NDOTO ZA NDOA KUOA, KUOLEWA NDOTONI TAFSIRI NA MAANA ZAKE.



NDOTO za harusi bimaana kuoa ama kuolewa zimetawaliwa na jini mahaba kwa silimia kubwa, lakini si kila ndoto ya ndoa inahusiana na jini mahaba yategemea na mazingira ya muotaji yalivyo. Ili ithibiti kama una jini mahaba yatakiwa aungaliwe kiundan ila dalili zaidi ni kuota unazaa mara kwa mara, kuota una mimba, unanyonyesha unafanya tendo la ndoa na ukajisikia raha zaid kuliko hata huyo unayeishi nae hizi ni baadh ya daliki zake na dawa yake ni kutolewa.


Upande mwingine ndoto hizi zinawakilisha uaminifu kwa Mungu, vilevile ni ishara ya Jela, Madeni, kupata Huzuni, misiba, kuchanganyikiwa, kupata majukumu, nia ya kufanya mambo makubwa au kupata nafasi kubwa hapa yategemea na mazingira ya ndoto lakini pia mazingira ya muotaji.

Ikiwa upo kwenye ndoa na umeota umeolewa tena kuna ishara ya migogoro na ndoa huwenda ikavunjika ikiwa hamjatafuta suluhu mapema hii ukiota unaolewa na mumeo tena haliyakuwa mpo ndoan au unaoa mkeo tena. Ukiota umefunga ndoa na mtu usiyemfahamu na hukumuona sura yake hiyo ni ishara ya kwamba unakaribia kifo chako au kuhama kutoka kwenye nyumba ya zamani kwenda nyumba mpya.

Na ikiwa huyo mtu uliyefunga nae ndoa ndotoni unamfahamu hiyo ni ishara ya kwamba utatekeleza majukumu yako kikamilifu. Hii ni kwa wale waisoolewa na wasiooa kama upo kwenye ndoa tafsr yake nimeshaieleza hapo juu.

Mwanaume aliyeoa akiota anaongeza mke wa pili ni ishara ya mafanikio au kutimilia haja yake aliyoihitaji. Mwanamke ambaye hajaolewa akiota ameolewa mke wa pili ishara ya kutatuka shida zake pia atakiwa awe mtu wa kufikiriwa.

Mgonjwa akiota amefunga ndoa na mtu ambaye hamfahamu jina lake hiyo ni ishara ya kwamba atakufa kutokana na ugonjwa wake ikiwa yuwamfagamu basi atapata ahuen ya maradhi. Ikiwa  umefunga ndoa na msomi au mtu wa busara ni ishara ya kupona maradhi yake kabisa.

Ndoa katika ndoto kisha mmoja wenu akafa muda mfupi baada ya ndoa, hiyo ni ishara kwamba utafanya kazi ambayo kipato chake ni kidogo na kazi ngumu pia kama una ahadi au unauza kitu kinaweza kisiuzike au ahadi isitimie na kama utauza basi si kwa ile uliyoitaka . Harusi ya kimila ndotoni na kuna sherehe na furaha hiyo ni ishara kwamba utapata kazi mpya au utapata bahati ya kufahamika sana kutokana na tabia nzuri utakayoionyesha kwa watu.

Ukiota unafunga ndoa na mzinifu hiyo ni ishara kwamba utazini siku za karibuni. Ikiwa utaota umeoa mwanamke mwenye tabia mbaya, mgomvi, mbeya, hiyo ni ishara ya kwamba safari zako au mipangilio yako itakabiliwa na vikwazo vingi. 

Ndoa na mtu aliyekufa ndotoni kwa mwanaume  ni ishara kwamba utaifufua biahsra au kazi ambayo watu wanaidharau na utakuletea faida kubwa. Kwa mwanamke ni ishara ya kupotea uzur umbo na utakuwa fukara.

Ukiota unamuozesha mama yako kwa mtu wako wa karibu ni ishara kwamba utauza nyumba yako. Ukiozesha binti yako ishara ya kupata mali kama kuna biahsara itatoka. Ukiota unamuoza mwanao wa kiume utapata ugeni au jambo ambalo litakulazimu kutoa aidha fedha au mali fulani.

Mwanamke mwenye mimba akiota ameolewa ni ishara kwamba atapata mtoto wa kike. akiota yuko kwenye usiku wa harusi na mumewe bimaana harus kisha shere na twndo lenyewe ni ishara kwamba atazaa mtoto wa kiume.

Ukiota unafunga ndoa na mtoto wa Kiongozi au Tajiri au Msomi na anayejulikana ni ishara ya kipato na mafanikio. 

NDOTO NI ISHARA YA JAMBO FULAN LILIOTOKEA AU LINALOTAJA KUTOKEA HIVYO KWENYE MASWALI HUWA NAJIBU ISHARA UKITAKA UFAFANUZI ZAID NI MAMBO YA KUANGALIA KIUNDANI NA NI JAMBO JENGINE TOFAUT NA TAFSIRI.

maswali kuhusu ndoto yaulizwe hapa chini inbox utalipia

Una tatzonlolote la kazi, biashara, nyota, kesi, mapenzi, nguvu za kiume, kukuza uume, uzazi nk niachie ujumbe inbox

+255621442936

Whwtsp group ni la malipo

Comments

  1. Kuota mama yako alie fariki anafunga ndoa nini tafsiri yake

    ReplyDelete

Post a Comment

Popular posts from this blog

MAFUSHO MADINI YA KILA NYOTA NA JINSI YANAVYOTUMIKA

NDOTO ZA FEDHA NA TAFSIRI ZAKE UKIOTA UMEOKOTA HELA. UKIOTA UMEDONDOSHA HELA. UKIOTA UNAPEWA HELA

FAHAMU KUHUSU MTI NDULELE TURA FAIDA NA MATUMIZI KATIKA AFYA NA MAPENZI