MADHARA YA UCHAWI WA MAPENZI UNAVYOLETA SIHIRI NA KUKUFUNGA



NILIWAHI kuzungumza kuhusiana na madhara ya malimbwata nikfafanua jinsi mfanyiwa anavyoweza kuathirikia na malimbwata kiakili na kiafya. Leo tuzungumze kiundani uchawi wa mapenzi. Zile darassa za mitego ya uchawi kwa hapa nimeshazinaliza zitaendelea kwenye group sasa tunaingia kwenye madhara ya uchawi wa mapenz anayekuletea darasa hizi ni Mtabibu ASILI TZ.


Uchawi huu huathiri nyota afya hata ufanyaji jimai 'tendo la ndoa' kiwango kinashuka. Yategemea na ulivyofanyiwa na maagano kati ya mfanyaji mtaalamu wake. Hapa kinachokudhuru ni dawa na matamshi yale atakayotamka mfanyaji wa dawa husika.

   UNAWEZAJE KUROGWA KIMAPENZI.

Kwenye maisha ya kawaida yaweza akatokea mtu akawa anakuhitaji kimapenzi ila ukamkataa. Ikiwa mtu huyu si mchawi hakuna tatzo kubwa wala uchawi mkubwa utakaokukuta yeye ataenda kwa mtaalam atasema namtaka fulan awe wangu kwa lengo zur tu lakini yeye hanitaki. Au mlikuwa na mahusiano ghafla mawasiliano hufanyika kazi za kuvuta karibu huyo mtu na kumuweka mawazon hili halina uchawi na atalifanya mtaalam mwenyewe wala halina viapo baina hata ofisin ndio tunalotumia.

Sasa ikitokea huyo uliyemkataa ni mchawi anakujia usiku usingizin kwanza lazima akuingilie kimwili aidha kinyume au mbele na utaona sura yake aweza kuja na sura yake au kavaa sura ya mtu mwingine. Ataondoka na majimaji yako ya mbele ikiwa ni mwanaume ataondoka na shahawa ikiwa ni mwanamke ataondoka na ule ute unaoutoa ukifika kilele cha mahaba. Siku hiyo utajisikia raha zaid maana atakupa michezo yote ili apate anachokitaka akipata hayo majimaji yanatengenezewa vtu vingi vya kuroga watu na kutesea. 

Kwa wewe uliyechukuliwa hivi vitu kwanza wanaenda kifunga utupu wako hata ukikutana na mtu mwingine usiwe na kiwango kile ulichokuwa nacho. Wanafunga uwezo wa kuzaa. Hapa si kwa mkutaa mchawi tu hata wakikutaka kukifanyia hivi wanakuja hvyohvyo usingizin. Hukaa kikao anacjaguliwa mtu mzur ambaye atakujia ndoton na utamfurahia katika tendo na ukiamka umechafuka vizur tu. 

Wakat mwingine kama unayetakiwa ni muhuni tu hawana haja ya kukufuata usiku atakuja mtu mchana atakutongoza mtakubaliana mtazoeana na mtaenda kufanya ngono. Baada ya hapo mahusiano hakuna tena. Kaja kwa mishen maalum na keshaimaliza.

Kwenye limbwata wengi wanawafunga wenzao kwa maagano pasipokujua. Zipo dawa za kumtuliza mtu pasipo madhara wala maagano. Wataalam wengi wanaangiza aidha kucha, nywele, nguo za ndani damu nk ili kumshibiti mtu. Kuna mafanyo hufanyika huzikwa pahala hvyo vitu kwa lengo la kumfunga mtu akili na mwili. Hapa ndo unakuta mtu mpaka anaogopa kutoka nje ya nyumba yake. Wapo wengine wakirud nyumban wanapanguswa mifuko yote sasa hawa hufungwa mpaka nguvu za kiume.

Kuna njia za manuizo muhusika hupewa dawa kisha hupewa manuiz ambayo yana maagano ndani yake mfano ukisema asimpende mtu yoyote dhidi yangu. Kama dawa itakwenda sawa mtendewa atachukiwa mpaka kazini kwake na nduguze. Ukisema asimpende mwanamke yoyote kama dawa itaenda sawa atawachukia mpaka mama na dada zake pia kwa mwanamke ni hvyo hvyo.

Njia zinazotumika kwenye malimbwata kuna nyengine si salama na zina madhara kiafya kwa mfanyiwa. Mfano nyama inayowekwa mbelen kwa mwanamke kisha ikapikwa na mtu akala, kwanza mlaji anapata madhara kiafya kisha sihiri inakuja kumalizia pale inapofika tumboni.

Dalili za kusulubiwa na sihiri ama uchawi wa mapenzi kwanza unaweza ukaishiwa nguvu za kiume hata ukitumia dawa kuongeza hazilet matokeo. Kujikuta mnyonge, vitu kutembea tumboni, unaweza usitongoze au ukitongoza hukubaliwi, hupendi au kuchukia kufanya kazi. Mwili kuishiwa nguvu, kuumwa mara kwa mara bila sababu maalumu. Kuchukiwa na watu na kudharauriwa.

Kwa sihiri ya ndani ya tumbo yatakiwa kutapwishwa, ikiwa ni vifungo vya akili vifunguliwe, ikiwa vifungo vya mwili vifunguliwe. Na kila uchawi una tiba yake na uopzi wake. Kwa haraka atumie ile dawa niloyozungumzia ya kutapisha uchawi kwenye makala ya kwanza. Pia tumia unga wa mkunazi weka kijiko kidogo kwenye uji au chai atumie mara mbili ndan ya siku saba huku ukitafuta suluhu.

Mambo ya kuzingatia ndoto za mapenzi si zote zina ishara ya uchawi huu zipo za majini mahaba ambazo huambatana na kuzaa kunyonyesha kuolewa kuwa na mimba kuolewa nk hizi ni jini mahaba na dawa yake ni kitolewa, iwapo una tatzo hili niachie ujumbe inbox.

MAKALA HAYA YAMEANDALIWA NA MTABIBU ASILI TZ , BAADA YA MUDA MCHACHE UTAPATA COPY ZAKE KWENYE KURASA ZA WATU WENGINE AMBAO HAWANA UFAHAMU WALA ELIMU ILA WANACOPY NA KUWEKA KWAO, NI UKUMBUSHO NA UNATAKIWA KUWA MAKINI.

una tatizo lolote la afya, uzazi, nguvu za kiume, kukuza dhakar, kesi, biashara, mapenzi nk kwa mafanyo na ushaur niachie ujumbe inbox

+255621442936

Whtsp group n la malpo


Comments

Popular posts from this blog

MAFUSHO MADINI YA KILA NYOTA NA JINSI YANAVYOTUMIKA

NDOTO ZA FEDHA NA TAFSIRI ZAKE UKIOTA UMEOKOTA HELA. UKIOTA UMEDONDOSHA HELA. UKIOTA UNAPEWA HELA

FAHAMU KUHUSU MTI NDULELE TURA FAIDA NA MATUMIZI KATIKA AFYA NA MAPENZI