEROGWA, JINSI, YA KUWAONA NA KUJIKINGA



KWENYE kundi la wanga basi asilimia kubwa ya waumini wao ni wanawake. Ukikuta kikundi cha watu kumi basi sita mpaka saba ni wanawake na idadi chache iliyobaki ni wanaume. Hii inatokana na wanawake kupenda zaid kujaribu kila kitu wanachokisia, pili wanawake ni watu wepesi kimwili hivyo hata hatua zake za kuingizwa huwa rahisi zaidi kuliko wanaume.


Kuna hatua kadhaa za kuongizwa uchawini kuna siku ntatoa darasa linalohusu hizi hatua tu na lakini kwa uchache nitazitaja pasina uchambuzi wake au wawezajiunga kwenye group ukapata mafafanuo zaidi. Kuna mtu anaingia kwenye chama kwa kutaka mwenyewe tena hufikia hatua za kutoa rushwa ili aingizwe. Kuna watu huingia kwenye chama kwa kurisihwa. Kuna watu huingizwa kwenye chama na marafiki zao wanaokuww nao muda mwingi hapa ndio kundi kubwa la wanawake hujikuta humo. Kuna watu huingizwa kwa makubaliano maalumu. Sasa uchambuzi wa kina kama nilivyoeleza.

Kuna mtu aliyewangiwa bimaana amepigwa sihiri. Kuna mtu anayetaka kuingizwa kwenye chama. Kuna mtu anayetaka kuteswa kwa kuwa amekosana na mmoja wa wajumbe wa chama hicho. Wapo watu wanaotaka kurithisihwa kila mmoja ana dalili zake  na ishara zake. Ikiwa unaota sana ng'ombe aidha unacheza nae au amekubeba anakimbia nawe hii ni moja ya ishara kuwa wanga wanakutumia kwenye shughuli zao. Na kuna moja ya kiungo chako ndicho kinatymika zaid kwao. 

Kuota upo kwenye shughuli mara kwa mara ngoma watu wanakula unaonekana kama wewe ni mgeni mualikwa hii ni ishara ya kuongizwa na kuna siku utafuatwa mchana na watakuwa wakikuuliza je waonaje zile starehe za usiku ukionesha kuvutiwa ndio unaingizwa kirahs ukiwa unaonekana mgumu wakati washakufunulia baadho ya mambo ndio huadhibiwa mpaka pale utakapokubaliana nao.

Ukiota unakula nyama au kitu chochote alaf ukaamka unaharufu mdomon tumbo linakuuma usiku walikufufuata kweli na ulilishwa aidha nyama ya bundi au paka au binaadamu kama ilikuwa ni siku yao ya kutoa kafara. Kuna dawa nyingi za kuwaona wachawi lakini si nzur kama ukiwa huna kinga nzuri ya mwili unaweza ukawaona na wao wakakuona wakaamua kukuandama kwa kuwa unazijua siri zao. Jambo la muhimu usifanye kila kitu kinachoelezwa pasina elimu pia chunguza elimu ya huyo mtoa elimu.

Wanga wana mitego mingi sana yakukufunga kile wanachokitaka kwako, anaweza akatumia picha yako uliyoipost au mwanao na akafanikiwa kulifanya alitakalo soma somo la kumuita mtu kwa kutumia picha. Anaweza akaziba ridhk zako kwa kutumia pesa ambayo utampa mwenyewe tena hawaombi ju elf moja ni miambili mia tano zile fedha na coins ukimpa umekwisha anafunga ridhki zako. Pia anaweza akafunga kizazi ikiwa atapata kitambaa cha chup au ped, wanafunga kivuli wanaweza wakakufunga akili nk.

Mimi ntakupa njia za kujikinga na wanga wasiweze kukutesa kirahisi ukihitaji kinga hasa na dawa za kiwaona njoo ofisini. Kuna kinga za muda mref mara kadhaa nmewahi kuizungumza hapa hapa unaweza ukala au ukachanjiwa ni nzuri na hawawez kukusumbua. 

Watu wa zamani walikuwa wakitumia mkaa kujikinga na waenda usiku japo si kila mti una uwezo huo na pia yategemea na nia na uwezo wa huyo mchawi aliyekukusudia. Mkaa ni wa mpongo utaunguza kisha utazima kwa manuiz kuwa nazima macho na vijicho vya waenda usiku wanipite wanione mgumu kama kisiki cha mpingo kisha utakiweka chini ya  mto wako wa kulalia. Hii hata wale wanawake wanaopandisha pandisha misiban au sehm yenye wagonjwa ukijijua wewe wa hivyo ukifika maeneo hayo tafuta kimkaa kilichozimwa kitiwe ziwani kwenye sidiria yako.

Njia nyengine utatfuta ndoo zile za bati wazee wa zaman walikuwa wakizitumia kuwekea maji ya kunywa au chooni upate na kisu chenye mpini  wa chuma au shaba. Upate na maji ya kisima au ukikosa tumia yoyote weka ndoo ndani ya nyumba au chumba chako tia maji kisha yakate yale kwa kisu yaan fanya kama unayakata kisha zamisha kisu mpaka chini kiache humo.

Nawa hayo maji kuanzia mikononi mkapa kwenye viwiko vyake wew na familia yako yote ukiwa unanuizia kwa lolote unalotaka wewe. Unaweza sema wasikuone wasikukere wasikusumbue 

Kisha acha maji yenye kisu ndani palepale mkalale. Hatakujia mtu mchawi kamwe na usingizi mnono mtaupata. Asbh uyamwage hayo maji. Zoez hili ulifanye jion unaweza fanya mara kwa mara maana huwa wanapita kukagua je mnatumia nn ndio ile hadith ya kinga kubwa inakuja hapa.

    KUTAPISHA UCHAWI ULIOLISHWA

Hii yaweza kuwa umelishwa usingizini na ishara zake kama nilivyoelezea hapo juu kindoto na mahisio. Ukiwa na dalili hizo 

Chukua mzizi wa mkuyu uupike pamoja na unga wa uwele mpaka upate uji. Hakikisha umechemka vizuri.
Chukua uji huu unywe hakika utatapika uchawi wote uliolishwa. Na hata kama kuna vitu vya kichawi mwilini mwako utavitapika vyote

Mambo muhimu yakuzingatia usikurupuke kupewa dawa au kusoma pahala dawa za kuona wachawi ukafanya bila utaalam unaweza ukawa bubu au kipofu au kupooza mwili. Kinga kwanza mwili wako kisha ndo ufanye hayo mambo yakuwaona.

Pili hawa watu wana uwezo mkubwa wakujua mambo na wakigindua unawafuatilia kwenye habar zao vita yake hutakuja kuiweza. Nitaendelea na ufafanuzi kuhusu chale zile ni alama popote ulipo wanakuona mpaka zifutwe.

Tumuombe mungu atuepushe na mabalaa ya waenda usiku na atuhifadh na familia zetu.

Una tatizo lolote la afya nyota nguvu za kiume uzazi kukuza dhakar biashara mapenzi nk niachie ujumbe inbox.

+255621442936 

Whatsp group ni la malpo kwa wahtaj

Comments

Popular posts from this blog

MAFUSHO MADINI YA KILA NYOTA NA JINSI YANAVYOTUMIKA

NDOTO ZA FEDHA NA TAFSIRI ZAKE UKIOTA UMEOKOTA HELA. UKIOTA UMEDONDOSHA HELA. UKIOTA UNAPEWA HELA

FAHAMU KUHUSU MTI NDULELE TURA FAIDA NA MATUMIZI KATIKA AFYA NA MAPENZI