NDOTO ZA VITA KUPAMBANA KUSHINDWA TAFSIRI NA MAANA ZAKE



TUNAENDELEA na darassa za tafsr za ndoto katika ukurasa huu wa Mtabibu ASILI TZ. Leo tunaangalia tafsri ya ndoto za vita. Hapa namjumuisaha ukiota upo vitani au uksshinda ukashindwa kuona watu wwnapambana na tafsiri zake.

Vita imegawanyika katika makundi mawili kuna bdoto za majini na ndoto zinazoashiria uadui. Pia yategemea na mazingira ya muotaji na mazingira ya ndoto. Mfano kama ni Askari au Mwanajesh ni kawaida kuota upo vitan au kupambana na watu kutokana na asili ya kazi yako.

Ikiwa unaota upo vitani mara kwa mara unapambana kisha maisha ya kawaida ukawa unapenda sana ugomvi mtu wa hasira sana ni dalili za jini MAKATA. Moja ya dalili nyengine za jini huyu ni kuhisi kuungua kwenye nyayo, uke/uume, tumbo, kichwa na sehemu zingine za mwili. Wasiwasi wa moyo na kujiona kama unafariki wakati wowote. kuishiwa na damu mara kwa mara bila sababu za kimsingi na za kisayansi.

Wakati mwingine kutokwa na vipele venye kutoa harufu mbaya vinapopasuka na unaeza ukawa na dalili zote za mtu alie na ugonjwa wa ukimwi au Kifua Kikuu, jini hatari anayeua kwa urahc ananyonya damu.

Ikiwa utamuota mtu yupo vitana na akawa na dalili kama nilizotaja hapo juu ni ishata ya huuo uliyemuota kuwa ana jini MAKATA. Yakupasa kuchunguza dalili za kawaida nilizozitaja kisha mfike kww wataalam wapate kumtoa.

Ikiwa unaota unapambana na wanyama ni ishara ya uadui wa kichawi au kishetani unaokuwinda hapo yatafsiriwa kulingana na aina ya mdudu uliyepambana nae. Kwenye ndoro hzizi ikiww utashindwa na hao wanyama basibmadhara ya uadui kwako makubwa ikiwa utashinda inaashiria kinga yako ipo juu. Ikiww hakuna mshindi inamaanisha mpo nguvu sawa na adui yako kaenda kujipanga atarud.

Ikiwa unaota unapigwa mawe kisha ukatoka damu ni ishara ya kutoeleweka na ndugu zako au watu wako wa karibu kile unachokifanya. Kuna watu wamekaa kikundi kujadili unachokifanya kuwa hawakielewi na hawakitaki. Pia ina tafsiri uadui unaotoka ndani jamii yako.

Kuwaamulia watu vita au ugomvi ni ishara ya kutaka suluhu au amani ya kitu fulan katika majambo yako. Yaweza ikawa sasa au siku za usoni

MUHIMU NDOTO ZA VITA SI NZURI KWA MUOTAJI NI ISHARA MBAYA MOJA KWA MOJA IWE JINI AU UADUI YATAKIWA UWE MAKINI ZAIDI KATIKA MATENDO YAKO

maswali kuhusu ndoto yaulizwe hapa chini inbox utalpia

Una tatzo lolote +255621442936

Whatsp ni la malpo kwa wahtaj

Comments

Popular posts from this blog

MAFUSHO MADINI YA KILA NYOTA NA JINSI YANAVYOTUMIKA

NDOTO ZA FEDHA NA TAFSIRI ZAKE UKIOTA UMEOKOTA HELA. UKIOTA UMEDONDOSHA HELA. UKIOTA UNAPEWA HELA

FAHAMU KUHUSU MTI NDULELE TURA FAIDA NA MATUMIZI KATIKA AFYA NA MAPENZI