FAHAMU KUHUSU AMBARI INAVYOLETA MVUTO WA BIASHARA NA UTAJIRI



NILIWAHI kuongelea kuhusiana na ambar na makala yangu ikakopiwa na waganga wengi wa mjini ila kubwa ninalowahusia kuweni makini katika utafutaji wa matatuzi ya shida zenu hasa wale wanaotafuta mali. niliweka makala inayohusiana na ambari. Na nikafafanua ambari ni nini na inatoka wapina nikaeleza faida zake 


Pili wengi waliuziwa ambari isiyo yenyewe orijino hvyo ikawa ngumu kupata matokeo yale niliyoyaandika. Nawashaur tena somen mpaka mwisho.

Leo nitaongelea kwa uchache kuhusu ambari nyeupe. Sasa hii ndo baba wa ambari na bei yake ndiyo juu kuliko ambar zote maana ambari nyeusi imeagawanyika katika mafungu mengi.

Kwa kuvuta bahati ya biashara na mwili

Chuukua ambari nyeupe ya mascut changanya na unga wa hardal, mringaringa  ,mpapatiko na mwita hv vnapstkana maduka dawa asili

Zitwange ziwe unga kisha zigawe mafungu mawili fungu la kwanza pia utaligawa mara mbili moja utawekakwenye mafuta ya nazi yaliyoacahanganywa na karafuu fungu jingine utakuwa unaweka kwenye maji ya kuoga

Ukimaliza kuoga paka kabla hujaenda mihangaikoni fungu lilobaki utaweka na udiutakuwa unajifusha au kufusha sehemu yako ya biashara.

Hii hata kwa wale wasiokuwa na waume utapata mume fasta inaleta mvuto haraka

Kwa watu wanaohitaji umaarufu au ukubwa kazini wasanii wana siasa nk

Kuna tarasimu maalumu huandikwa kisha hufushwa na amabari nyeupe na mafusho mengine hupewa mtu akae nayo kwa majuma kadhaa

Pia ambari nyeupe hukuza maumbile ya kiume na kuleta nguvu za kiume kwa wale nyonde nyonde hii sina maeleO kutokana na vitu vinavyotumika hapa ni vigumu kuvipata kwa mtu wa kawaida kama unahtaji dawa hii nitumie ujumbe inbox

Ukinywa ambari nyeupe husafisha damu huweka sawa mapigo ya moyo hutoa sumu ndani ya mwili.

Ambari nyeupe huponyesha vichaa wale waliopigwa sihiri, hufukuza majini wabaya. Kama unamiliki hii kitu ndani kwako utatembelewa na majini wale heri na unaweza ukawaona kwa macho lakini wachawi hawataweza gusa nyumba yako. Nitazungumza kwa urefu whtsp group.

Ambar nyeusi hutumika kuhamishia watu 

Tafuta kipande cha ngozi ya mnyama aliyekufa mwenyewe nzuri zaid akiwa mweusi kondoo
Utaandika jina la unayemtaka ahame mji mtaa au kijiji utaandika surrat munafiqun aya saba za kwanza

Utanunua habatrashad na ambari nyeusi utavikaanga kwenye chungu mpaka  viwe vyeusi huku unanuia mambo yako

Utaweka juu ya hyo ngozi utafunga na kipande cha kaniki iwe fundo 
Nenda kafukie owenye mti ulokufa wenyewe pembezon mwa mto au bahar

ambari zinapatikana kwenye maduka ya dawa za asili yale makubwa pia sio kila duka la dawa lina ambari lakini pia si kila ambari ni halisi kuwa makini unaweza usipate matokeo kulingana na ambar uliyopewa

Una tatzo lolote la mapenzi kazi biashara uhusiano kesi kuibiwa kudhulumiwa kuuza ktu namba +255621442936

www.tabibuasili.blogspot.com
Wanaohtaji group la whatsp ni la malipo andika namba zako inbox utapewa utaratibu
0621442936

Comments

Post a Comment

Popular posts from this blog

MAFUSHO MADINI YA KILA NYOTA NA JINSI YANAVYOTUMIKA

NDOTO ZA FEDHA NA TAFSIRI ZAKE UKIOTA UMEOKOTA HELA. UKIOTA UMEDONDOSHA HELA. UKIOTA UNAPEWA HELA

FAHAMU KUHUSU MTI NDULELE TURA FAIDA NA MATUMIZI KATIKA AFYA NA MAPENZI