FAHAMU KUHUSU AMBARI FAIDA NA MATUMIZI YAKE



AMBARI ni kitu kinachotoka katika matumbo ya samaki adimu aina ya NYANGUMI.
Chenye maajabu mengi na kina gharama kubwa sana.
Lakini pamoja na gharama zake pia kinafaida kubwa kuliko gharama


Ambari imegawanyika katika makundi mawili kuna ambari nyeupe na ambari nyeusi zotezina kazi zake.

katika kuzijua faida za AMBARI.

1):ukiiweka katika nyumba yako nyumba hiyo itakua na furaha muda wote na kheri nyingi zitapatikana nyumbani hapo na inafukuza majini wachafu na wanga na wachawi hawatakua na uwezo wa kuwachezea wala kuingia katika nyumba iyo.

2):ukiiweka katika biashara inavuta wateja na baraka zinazidi ktk biashara na inazuia majini wezi wa pesa na chumaulete.

3):ukiitaji umaarufu kuwika kutamba kujulikana kutingisha ..jifukize ambari usiku kwa siku 21 mfurulizo .

4):utajili ambari inavuta utajili kwa haraka mno .loweka ambari kwenye maji lita saba na sarafu nyeupe49 oga alfajili lita moja moja kwa siku saba na utoe sarafu saba kila siku ukatoe sadaka kwa masikini au watoto yatima au wajane au ombaomba walemavu au msikitini au kanisani. na AmBari nyingine jifukize kwa siku28 usiku na kipande kidogo tia kweny pochi yako uwenayo muda wote kweny pilika zako  inshaallah utapata utajiri

HAPA UELEWE JAMBO MOJA AMBARI HAIKUPI UTAJIRI YAAN USIFANYE KAZI USIFANYE BIAHSRA IKAKUPE PESA. KILICHOKUSUDIWA NI KUKUPA MVUTO WA KUUPATA UTAJIRI KWENTE SHUGHULI ZAKO USIJE UKANITAFUTA UKASEMA UNATAKA UTAJIRI WA AMBARI MAANA WATU WAMEVURUGWA NA UTAJIRI SOMA KWA UMAKINI UELEWE.

5):AMBARI inavuta madini kweny migodi  kwa wingi. Chukua ng'ombe chinja eneo la mgodi kinga damu kidodo changanya na maji isigande ikoroge tia na ambari changanya kamwage kwenye shimo la mgodi au eneo mnalotaka kuchimba inshaallah madini mengi yatapatikana.

Izi ni faida chache kati ya nyingi za AMBARI. Nitaeleza kwa urefu kwenye group letu la whatsap na kuzitofautisha kulingana na matumizi yake

ANGALIZO MUHIMU
Hakikisha unapata ambari yenyewe ili upate majibu ya uhakika fika maduka ya dawa za asili kwa watu waaminifu maana sio wote wauza dawa wana weledi na taaluma ya tiba asili

Kwa tatizo lolote nitumie ujumbe inbox

Kwa wahtaji wa group la whatsap niandikie namba inbox utapewa utaratibu

+255621442936

Comments

Popular posts from this blog

MAFUSHO MADINI YA KILA NYOTA NA JINSI YANAVYOTUMIKA

NDOTO ZA FEDHA NA TAFSIRI ZAKE UKIOTA UMEOKOTA HELA. UKIOTA UMEDONDOSHA HELA. UKIOTA UNAPEWA HELA

FAHAMU KUHUSU MTI NDULELE TURA FAIDA NA MATUMIZI KATIKA AFYA NA MAPENZI