BUNDI ANAVYOTUMIKA KATIKA UTAJIRI, NUKSI, NA USHRIKIANO WAKE NA WACHAWI

UHUSIANO WA BUNDI KATIKA UTAJIRI, NUKSI NA UKARAIBU WAO NA WACHAWI

KUNA taarifa ziliwahi kusambaa kwamba mayai ya bundi na rupia huleta utajiri na wengi waliaosikiahivyo na wakaanza kutafuta mayai hayo na wengine kuingia msituni kwenda kutafuta rupia. Leo ntagusa kwa uchahe kuhusu hili ipo siku yake ntalizungumzia kwa undani.

Kwwnza si pesa za kutumia ukatesa, zinakuwa na mashart ambayo hizo pesa huwez tumia na mwanamke yoyote wa nje yaan kuhonga, huwez saidia mtu anapopatwa na matatizo kutumia hizo hela kuna kuwa na mashart mengine siwez kuyaweka wazi. Na hata uchukuaji wake wa yai yatakiwa asiliaone mwanamke yoyote toja linatagwa mpaka linatengenezewa hyo kazi. Shughuli kubwa ni kuipata hiyo rupia imetosha tuendelee na mada yetu

  SIFA HALISI NA UHUSIANO WAKE NA WACHAWI

Kwanza bundi ni ndege wa ajabu kidogo. Anajitofautisha na ndege wengine kwa tabia zake ambazo kwa asilimia kubwa wanga wengi hupita anamopita yeye. Bundi ana uwezo wa kuzungusha kichwa chake mara tatu kama vile unavyozungusha msukan wa gar unapotaka kukata kona. Ndiyo maana anakiwa na uwezo mkunwa wa kuona mbele na nyuma na pande zote kwa wakat mmoja.

Bundi yeye hatangenez kiota cha kutagia anasubiri ndege wengine ambao washatengeneza washatoto washakihama kiota yeye ndo ukitumia na kutagia wakati mwengine hutafuta tu pahala pakujificha akataga mayai yake.

Bundi iwapo utamfunga na kamba anauwezo wakukata kama atatokea mwenzie atakuja na kijiti atamgusa nacho sehem yoyote ya mwili basi ile kamba hukatika na huondoka. Au akiwa peke yake pia anauwezo wa kukata hyo kamba na akaondoka.

Bundi anataga mayai zaidi ya mawili katika mayai yake kuna yai moja linakuwa na alama aidha iwe msikiti kanisa nyota mwez nyumba au alama yoyote tukufu kuyatofautisha na mayai mengine na hilo ndilo linalotumika hasa kwenye shughuli za matibabu na utajiri. Shart lake kubwa asilione mwwnamke hata kama anayetaka kufanyiwa ni mwanamke basi atume wanaume ndo walisake kisha yeye hupewa kazi ikiwa imekamilika.

Ndege huyu anauwezo wakutua nyumban kwako usiku na akaondoka na wewe usijue. Ikiwa umesikia sauti yake basi jua ametaka wewe usikie n kuna taarifa muhimu anakupatia iwe ya her au shari ili kutambua yatakiwa uwe mjuzi wa hayo mambo. Yaweza akawa mwenyewe tu kaja kukupa taarifa kwa kukupenda pia yaweza akawa katumwa na wachaw kuleta au kuchukua kitu.

Bundi natembea usiku na anaona vzur tu kuliko mchana, bundi akifumba macho ndio anaona vzur zaid kuliko akiwa macho na tabia zote za bundi ndizo wanazozitumia wachawi usiku

  KUJIKINGA NA VITU VYA KICHAWI

Utafika kwenye kiota alipotagia bundi ambazo keshatotoa chukua vile vijiti alivyoviacha husagwa na kutengenezewa unga huchanganywa na usembe wa mangube wenyewe orijino  kisha huchanjiwa mtu mikononi miguuni na kwenye paji la uso na baadhi ya sehem ya mwili. 

Ikiwa utashika au kupewa kitu chochote cha kichawi basi kitakatika hapohapo, ikiwa unakutana tu mchawi basi atakuheshimu na kukuogopa na anaweza kukukimbia.

Kuna dawa nyengine huchanganywa na hivyo vijiti hutengenezewa uji au huwekwa kati kati ya tonge la ugali kisha hulishwa mtu baada ya muda atapata usingizi basi akilala huona mambo yote anayoyafanya mume au mke ya usaliti. Na kuanzia hapo kila nuendo za mwenzie za mchana kutwa yeye huziona usingizin.

Kamba au kijiti alichojifungulia bundi baada ya kufungwa hutumiwa na wez walo wasioonekana anaiba muda wowotwle na mnawwza mkamfunga kamba akakta hutengenezwa na madawa maalumu.

Jicho la bundi hutumiwa na wabashiri au wapiga ramli za njozi kuna mafanyo yake na matayatisho yake basi yeye anaona hata vilivyo ulaya pindi anapotaka kupiga ramli zake.

Yai la bundi lile lenye alama kama nilivyoeleza hapo juu hutengenezewa mvuto wa biashara huandikwa tarasim maalum kisha husomewa balhatia 42 kisha hufungwa na kitambaa utaweka sehem yako ya biashara au sehm unayowekea fedha utafanya biashara na faida utaiona.

Pia waarabu huweka hayo mayai kwenye visima vya mafuta na huzalisha mafuta kwa wingi na hayaishi mafuta yake. Ila hukaa kila muda fulan huweka tena.

Manyonya yake ukichanganya na dawa yoyote ya kuchoma nasi dawa huitika na majibu utayapata kwa haraka. Mfano unatala kumvuta mtu ukapewa dawa za kuchoma ukachanganyiwa na manyoya yake majibu yake ndani ya muda mfupi.

Muhimu huyu bundi ana maajabu makubwa mno siwez nikauazungumza yote nitaweka kwenye group maelezo yake mengine kuhhsina na miguu yake macho manyoyadomo nk

Maswali kuhusu mada uliza hapo chini

Una tatzo lolote la afya uzazi, kesi, nyota, nguvu za kiume, biashara, kuuza, maradh ua sukar presha niachie ujumbe inbox

+255621442936

Whtsp group la kulpia kwa wanaohitaji

Comments

Popular posts from this blog

MAFUSHO MADINI YA KILA NYOTA NA JINSI YANAVYOTUMIKA

NDOTO ZA FEDHA NA TAFSIRI ZAKE UKIOTA UMEOKOTA HELA. UKIOTA UMEDONDOSHA HELA. UKIOTA UNAPEWA HELA

FAHAMU KUHUSU MTI NDULELE TURA FAIDA NA MATUMIZI KATIKA AFYA NA MAPENZI