FAHAMU KUHUSU TEMBO TIBA KWA WATOTO NA WAMAMA NA KUKUZA DHAKAR



Tembo ni mnyama mkubwa mbugani, kwa ukubwa wake hata kwenye tiba pia anakuwa na mambo makubwa. Ukitaka uwe mkubwa katika eneo lako aidha biashara kazini eneo la michezo nk kuna vitu vya tembo hutumika kutengeneza hyo dawa njoo ofisini utapatiwa


Kwa ujumla tembo ana faida nyingi. Nilishawahi kuongelea mafuta yake katika ukuzaji wa dhakari kama imekupita makala haya soma makala ya nne hapo chini kwenye ukurasa wangu nimefafanua kwa upana.

Mafuta yake pia huweza kutatua tatizo la watoto waliopinda viungo wakati wa kuzaliwa ama waliovunjika huchanganywa na aina saba nyengine ya mafuta huchuliwa mtoto hii ni kwa watoto 

Sasa leo ntafafanua kuhusu mavi yake tembo akishakunywa yale mavi yakikauka ni dawa nzuri kama ninavyofafanua

mavi yake kwa degedege

Chukua  mvuje, mavi  ya Tembo, Majani ya vitunguu saumu yaliyomenywa na watu wengi ukipata ya shughulini ni vizuri zaidi.

Mfushe kwa siku tatu mfululizo mara mbili kwa siku mtoto atakaa sawa

Mtoto anayelia usiku au anastuka akiwa usingizin unamfukiza kabla ya kulala.

 na pia ukiwa unamaumivu ya kichwa au kipandauso kinakusumbua unajifukiza au unanusa ule moshi.

Pia fusho hilo huweza kukata damu puani.

Pia mavi ya tembo hutumika kutengenenzewa fusho chafu hutegemea aina ya jini takiwaye kutolewa basi hata vizimba vyake huwa tofauti

Mavi y tembo yanapatikana maduka y dawa asili popote pale ulipo hata vtu nlivyotaja vingine pia hupatikana madukani nitafute ukiwa na shida nyengine au tatizo kubwa sio mavi ya tembo

Una tatizo lolote la kiafya mapenzi kesi nguvu za kiume kazi biashara nk 
0621442936

Comments

  1. Je mavi ya tembo SI dawa ya kufunguwa kazi kama haziendi sawa ?

    ReplyDelete

Post a Comment

Popular posts from this blog

MAFUSHO MADINI YA KILA NYOTA NA JINSI YANAVYOTUMIKA

NDOTO ZA FEDHA NA TAFSIRI ZAKE UKIOTA UMEOKOTA HELA. UKIOTA UMEDONDOSHA HELA. UKIOTA UNAPEWA HELA

FAHAMU KUHUSU MTI NDULELE TURA FAIDA NA MATUMIZI KATIKA AFYA NA MAPENZI