KISENYA KUNI, KUMBA NYASI ANAVYOTUMIKA KWENYE SHIDA MBALIMBALI KWW TIBA ASILI




HUWENDA usifahamu jina lake kati ya haya niliyotaja. Pia huwenda kilugha chenu au eneo mnaloish mnafahamu kwa jina jengine tifaut lakin picha itoshe kukuonesha na kufahamu kuwa tunaongelea mdudu wa aina hii. Anaitwa kisenya Kuni au Kumba Nyasi na majina mengine mengi.

Mdudu huyu anatabia ya kujijengea kijumba chake kisha huishi ndani ya hicho kijumba. Wapo wanaotengeneza kwa kutumia nyasi, pia wapo wanaotumia vimiti kutengenezea nyumba zao. Moja ya tabia zao wanauwezo wakukaa ndani ya jumba kwa muda mref na hutoka pale anapohitaji kitu maalum.

 Huwa wanatembea na nyumba zao ikifika kipindi huziacha na kutengeneza nyumba mpya, kama unaish shamba ulishawah kukutana nyumba tupu ya mdudu huyu basi ujue ameamua kutengeneza mpya au ameuawa alipotoka.

kama utamkanyaga mdudu huyu kwambahat mbaya bimaana bila ya kumuona unapotea uendapo na unaweza ukaipita nyumba yako hata mara tano pasina kuijiua. hadi atokee mtu akustue au ubadilishe nguo nje ndani.

Mdudu huyu ana faida nyingi sana tatzo siku hizi watu tuna usasa mwingi. Mtoto aliyechelewa kutembea huchukuliwa mdudu huyu hasa aliyetengeneza nyumba kwa nyasi anachomwa kwenye chungu mpaka upate ule usembe wake mweusi anachanjwa mtoto miguun hamalizi siku saba atamaliza mitaa kwa mbio.

Mtoto anayecheza utosi akapitisha muda wake unga wake baada ya kumchoma ukatwanga unachanganya na mafuta ya nazi kisha unampaka mtoto utosini mwake pale panapocheza ndani ya siku saba. Ila mtoto kucheza utosi ni hali ya kawaida ikitokea amepitisha ule muda au kichwa kimeanza kupasuka pale kati ndo hutumika madawa kuweka sawa.

Kwa watu wenye ugonjwa wa uwendawazimu hasa wale wa jambo maalum ambalo familia au kiongozi ana ujua basi huyo chizi ili asiwe anaodnoka kwenda kuzurura huchanjwa kwa mdudu huyu lakinia matayarisho yake kuwa tofaut na hapo juu hata matengenezo yake kuna vtu kutoka kwa mwendawazimu hutumiwa si vyema kuvitaja hadharan. Utaira ninaozungumzia ni ule wakutengenezwa watu wana taka mali yabidi mtoto mmoja awe taira sasa ili asiondoke ndani kwenda mitaan hutumika madawa.

Pia kwa mtoto aliyepotea au mtu mzima anachukuliwa mdudu yule aliyekusanya nyasi sio vijiti huku mkian anafungwa kitambaa au uzi ambao utatoka kwenye nguo ya aliyepote ambayo haijafuliwa. Kuna tarasimu itaandikwa hutundikwa mlangon chumba alichokuwa analala huyo mtu kisha huyo mdudu utamuingiza na kumtoa nje mara saba kwa kumburuza kutumia kile kitambaa huku ukimuita jina aliyepotea utasema kama huyu mwamba anavyotoka na kuingia ndani basi na yeye alitoka basi arejee kisha utamuweka mdudu chini ya kitandaa laipokuwa analal muhusika kwa chombo maalum asitolewe mpaka atakaporud muhusika.

Ile tarasm ya mlangon ataichukua mama yake mzazi au mlezi wake na ataiweka kwenye ziwa lake la kulia atamuita mwwnae na kumuamuru kuja kunyonya.

Kwa ishu za mivuto anatumika kwa kuchanganyiwa na madaww mengine yanayoendana na nyota yako pia ni baada ya kutibu tatizo ulilo nallo. Baada ya kutibia tatzo nankifanyika hayo niliyoyasema kwa nyota yako utaenda nae huyo mdudu njia panda yenye njia nne. Fika alfajiri kabla watu kuamka nenda na kisu kile cha kisultan na huyu mdudu ambaye ana vijiti. 

Ukifika pale chimba shimo la pembe nne kwa kisu chako huku ukinuia baada ya hapo chana zile kuni mdudu atoke salama halafu mtie kwenye shimo  huku ukinuia kwamba wew ndo uliyebeba nuru zote naomba nuru ziangaze kwangu kama unabyosomba vijiti na mimi niwe nasomba ninachokitaka na mabaya yote yaiishie hapa leo. Nipendwe, niwe mwenye kupata ridhiki, nithaminike na wezangu  na mim kama wengine. Mungu nisaidie, hapo utakuwa umeshamaliza kazi. 

Mdudu huyu anatumika kwenye madawa ya mapenzi kupumbaza watu kurejesha watu nk kuna utaalam unatumika ukikosea unaweza ukamtia mtu uzezeta mwisho we mwenyewe ukaanza kupata tabu maelezo yake kitaalam kwa kina nitayaweka kwenye group pamoja na mashart yake. Hawa wadudu wapo wanaobeba nyasi na wapo wanaobeba vijiti lakini mdudu ni mmoja yataegemea na pahala alipokulia kuna nn zaid. 

MAKALA HAYA YAMEANDALIWA NA KUANDIKWA NA MTABIBU ASILI TZ UNARUHUSIWA KUSHEA IKIWA UMELIPENDA SOMO IS RUHUSA KUKOPY.

Una tatzo lolote la afya, uzazi, kazi, nguvu za kiumr, kkuza dhakar, bawasiri, chango, biashara mapenzi, kesi nk niachie ujumbe inbox

+255621442936
Whatsp group ni la kulpia

Comments

Post a Comment

Popular posts from this blog

MAFUSHO MADINI YA KILA NYOTA NA JINSI YANAVYOTUMIKA

NDOTO ZA FEDHA NA TAFSIRI ZAKE UKIOTA UMEOKOTA HELA. UKIOTA UMEDONDOSHA HELA. UKIOTA UNAPEWA HELA

FAHAMU KUHUSU MTI NDULELE TURA FAIDA NA MATUMIZI KATIKA AFYA NA MAPENZI