TALASIMU YAKUKIDHI HAJA KUPATA KITU UNACHOKITAKA KWA WAKATI


HUU NI WAQFU WA KILA KITU UNACHOKITAKA NA UKAKIPATA KWA WAKATI

TARASIMU hii ni ya kukupa kile unachokitaka kwa wakati. Mfano unataka ndoa, au unataka kukopa pahala, au unataka ulipwe madeni yako chochote kile kasoro shughuli za mapenzi yaana kuvuta na kirejsha.

Hii utaiandika siku ya ijumaa kama ni mwanaume angalia saa ya shamsi, kama ni mwanamke iandikwe wakati wa zuhra kwa zafarani nyekundu. Kisha upate kitambaa cha kijan cha hariri ikishaandikwa ipuliziwe udi au mafusho yanayoendana na nyota yako.



Chini ya tarasimu hii itaandikwa dhumuni kama unataka ndoa itaandikwa dua au waqf wa ndoa kwa jina muhuiska mtakaji, ikiwa ni ridhi pia itaandikwa dua za kufungua ridhk kwa jina la mtakaji ikiwa ni kukopa kulipwa pia itaandikwa dua ya kutaka kitu kupata kwa wepes zipo kwenye vitabu vya muongozo.

Ukishamliza utaiweka kwenye walet yako na utatembea nayo ikiwa mfuko wa kulia. Au niuzuri kama utaivaa mkono wako wa kulia hii ndani ya wiki utapata majibu kwa kile ulichokikusudia.

Mwmbo ya kuzingatia mwili wwko uwe msafi usiwe na mazonge wala vifungo, janaba hedhi na nifas haitafanya kazi.

Kwa lolote +255621442936

Comments

Popular posts from this blog

MAFUSHO MADINI YA KILA NYOTA NA JINSI YANAVYOTUMIKA

NDOTO ZA FEDHA NA TAFSIRI ZAKE UKIOTA UMEOKOTA HELA. UKIOTA UMEDONDOSHA HELA. UKIOTA UNAPEWA HELA

FAHAMU KUHUSU MTI NDULELE TURA FAIDA NA MATUMIZI KATIKA AFYA NA MAPENZI