KWANINI HUFANIKIWI MAJAMBO YAKO NA USHASHUGHULIKA SANA, FAHAMU UNAPOKWAMA



WATAALAM wengi hukupa dawa kutokana na maelezo yako hasa wataalama wa mjini hawasumbui vichwa kujua tatizo. Pia wengi wao ni watu wakunakilinakala za wngine na kuweka kwenye page zao yaani copy and paste. Nuksi inajulikana kwa maelezo tu mtu akijieleza wajua hii ni nuksi sasa kinachotakiwa ni kujua chanzo cha nuksi na utibie chanzo.

Katika mambo yanayoweza kukwamishwa vitu visitimie vipo vingi na kila jambo lina matatuzi yake kitiba na mafanyo. Mfano kuna nuski, vifungo, nadhiri, husda, radhi, uchawi, jini mahaba, majini maiti pamoja na mambo mengine, hapa nmetaja kwa uchache lakini kuna mambo mengi sana yanayoweza kukukwamisha. Mfano ulikuwa huzai ukasema neno mimi ikotokea nimezaa nitachinja mbuzi na ukalirejea hilo neno mara kadhaa aidha ulipokuwa unatumia dawa au katika maombi ikitokea umezaa hujachinja mbuzi mawili wewe au mtoto mambo yake yatakwama hasa ni wewe mtia nia. 

Sasa hili dawa yake si kukoshwa wala makafara tafuta mbuzi achinjwe utasema tu yale maneno uliyotamka niliweka ahadi nia nikizaa nitachinja mbuzi sasa nmeshazaa lakini mambo yaligeuka kwakuwa sikutimiza ahad leo natimiza mungu nisaidie katika hili chinja toa sadaka hakuna mchawi hapo ulijiroga mwenyewe. Na wengi wanaweka nadhiri pasina kujua na baadae huwadhuru.

Kuna laana au radhi, hapa najumuisha watu wa karibu mfano mume, mke mzazi ama mlezi ukiwa na laana za hawa watu lazima mambo yako yakuendee kombo na dawa yake ni kuwataka msamaha. mtabibu asili tz. Mfano mzazi unaweza km ulimkosea akakasirika tafuta watu wazima nenda nao kamtake msamaha mambo yako yatakaa sawa ikiwa amefariki na kinyongo soma makala inayohusiana na laana ipo hapa nmefafanua nini ufanye ili awe radhi. Ikiwa ulimkosea Mungu dawa ni kufanya toba ya kweli, umemkosea mume mke lakini mmeachana mshitakie mungu fanya toba ya kweli muelezee mungu ukweli wote uliotokea Allah ni mwingi wa huruma atakusameh.

Kuhusu jini mahaba nishazungumza sana anaweza akakupa nuksi usiolewe wala usioe, usizae, usipate raha kabisa kwenye tendo la ndoa sasa huyu dawa yake ni kutolewa hakuna njia nyengine atolewe ili mambo yako yakae sawa uoe uolewe uzae.

Husda ni mambo ya vijicho yana tiba zake pia nilishawahi kufafanua nini husda nani hasidi na unaathirika vipi na husda. Hapa pia kuna tiba zake za kisheria kukitoa hicho kijicho na kujikinga pia ila hili ukiwa nalo pia linafunga mambo yako.

Kuna wachawi wanaweza kukupiga chale zao za kukifuatilia ikawa kila unachofanya hakiwi, hapa ni lazima kwwnza ufutwe hizo chale alafa ndio usafishwe mwili.

Kwa ufpi vitu vyote nilivyovitaja vinaleta nuksi ambayo kila unachokifanya hakiwi ahadi zinakuwa nyingi mambo kuwa magumu. Pia kwenye nuski kuna aina zake nmeshawa kuzifafanua hapa mara kadhaa. mtabibu asili tz. Tunapokosea tunatibu nuksi hatuangalii kipi kimeleta nuksi. Hata mtindo wa kujibu maswali yangu waliopata bahat wakiniambia nina nuksi nataka kusfisha mwili majibu ninayowapa kwanza angalia chanzo cha tatizo na ukitibe ndio uoshe mwili. Hata kwenye masula ya mapenzi unakuta mtu kahitilafiana na mwenzie anachotaka yeye mtu wake arud. 

Unaweza ukafanya dawa akarud lakini ikawa maugomvi ndani sababu hujaangalia chanzo cha hitilaf ni nn na kukimaliza. Mimi nmetoa makala haya kwa lengo la kila mmoja anapoenda kutafuta suluhu ya jambo lake kwanza aanze na chanzo ama kiini cha tatizo vingine utaoshwa sana utafanya sana makafara kama hujatibu chanzo itakaa sawa muda kisha mambo yanarud kama awali.

Mambo ya kuzingatia kila jambo lina utatuzi wake na madawa yake, mfano mtu aliyefungwa kwenye kabur akapewa nuksi ili nuksi ile iishe pia upatikane mchanga wa kabur kwenye tiba zake ila sio kaburi lile lile alorogewa.

Kwa tatizo lolote la uzazi, kazi biashara mapenzi wizi kesi nguvu za kiume, kukuza dhakat nk kwa dawa niachie ujumbe inbox

Maswali uliza hapa chini

Share na wenzio wapate kujua

+255621442936

Whst group ni la malpo kwa wahtaj

Comments

Popular posts from this blog

MAFUSHO MADINI YA KILA NYOTA NA JINSI YANAVYOTUMIKA

NDOTO ZA FEDHA NA TAFSIRI ZAKE UKIOTA UMEOKOTA HELA. UKIOTA UMEDONDOSHA HELA. UKIOTA UNAPEWA HELA

FAHAMU KUHUSU MTI NDULELE TURA FAIDA NA MATUMIZI KATIKA AFYA NA MAPENZI